Miami wamevuta gap, wanaeza wakachukua hii aisee..Celts will take game 4.
Kobe tu anayewezea hizi tough shots. Hamna kitu kibaya kama kushindwa hivi kwa kuchemsha dakika za mwisho when you are in a zone of taking all. Kiukweli huku East hakuna champions material.Wade is no leader at all
just a chicky dude
Duh OKC wanatesa, Abdulhalim kaseMa kweli Ibaka na perkins ndio wanatakiwa kunyanyua game kama OKC wanataka matumaini ya Final au Ring. Ila still Game hizi zinaenda game 7.