Aisee kumbe bro anafaidi sana sio siri ana bahati kubwa kukupata....Alirudi kachoka sana shemeji yangu, na mimi huwa ninautaratibu pindi anapokuwa kachoka viungo vya mwili wake basi huwa nina mfanyia full massage [emoji4]
Wakati nikimsindikiza na maneno matamu tamu kama vile baby i really missing you, yaan ulivyoondoka nikawa naogopa kubaki mwenyewe, huku baridi na hii mvua next time itabidi tusafiri wote baby wangu.
Sasa zile salamu ningempa saa ngapi shemeji yangu?
Nisamehe tuu shem.
Bado mm nn dada!!!?[emoji12][emoji20][emoji19]Bado wewe sasa
Asanteh wifi yanguNdo maana nakupenda my hunie wifii,
Wapambanie anti zangu mie!!
Asante Miller wa MumuPole
Nafurahi kuona kaka angu amepata pumziko la maishaaaaaWewe huishiwagi majibuuu!!
Marahaba mdogo wangu mzuri[emoji8] [emoji8] [emoji8]
NakaziaHapana kiongozi. Bado wananistahi.
Braza sasa inabidi ufungue uzi kwa Neybright
HahahaaOkay braza kuweni makini na kupiga makasia...bahari ina mambo mengi.
All the best
Itakua poa sana ila unafaidi sana broHamna shida mimi mwenyewe ntamuelekeza salam zako sitakuwa zinapewa kipaumbele
Nakusalimia madam mwalimu shem [emoji38][emoji38]Asiyekuwa na wivu hana mapenzi
HahahaaaUkisikia mtikisiko kuwa makini na kinachoweza kutokea
Ngoja nicheke kihutu KwanzaaKwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuaminia mpenzi
Eti watu wanajua meli yetu ya Icebright imezama
Hahaha!
[emoji23][emoji23][emoji23].. vipi bado wewe hajapita mitaa yako?Hahaaaa. Nakazia na mie hapo.
Tayar nilishapitisha gyuleeeeeee
Aisee fanya hivyo bhana...Ngoja nikamlete mwali