The new Nairobi commuter trains are mouth-watering and are on the way to Mombasa port

The new Nairobi commuter trains are mouth-watering and are on the way to Mombasa port

Corona in Tanzania [emoji3][emoji3] ur pathetic, u know what? Tz is so blessed country, I wish the lesson on why locusts didn't invade our lovely and blessed country could teach u something.
Dumbass...

UN did not predict locusts ever reaching Tanzania. Hii umejitungia tu aka story za kijiweni. We ni shabiki tu. Na una akili za kijinai kama unafikiria eti watu au eneo la Tanzania is special.
 
Dumbass.

UN did not predict locusts ever reaching Tanzania. Hii umejitungia tu aka story za kijiweni. We ni shabiki tu. Na una akili za kijinai kama unafikiria eti watu au eneo la Tanzania is special.
Km kweli ww una akili kweli hebu niambie kwanini locusts waingie nchi zote za EA kasoro Tz tu hebu niambie why?
 
Km kweli ww una akili kweli hebu niambie kwanini locusts waingie nchi zote za EA kasoro Tz tu hebu niambie why?
We ni mjinga na pumbavu wa mwisho. How stupid can a human being be seriously? Sababu unavunja rekodi za ujinga. Yani nikama kuniuliza kwa nini Kenya kuna jangwa kubwa kuliko Tanzania.

Mambo ya nature haya hayapangiwi but najua Tanzania mnaamini uchawi ndo maana hatuelewani. Wacha kua mjinga jamaa najua ni haki yako kua mjinga lakini sio kwa kiasi hiki.
 
We ni mjinga na pumbavu wa mwisho. How stupid can a human being be seriously??? sababu unavunja rekodi za ujinga.

Yani nikama kuniuliza kwa nini Kenya kuna jangwa kubwa kuliko Tanzania. Mambo ya nature haya hayapangiwi but najua Tanzania mnaamini uchawi ndo maana hatuelewani.

Wacha kua mjinga jamaa najua ni haki yako kua mjinga lakini sio kwa kiasi hiki.
Ss km locusts kutoingia Tz ni suala la nature kwnn unakataa kwmb corona imeisha Tz, twende taratibu wala usilie.
 
Ndio hiyo zishaekwa kwa gari kuelekea bandari ya Barcelona. From there the trains will head straight to Mombasa and then finally to Nairobi, wenye wivu wajinyonge sasa 😂 😂

unnamed (2).jpg
 
Ss km locusts kutoingia Tz ni suala la nature kwnn unakataa kwmb corona imeisha Tz, twende taratibu wala usilie.
Corona watanzania wamepimwa na inchi jirani na wakapatwa nayo that's a fact
Lakini wakirudishwa tz hawana[emoji23][emoji23]
 
Ndio hiyo zishaekwa kwa gari kuelekea bandari ya Barcelona. From there the trains will head straight to Mombasa and then finally to Nairobi, wenye wivu wajinyonge sasa 😂 😂

View attachment 1508674
Second hands...poor Kenyans...wazungu wamejambia weeee...wameamia kuwauzi wazungu weusi wa Africa mashariki
 
Du ! Kwanini na jeshi letu lisiwauzie wakenya siraha zetu chakavu ili ziwasaidie kupigana na al shababu maana zipo nyingi za zamani hadi zinatulipukia bure wakati kdf hipo
Aah wapi, wabangua korosho bado wanatumia hizo hizo silaha chakavu ambazo walitumia miaka ya 70s. Wapate hela wapi za kununua silaha za kisasa kama za KDF? Sio kwa hela kiduchu ambazo huwa wanagawiwa kwenye bajeti kila mwaka ambazo hazitoshi hata kununua magwanda mapya. Hivi walipata boots za kijeshi waka acha kuvalia 'gumboots'? [emoji1] Zero upgrade ya silaha kila mwaka ndio zao afadhali hata UPDF wa UG. Kila mwaka bajeti ya ulinzi ya Kenya na yakununua silaha mpya huwa ni zaidi ya bajeti ya nchi zote za AM kwa pamoja. 😀
 
We are now waiting for these ones which are meant for phase two from JKIA to CBD.
View attachment 1508693
hii project itakua noma..watajenga hadi viaduct....tayari niliona KENHA waki advertise tender about hio bridge yenye itapitia juu apo kwenye hizo barabara za reli..the below brigde itajengwa...pamoja na commuter railway na nairobi expressway double decker highway ,BRT..kenya will now take south africa head to head interms of infrustructure..
1594916820369.png
 
Corona watanzania wamepimwa na inchi jirani na wakapatwa nayo that's a fact
Lakini wakirudishwa tz hawana[emoji23][emoji23]
Nani amwamini mtanzania na vipimo vyo corona!!!

Munir kirunda....

@KirundaMunir

Magufuli Alisema.... Mapaipai ziko na corona wacha tuzipime....

Image

10:13 AM · May 5, 2020·Twitter for Android
 
Kuweni tu na hizo mpango zenu. Hata Kenya pia ina mpango ya kujenga the tenth planet in the solar system.
[emoji23][emoji23][emoji23] eti mipango??
Nani hana mipango hii dunia? South Sudan wanampango wa kua na SGR lakini hawana hiyo SGR same as Tanzania
 
Back
Top Bottom