The Official NBA Thread

oi Nawatakia kila la kheri Kina Kevin Duran na Rusell WestB Wawe Mabingwa kabisa king James sim mind mr misifa kombe hajawahi beba muhahahahahaha
 
Tuache utani hata mie Miami siipendi ila Lebron na Wade vitu vengine jamaa wakali kwa ujumla timu za EAST sizifagilii, ila leo OKC ndio watajuwa nani Babu zao kwenye Game kuna mafunzo alifundishwa Lebron James na Nowtzski na Jason Terry NBA ni ujuzi pia muhimu wa muda mwingi MANU leo yupo onfire!
 
Abdulhalim yeye hapa anakuja Game za Miami Heat tu na Flana yake nyeupe na msuli tehteh anakuja na Kahawa yake kumtizama Wade na zile Shot zake za And 1 yule Wade(Mnigeria) Mkali wa And 1 jamaa kwa maoni yangu ndio mtu pekee amekaribia Game ya Kobe Bryant kama wanavyosema Kobe kukaribia kidogo Game ya Jordan.
 
Spurs' 18 game winning streak is in jeopardy
 
4th quarter OKC 71 Spurs 62
 
Game one ya OKC na Spurs sikueza kuona maana najua OKC anachukua hii series, I root wata-steal game II na kuwapiga 4-1. Hilo halina mjadala. Kaka, kwa ushabiki Lakers wamekwisha habari yao sasa tuende wapi? inabidi tuchague timu ya kujishikiza..ha ha.. Miami itakua ngumu kuchukua ndoo msimu huu kwa sababu Bosh bado majeruhi. Ofkoz El Heat bado ni favorites kwa East maana sijaona Celtics kama wanaweza kuzuia kishindo cha Wade+Le Bron. Ngoja tuone kesho itakueje.
 
Boston celtic wapo safi sana tatizo Rojan rondo akiwa hayupo kwenye mchezo vizuri huwa wanapata shida sana, pia paul pearce huwa hayupo makini mara nyingi anapoteza sana mipira
 
Abdulhalim mie bado itabidi nijishikishe na timu za West nimeiamulia San Antonio nauhakika anampiga OKC 4-1 au 4-2 ila tatizo linakuja San Antonio atampiga kirahisi OKC ila kwa Miami sasa hatari labda iwe Boston. OKC wao rahisi kumfunga Miami timu ambazo naziona watampiga Miami naomba iwe San Antonio ila OKC na Boston.

Boston Tatizo lao Moja nakubaliana na Samkyjr ni RONDO huyu Rondo asipocheza vizuri wameumia ila KG D ikawa ya nguvu Ray Allen na Perce wakapiga 3 bila wasiwasi na Rondo aka take over ujue Miami kaumia kama Bench lao itakuwa bovu.

Kwa ujumla East Final ndio yakutizamwa kuliko West Final kwa sasa hivi.
 
Natabiri Spurs atafungwa na OKC na mwisho wa siku OKC watakuwa mabingwa wa WC.Haijalishi wataenda hadi Game 7 au lah!
Huku EC, sijajua nani atakuwa bingwa, though naona Boston wana nafasi kubwa, Miami wamekuwa ni watu wa gundu miaka yote
 
MANU kawauwa okc.......game 2 wata come back na ku tie

Yaani walikuwa wanamwacha wazi mno na yeye hakufanya ajizi kuwatungua tatu tatu halafu 4th quarter ilipoanza yule Westbrook akawa very selfish kutaka kufunga kila aupatapo mpira na zikazaa turnovers nyingi na hivyo kuwapa mwanya Spurs kupunguza vikapu na hatimaye kuongoza mpaka dakika ya mwisho. OKC kama watacheza kama timu na kupunguza turnovers nina hakika wanaweza kabisa kuwaondoa Spurs.
 
turn over zimeanza mapema Celtics..

Nyingi sana Celtic, Miami ukiwaogopa utajikuta unapiga manjiwa na block unachapwa za kijinga, I hope hili game Thabeet anatizama na muda huu hali bata anayetakiwa kumtizama ni KG yupo kwenye Game 17yrs bado anafanya maajabu ila Thabeet akipewa ma dk anaweza NBA kuwa skill BIG kama KG au Gasol umbo lake linaruhusu.
Mie hapa nawakimbia naona nagombana na usingizi nasubiri Alfajir UK.
 
Doc Rivers mwanae yupo nyuma pale anachezea Kentuky kama sikosei yupo kwenye Draft ya NBA mwaka huu?
 
Thabit kuwa KG?don't get ahead of yourself mwana, tuwe na matumaini ambayo ni realistic!
 
4th quarter: Heat 78 Celtics 61.

Updates: Heat 80 Celtics 67

Updates: Heat 86 Celtics 71

Updates: Heat 91 Celtics 75

Final: Heat 93 Celtics 79. El Heat leads the series 1-0. Game 2 at Heat again.
 

A general of players from the Miami Heat and the Boston Celtics line up on the court for the performance of the National Anthem in Game One of the Eastern Conference Finals in the 2012 NBA Playoffs on May 28, 2012 at American Airlines Arena in Miami, Florida.


Kevin Garnett #5 of the Boston Celtics prepares to play against the Miami Heat in Game One of the Eastern Conference Finals

Rajon Rondo #9 of the Boston Celtics drives for a shot attempt in the first quarter against Ronny Turiaf #21 of the Miami Heat

Head coach Doc Rivers of the Boston Celtics reacts against the Miami Heat

LeBron James #6 of the Miami Heat looks to pass the ball in the first half against Paul Pierce #34 of the Boston Celtics


D wade drives for shot....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…