The Official NBA Thread

The Official NBA Thread

OKC 'wanafanza' vitu vyao
 
Duh OKC wanatesa, Abdulhalim kaseMa kweli Ibaka na perkins ndio wanatakiwa kunyanyua game kama OKC wanataka matumaini ya Final au Ring. Ila still Game hizi zinaenda game 7.
 
OKC has just tied the series after a wonderful performance in game 4....thx to KD's 36 Pts, 6 Reb, 8 Ast, 1 Blk...my predictions are kama OKC akishind a game 5 then game 6 watashinda pia.
 
Nba semi final kuna team zimekuwa fit sana ambazo hazimtegemei mtu sana OKC is the best ijapokuwa kevin Durant au westbrook ni mastar lakini kila game OKCwanakuwa na star wa game kama Sepo alimkaba sana parker game3 au Serge Ibaka, james harden lakini spurs ni walewale Gino au parker, miami james au wade, celtic only Rondo decide a game. For real I need OKC to be crown
 
things aint lookin up for Miami yet. dah hivi vibabu vya celtics vina muhu si mchezo.
 
Ka-Rondo ni ka-pitbull flani hivi, kanapenda sana ugomvi.
 
Le Bron bana, sasa huwa anang'ang'ania kucheza the last ball halafu anaishia kutoa pasi mkaa. Kwene situation kaa hizi ndio utapomtaka Kobe.
 
OT1, Wade na Le Bron wanatupiana mpira ku-shoot, opportunity gone..dah
 
Wade is no leader at all

just a chicky dude
 
Wade is no leader at all

just a chicky dude
Kobe tu anayewezea hizi tough shots. Hamna kitu kibaya kama kushindwa hivi kwa kuchemsha dakika za mwisho when you are in a zone of taking all. Kiukweli huku East hakuna champions material.
 
Duh OKC wanatesa, Abdulhalim kaseMa kweli Ibaka na perkins ndio wanatakiwa kunyanyua game kama OKC wanataka matumaini ya Final au Ring. Ila still Game hizi zinaenda game 7.

Mkuu Pazi na memba wengine humu nisaidieni nitaona wapi game za Western, make naona ESPN ni game za Eastern Conference mpaka sasa.
 
Mkuu Pazi na memba wengine humu nisaidieni nitaona wapi game za Western, make naona ESPN ni game za Eastern Conference mpaka sasa.
arifu unaangalia espn toka bara gani?
 
Back
Top Bottom