Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Huyu Miller tatu zimemkubali kinoma, ngoja Battier aanzishe moto nae.
Kocha wa OKC kawa Wenger , hana plan B
Labda OKC waanze kupiga 4 points lol kusema kweli Final haijapendeza Last time NBA tumeona Final nzuri ni Boston na Lakers. OKC leo wanakimavi mpira in and out tu.
Mamake Lebron James huyo.who is de miami heat chick who kissed almost ol de big heat players wakiingia locker room? With white pambaz?
Mie mwenyewe sikutegemea kama final ingekua hivi.
who is de miami heat chick who kissed almost ol de big heat players wakiingia locker room? With white pambaz?
Baada kuona Miami wamesumbulia na Boston,ndio nikawapa ubingwa OKC kumbe hamna kitu.Yaani hata Boston waliwapelekesha Miami hadi mwisho wa series pamoja na uzee wao wote!
Sasa hawa OKC pamoja na ujana wao wameshindwa kushinda hata gemu 2? Basketball IQ yao ndogo sana. Hii game ya leo kinachowafanya Miami wawe mbele pointi 10 hadi half time ni zile 3 points....bila 3 points OKC wangekuwa wanaongoza. Sasa OKC wanawaachia jamaa nafasi za wazi wazi kutungua 3 points kama wanaangaua mabibo bana.....
Baada kuona Miami wamesumbulia na Boston,ndio nikawapa ubingwa OKC kumbe hamna kitu.