The Official NBA Thread

The Official NBA Thread

Lebron na Wade wana-combine vizuri tangu mwanzo. Dallas ni wazuri bado kwenye team-work
 
Hii series ishaisha hii. Kilichobaki ni formality tu ya kucheza gemu 4.
 
huyu Barea nilikuwa namtegemea kuwasaidia dallas lakini move zake zote zinakataa mpaka kapoteza confidence.
 
Jamani mnaona jinsi sekend half ilivyoanza?...Kazi kweli kweli. Dallas should have gone for the kill in the first half
when they had the lead lakini sijui ilikuakuaje maana nimeenda Krogers kununua Grocery na niliporudi naona
kitu kiko tied up...Wamepanic au vp?

Wasikosee gemu ya leo kurudi Dallas 2-0 maana itakua kishindo.

Tuangalie gem.
 
Mkuuu hio Krogers umenikumbusha mbali sanaaa lol.
 
Hawa Dallas wako kama Arsenal (pun intended) lol.
 
Back
Top Bottom