Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,720
- Thread starter
- #961
kuna siku moja wakati game inaendelea, mtangazaji akaamua mzungumzia Big Tz wetu, wakaishia ku conclude kuwa haijawahi tokea kwenye historia ya NBA top 3 drafted player kuwa a flop kama ilivyo kwa msela. Eti wanaregret kwanini waliweka matarajio makubwa sana on him.
Dogo kwa sasa hajali kitu, hajui kuwa mkataba wake wa sasa kama sikosei wa miaka mi 5 alioingia alipojiunga nba utakapoisha atapata tabu sana kupata timu nyingine!!
wabongo mna laana.....
Last edited by a moderator: