kuna siku moja wakati game inaendelea, mtangazaji akaamua mzungumzia Big Tz wetu, wakaishia ku conclude kuwa haijawahi tokea kwenye historia ya NBA top 3 drafted player kuwa a flop kama ilivyo kwa msela. Eti wanaregret kwanini waliweka matarajio makubwa sana on him.
Dogo kwa sasa hajali kitu, hajui kuwa mkataba wake wa sasa kama sikosei wa miaka mi 5 alioingia alipojiunga nba utakapoisha atapata tabu sana kupata timu nyingine!!
Few minutes to game 2...
Leo Thunder lazima muwashwe.
minutes?!? Ndugu au wewe utaanza kuangalia mpaka safari za wachezaji wakiingia kiwanjani...
De real game start in de next 2.30hrs those r 150minutes!
N abt sisi kusupport OKC well sikuwa na alternative nyingine zaidi ya kusupport de best team kati ya hizo 2 n Miami aint anywhere close 2 being one
minutes?!? Ndugu au wewe utaanza kuangalia mpaka safari za wachezaji wakiingia kiwanjani...
De real game start in de next 2.30hrs those r 150minutes!
N abt sisi kusupport OKC well sikuwa na alternative nyingine zaidi ya kusupport de best team kati ya hizo 2 n Miami aint anywhere close 2 being one
Did you mean "a sweep"?let's wait and see,just a hr and a half to go,wadogo wanabamizwa leokeep on dreamin buddy! I can smell a clean swap kwenye hizi fainali
Still got OKC all the way?
Did you mean "a sweep"?let's wait and see,just a hr and a half to go,wadogo wanabamizwa leo
Miami has got everything they need to win it all.Ni kweli thunder is the top team on the west,they have to prove it nationwide by winning the championship.Hawa wadogo walidhihirisha ni the best huko west,sasa they need to through Miami,I believe it will be a good series,I bet on Heat
Mtaalam,hata Miami wanacheza vizuri kama timu given the time they have been together...yep thnx 4 correcting me..
Miami is a gud team no doubt abt dat, de only problem they hav is they dont n cnt play kiteam hilo tu ndo huwa linawacost miaka nenda miaka rudi...ol OKC hav realized they need to do is kumbana n double team Lebron whch is somethin Boston failed 2do in game 6