Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Now we have a series!!!
Hata mshikaji wangu wa karibu Yo Yo na mimi ni wanazi wa Dallas.Katu Lebron hatavaa ringTehteh Naona humu Wazee wa Dallas ni mie na Arsene Wanger sijui kapotea wapi? Mjerumani kapiga kikombe cha Babu ile Homa ya Jiji imewapata Miami haya tena muda wa Vitimbi Amkaaaaaaaaaaa twendeeeeeeeeeee umekucha.:majani7:
Tehteh Ndio manake ila tusiongee sana bado mapema hahaha.Hata mshikaji wangu wa karibu Yo Yo na mimi ni wanazi wa Dallas.Katu Lebron hatavaa ring
Tehteh Naona humu Wazee wa Dallas ni mie na Arsene Wanger sijui kapotea wapi? Mjerumani kapiga kikombe cha Babu ile Homa ya Jiji imewapata Miami haya tena muda wa Vitimbi Amkaaaaaaaaaaa twendeeeeeeeeeee umekucha.:majani7:
Mkuu naona meno 33 ya mtu mzima nje. Powa ngoja tuwape hongera kwa kushinda gemu.Tehteh Ndio manake ila tusiongee sana bado mapema hahaha.