The Official NBA Thread

The Official NBA Thread

Labda OKC waanze kupiga 4 points lol kusema kweli Final haijapendeza Last time NBA tumeona Final nzuri ni Boston na Lakers. OKC leo wanakimavi mpira in and out tu.
 
OX bora huyo wenger kuliko timu zangu kila nachoshangilia Presha LFC,Lakers,F1 Mclaren, nimejikosha kwa OKC kumbe wapi dah waanze kuchoma bila kuogopa sasa OKC.
 
de biggest problem is wamekazania kum double team Lebron n leavin 3pts ziingie tuuuuu!
 
Labda OKC waanze kupiga 4 points lol kusema kweli Final haijapendeza Last time NBA tumeona Final nzuri ni Boston na Lakers. OKC leo wanakimavi mpira in and out tu.

Mie mwenyewe sikutegemea kama final ingekua hivi.
 
Yule wanayempa Love ya ma Kiss ni Mama yake Lebron??? Hapo ndipo unapoona wamarekani wanaheshima kidogo ya kibinaadamu sio UK wanampa Maama sum Love.
 
who is de miami heat chick who kissed almost ol de big heat players wakiingia locker room? With white pambaz?
 
Mie mwenyewe sikutegemea kama final ingekua hivi.

Yaani hata Boston waliwapelekesha Miami hadi mwisho wa series pamoja na uzee wao wote!

Sasa hawa OKC pamoja na ujana wao wameshindwa kushinda hata gemu 2? Basketball IQ yao ndogo sana. Hii game ya leo kinachowafanya Miami wawe mbele pointi 10 hadi half time ni zile 3 points....bila 3 points OKC wangekuwa wanaongoza. Sasa OKC wanawaachia jamaa nafasi za wazi wazi kutungua 3 points kama wanaangaua mabibo bana.....
 
Baada kuona Miami wamesumbulia na Boston,ndio nikawapa ubingwa OKC kumbe hamna kitu.
 
Ahahahahahahaahahhaaaaaaa......Chalmers na Battier wanazidi kutungua 3s.....hawa OKC mataahira, si bure!
 
Huyu Lebron bora angeenda NFL huku NBA kaja tu kuonea wenzake.
 
613x459.jpg
 
Miami kina Lebron na Wade hiyo Party watayofanya wamualike na Hasheem Thabeet <---- huyu jamaa anajuwa KuParty.
 
Total domination by Miami....OKC bure kabisa! Hawakustahili kabisa kuwepo kwenye finals. Shameful.
 
3rd QTR like 4 mins to go!!! 63-82 HEAT leads.... OKC need miracles to come back, they are poor on both defensively & Offensively .... ITS A MIAMI thing!!!
 
Back
Top Bottom