The new Nairobi commuter trains are mouth-watering and are on the way to Mombasa port

The new Nairobi commuter trains are mouth-watering and are on the way to Mombasa port

Kama France na Portugal wamenunua mbona sisi tusinunue?
Nasama kama ni mitumba Uzi ufutwe ,kweli tz hivi punde tutakuwa juu sana kama France na Portugal wananunua mitumba kwa transport zao wakati tz tunanunua brand new, kweli huu mwaka mabeberu watatii siyo wakenya peke yao.
 
Kwa nini France na Portugal hawanunui vitu vipya? Kwa nini wao wanahatarisha maisha ya watu wao kwa kununua old trains?
Tz tunazo siraha za kivita nyingi chakavu vp kdf tukiwauzia si zitasaidia mapigano na al shababu ,ukizingatia jwtz ni jeshi jasiri nadhani hata askali wenu wa kdf wakishika siraha za mitumba kutoka tz watapata ujasiri wa kujihisi wanaume maana watakuwa wamepata moyo kwa kukamata siraha za makomando watz
 
Let us worry about service. Hilo halikuhusu ndewe wala sikio. Wewe ulitaka kuonyesha watu hapa JF kwamba ni Kenya pekee iliyoamua kununua hizi trains eti kwa sababu sisi ni wajinga na hatuna akili. Nchi kama France ambayo inatengeneza electric trains pia imenunua hizi trains mnazoita mtumba.
Hivyo vyuma chakavu muda siyo mrefu vitageuka skrepa za kuishi chokoraa wa slum za kibera noti mayi wooodi
 
Zimeuziwa pia France na Portugal. Kwa hivyo France na Portugal pia ni dumping ground ya scrapers?
Kwnn unaongelea habari ya France na Portugal? Km France na Portugal wamenunua hzo kwahyo na nyie hamna haki ya kumiliki vitu vipya? Kwnn Wakenya mnakuwa na fikra za kitumwa km hv? Mbn cc hatukutaka kuckiliza wazungu tulipoamua kujenga bwawa kubwa la umeme EA, mbn tuliamua kununua ndege mpya kutoka kiwandani kwa cash basis kwn hatujui kwmb zipo nchi za ulaya ambazo hazinunui kwa cash?

Kwnn tuliamua kujenga reli ya umeme kwa kipande cha Dar-moro kwa pesa za ndani kabla ya kusubiri mkopo unadhani hatujui kwmb kuna nchi hata pesa za barakoa zinasubiri msaada? Acheni upuuzi muwe mnaipigia kelele serikali yenu inapofanya ujinga, cz mcpofanya hvyo hayo ma second hand yatazd kuwauwa kila uchwao, lkn pia hayo ma used huwa yanaongeza gharama za uendeshaji muwe mnatumia akili.
 
Kwa nini France na Portugal hawanunui vitu vipya? Kwa nini wao wanahatarisha maisha ya watu wao kwa kununua old trains?
France and Portugal ni kina nani? Kwahyo France na Portugal wakiamua wanaume wote waingiliwe kinyume na maumbile nanyi mtaanza kuingiliwa kinyume na maumbile cz France na Portugal wanafanywa hvyo c ndiyo, kwnn Wakenya mnakuwa brainwashed hv?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ndo hiiView attachment 1508312
Hebu tulinganishe [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

tapatalk_1588483247308.jpeg
 
Aisee, mbona majirani mna hasira hivi? Kwani treni tunazozitumia sasa hivi ni za mwaka gani? Majungu mnawaelekezea wakenya ila kwa wafaransa na wareno ambao wamezinunua pia mnabaki kimya. Huo ni upumbavu, mnakaribishwa Nairobi lakini, mje mkenue kenu mkijionea commuter train. Hii ndio itakuwa taswira hivi karibuni vitu kama hivi 15 vikitua bandarini Mombasa.

97edf5c7615a91dd.jpg
 
Skiza hapa mzee.

Magufuli aweke number ya waliokufa au asiweke, the fact remains that corona inaua watu and there is nothing special with a Tanzanian human body eti haiwezi kuugua au kufa corona.

Corona iko na inaua and Tanzania is no exemption. We will remember magufuli as the president who failed to honor and recognise wanainchi wake ambao wanakufa corona.

Tanzania has no experience, reference materials au data as far as corona is concerned so if corona hits back later in life itabidi mkomboe madakatari toka Kenya.
And let's hope when the vaccine comes out CCM hawataitisha maana wanasema corona haiko

Tanzania has no reference material on anything since all data is so sensored.
Corona in Tanzania [emoji3][emoji3] ur pathetic, u know what? Tz is so blessed country, I wish the lesson on why locusts didn't invade our lovely and blessed country could teach u something.
 
Tz tunazo siraha za kivita nyingi chakavu vp kdf tukiwauzia si zitasaidia mapigano na al shababu ,ukizingatia jwtz ni jeshi jasiri nadhani hata askali wenu wa kdf wakishika siraha za mitumba kutoka tz watapata ujasiri wa kujihisi wanaume maana watakuwa wamepata moyo kwa kukamata siraha za makomando watz
Wewe shoga unajua nini kuhusu vita?
 
Aisee, mbona majirani mna hasira hivi? Kwani treni tunazozitumia sasa hivi ni za mwaka gani? Majungu mnawaelekezea wakenya ila kwa wafaransa na wareno ambao wamezinunua pia mnabaki kimya. Huo ni upumbavu, mnakaribishwa Nairobi lakini, mje mkenue kenu mkijionea commuter train. Hii ndio itakuwa taswira hivi karibuni vitu kama hivi 15 vikitua bandarini Mombasa.
97edf5c7615a91dd.jpg
Tupo tofauti sn kwenye hilo cc huku tunaongelea habari za EMUs.
 
Back
Top Bottom