The Official NBA Thread

The Official NBA Thread

f9dcdc7741f63be7c115347068bd25be-getty-114832969cc120_miami_heat_v.jpg

c6495ee0a69701acbf654ba4dcb1f4b8-getty-114832969cc115_miami_heat_v.jpg

Kama Dallas watashinda next game huenda wakawa mabingwa
 
Dah, wakuu sikueza kuangalia hii game, maana kulikuwa na change of plans kidogo. Lakini nlikua nafuatilia scoreboard. Inaonekana Miami walirelax tena baada ya kuongoza hadi kwenda kwota ya 4. Haya makosa wanayoyafanya kwa mara ya 3 sasa kama sikosei, ndio yanayowapa nguvu Dallas maana wangekaza makalio tokea game 2 sasa hivi ngoma ilikuwa khalas. Nways tukutane game 5 mazee.
 
Tehteh Naona humu Wazee wa Dallas ni mie na Arsene Wanger sijui kapotea wapi? Mjerumani kapiga kikombe cha Babu ile Homa ya Jiji imewapata Miami haya tena muda wa Vitimbi Amkaaaaaaaaaaa twendeeeeeeeeeee umekucha.:majani7:
 
Hata mshikaji wangu wa karibu Yo Yo na mimi ni wanazi wa Dallas.Katu Lebron hatavaa ring
 
Tehteh Naona humu Wazee wa Dallas ni mie na Arsene Wanger sijui kapotea wapi? Mjerumani kapiga kikombe cha Babu ile Homa ya Jiji imewapata Miami haya tena muda wa Vitimbi Amkaaaaaaaaaaa twendeeeeeeeeeee umekucha.:majani7:

Nipo mkuu, jana game ilikuwa safi sana. baada ya game jana usingizi ulikuwa mzito nikaenda kulala tu.

inabidi sasa vijana washinde game five hili wawe kwenye nafasi nzuri.
 
Haya leo hamna excuse tena. Mtu akienda south kurudi itakuwa ngumu sana game 6.
 
Back
Top Bottom