Ukiharibu vya kwangu na Mimi naharibu vya kwako - Iran kafanya.
Ukinivamia, maumivu yatakuwa ya dunia nzima - Iran katimiza..
Ukiacha vurugu na Mimi naacha vurugu - Iran kayatimiza.
n.k.....
Maoni yangu:
Iran anapaswa kuingia kwenye top 5 ya majeshi Bora duniani. Ameonyesha uwezo, ameonyesha uthubutu, ameonyesha "UKUBWA".
U.S.A inapaswa atolewe Namba moja kama nchi iliyo na nguvu zaidi kijeshi duniani. Kaonyesha udhaifu.
Katika kutawala middle east, historia inambeba zaidi Iran kuliko Israel; hivyo naona Israel kamwe hawezi kumkalisha Iran. Na ndiyo maana Iran anajiamini zaidi kuliko kawaida. Iran Kawavimbia kwenye mazungumzo, na sasa tunasubiri mtanange mwingine.
Us ametangaza kuingia Hormuz na kuzuia meli zote zinaibgia na kutoka, ina maana Iran hatauza chochote na hatopokea chochote kwa njia ya maji.. ni kama Us anaweka maximum pressure kwa Iran... kwa maoni yangu vita kubwa itakuja ikiwa Us atakaza na huu msimamo.. Ngoja tuone itavyokua.