Dua
JF-Expert Member
- Nov 14, 2006
- 3,236
- 669
Siku Bwana Mbowe akifanya hivyo, nahamia CHADEMA! Problem is, hana uwezo huo.
Is this a challenge?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku Bwana Mbowe akifanya hivyo, nahamia CHADEMA! Problem is, hana uwezo huo.
Is this a challenge?
Kyaruzi,
Siku Bwana Mbowe akifanya hivyo, nahamia CHADEMA! Problem is, hana uwezo huo.
Mwanasiasa, et al,
I find it hilarious kwamba the only way you could come up to defend Mbowe from my arguments is going through the archives to dig up my contributions. That is really low. Actually, I do not make bones about the fact that all my contributions are on CHADEMA and Freeman Mbowe. I like it that way, and, if you have problems with that, I am sorry I can't help you.
And, by the way, you haven't seen nothing yet. You guys need to get used to the idea that there are always different perspective on things...and that one man's masterpiece (i.e an article) may be another's piece of shit.
Habari leo.. kama Mugongo amewekwa hapa kufanya anayo fanya well and good.. wote tukiwa na mawazo yanayofanana pataboa... and NO we are not interested to find out anafanya kazi wapi na bosi wake ni nani... hoja zake tu ndio zinaangaliwa!!
Habari Leo,
Na Masatu hapo naye katumwa na nani? Look, mambo ya kitoto ya kutishiana peleke huko kwenye forum uchwara. Hapa haangaliwi mtu sura. Zinaangaliwa hoja.
Mzee Mwanakijiji,
I presented a simple challenge: what are Mbowe's alternatives to Kikwete's political program (export push, expansion of secondary and tertiary education, investment promotion, fight against HIV/AIDS, etc), and what are the intellectual, philosophical, ideological and political underpinnings of those alternatives? Mmeshindwa kujibu hilo suala la msingi, mmebakia kutafuta mugongo mugongo ni nani. But I can understand the shock and distress when a paradigm and set of beliefs are put to interrogation.
Bila majibu ya hili suala la msingi, kama alivyosema Masatu, Mbowe ataendelea tu kutuandikia mashairi kwenye tafakuri zake za kila wiki. But, I am sure anapata column kwasababu ni gazeti analolimiliki.
Habari Leo,
Na Masatu hapo naye katumwa na nani? Look, mambo ya kitoto ya kutishiana peleke huko kwenye forum uchwara. Hapa haangaliwi mtu sura. Zinaangaliwa hoja.
Mzee Mwanakijiji,
Hawa jamaa sasa ubabaishaji wao ndio unaonekana...manake wakizidiwa na hoja wanashindwa kuzijibu wanabakia kwenda kuangalia archives kuona mugongo amekuwa anaandika nini, mara wanatafuta mugongo anafanya kazi wapi, mara wanamuita mugongo tumbili, mara hivi, mara vile. Come on CHADEMA guys...deal na hoja iliyo mbele yenu. You have dominated this place for too long and you can't take it kwamba kuna different view points. I presented a simple challenge: what are Mbowe's alternatives to Kikwete's political program (export push, expansion of secondary and tertiary education, investment promotion, fight against HIV/AIDS, etc), and what are the intellectual, philosophical, ideological and political underpinnings of those alternatives? Mmeshindwa kujibu hilo suala la msingi, mmebakia kutafuta mugongo mugongo ni nani. But I can understand the shock and distress when a paradigm and set of beliefs are put to interrogation.
Bila majibu ya hili suala la msingi, kama alivyosema Masatu, Mbowe ataendelea tu kutuandikia mashairi kwenye tafakuri zake za kila wiki. But, I am sure anapata column kwasababu ni gazeti analolimiliki.
Habari Leo,
Na Masatu hapo naye katumwa na nani? Look, mambo ya kitoto ya kutishiana peleke huko kwenye forum uchwara. Hapa haangaliwi mtu sura. Zinaangaliwa hoja.
Mzee Mwanakijiji,
Hawa jamaa sasa ubabaishaji wao ndio unaonekana...manake wakizidiwa na hoja wanashindwa kuzijibu wanabakia kwenda kuangalia archives kuona mugongo amekuwa anaandika nini, mara wanatafuta mugongo anafanya kazi wapi, mara wanamuita mugongo tumbili, mara hivi, mara vile. Come on CHADEMA guys...deal na hoja iliyo mbele yenu. You have dominated this place for too long and you can't take it kwamba kuna different view points. I presented a simple challenge: what are Mbowe's alternatives to Kikwete's political program (export push, expansion of secondary and tertiary education, investment promotion, fight against HIV/AIDS, etc), and what are the intellectual, philosophical, ideological and political underpinnings of those alternatives? Mmeshindwa kujibu hilo suala la msingi, mmebakia kutafuta mugongo mugongo ni nani. But I can understand the shock and distress when a paradigm and set of beliefs are put to interrogation.
Bila majibu ya hili suala la msingi, kama alivyosema Masatu, Mbowe ataendelea tu kutuandikia mashairi kwenye tafakuri zake za kila wiki. But, I am sure anapata column kwasababu ni gazeti analolimiliki.
Mugongo, nimeweka mada mpya ili kama unataka kuhoji mipango ya chadema kwa nchi iwe kule. Nimeweka vipande vya ilani yetu. Sasa wewe vipime na hali halisi ya nchi yetu ya sasa halafu useme kama Mbowe hana hoja.... Karibu kwa mjadala
MHESHIMIWA rais,
Naendelea kumshukuru Mwenyezi Mungu, kukujalia wewe na taifa kumaliza sikukuu ya Pasaka salama.
Kama nilivyotanabaisha wiki iliyopita, naomba nianze leo kuijadili hotuba yako ya kulizindua Bunge; hotuba iliyopewa heshima na sifa kubwa na Watanzania wengi ya kuwa mojawapo kati ya hotuba nzuri za kutoa matumaini kupata kutolewa na kiongozi wa CCM tangu baada ya Baba wa Taifa kututoka.
Niruhusu, nitakapojadili hotuba yako; ambayo mimi na Watanzania wenzangu tuliaminishwa ilikuwa dhamira yako angalao kwa wakati ule niweze kuilinganisha na utekelezaji wake sambamba na matukio mengine yaliyojiri wakati wa mchakato wa uchaguzi na hatimaye ndani ya utawala wako na hivyo kuendelea kuamini ni kwa busara na baraka zako.
Mheshimiwa rais,
Kauli ni kitu kisichoshikika, kisicho na uzito katika mazingira ya kawaida. Hata mtoto anaweza kutoa kauli na hata maisha yetu yote yamejaa kauli mbalimbali.
Kauli inabadilisha maudhui yake na kuendelea kuwa kitu kisichoshikika, lakini chenye kupewa tafsiri au sifa ya uzito inapoanza kuangaliwa kwa mapana imetolewa na nani. Kauli ni mwanzo wa mchakato wowote. Kauli ni kipimo cha kwanza cha hulka. Kauli ni uwakilishi wa dhamira, tabia na fikra. Inapokuwa nyoofu na ya kweli huzaa neema. Ikiwa ya laghai na masihara, huweza kuleta maangamizi, kutegemeana na nani ameitoa.
Rais si mtu wa kawaida. Baada ya kuapishwa pale Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kukabidhiwa rasmi dola, si tu kuwa kauli yako iliongezeka uzito, bali iligeuka mamlaka.
Ulipolihutubia Bunge, ulikuwa huombi kura. Tayari ulishaapishwa. Wagombea wengi hutoa kauli za ajabu ajabu za kufikirika ili mradi tu wapate kura. Hatua hiyo ulishavuka, ndoto yako ya miaka kumi ilishatimia na roho zaidi ya milioni 35 zinapata tumaini au taabiko kwa kila kauli itokayo kinywani mwako.
Naamini hivyo, kwani wewe ni mtu uliyetwishwa na kujitwisha majukumu mazito mno yanayoambatana hata na mamlaka ya kuamua nani anyongwe na nani asamehewe. Naam, umetwishwa kwani ulichaguliwa miongoni mwetu na hukujichagua. Upande wa pili, umejitwisha kwani umethibitisha mwenyewe kuwa uliupania kwelikweli kwa kujiandaa kwa miaka kumi.
Mheshimiwa rais,
Miezi kumi na tano ya utawala si muda mrefu kwa matunda na matokeo ya utawala kuonekana. Hata hivyo, nikiri kuwa nakubaliana sana na busara za wahenga waliosema nyota njema huonekana asubuhi au uimara wa jengo ni msingi wake.
Ni dhahiri utastahili muda zaidi kuweza kujenga kuta na hata kupaua nyumba yetu Tanzania. Hata hivyo, nina imani kuwa msingi wa ujenzi huu ni kauli rasmi uliyowasilisha bungeni kupitia hotuba yako ile ya Desemba 30, 2005.
Ni kwa maana hii basi, waraka wangu kwako, leo utajikita kujaribu kupambanua, kutafakari na kuelewa busara za kauli zako, ambazo kwetu Watanzania tulizipokea kwa furaha na matumaini, tukiamini lile lile nililozungumza awali, uzito wa kauli za rais na si mgombea urais.
Mheshimiwa rais,
Hotuba yako ilikuwa ndefu na ilizungumzia mambo mengi. Sitapenda kukuchosha wewe na wananchi wako kwa kuijadili yote kwa pamoja, hivyo niruhusu niijadili kwa awamu, kadri ilivyotiririka kwa wewe kuisoma na kuielezea kwa kujiamini ndani ya Ukumbi wa Bunge. Kama chujio la dhamira yako halisi, leo nitajadili sehemu ya kwanza kabisa ya hotuba. Sehemu hii iligusa shukrani zilizoambatana na pongezi.
Mheshimiwa rais,
Hotuba yako ilipongeza watu, idara na taasisi kadhaa. Sehemu ya shukrani na pongezi zile zililenga zaidi yale yaliyoendelea wakati wa uchaguzi.
Tafakuri ya kina ya yaliyojiri na yanayojiri, inaamsha hisia hasi kuhusu uthabiti wa kauli zako na hivyo hofu kuwa dhamira yako ya dhati sambamba na utashi wako wa kisiasa hauwakilishwi na kauli zako.
Tafsiri yangu ya kwanza, inatokana na maudhui yaliyobebwa na kauli yako ifuatayo. Nanukuu: Nawashukuru wapinzani kwa ujasiri wao mkubwa wa kujitokeza kushindana na CCM. Uchaguzi sasa umekwisha. Kauli ya wananchi imedhihirika. Tuungane, tuwe kitu kimoja; tujenge na kuendeleza nchi yetu.
Baada ya kubaguliwa na kudhalilishwa kwa njia mbalimbali wakati wa utawala wa awamu ya tatu, wapinzani waliichukulia kauli yako hii kama nuru mpya ya matumaini ya ushirikiano wa dhati wa kuijenga nchi yetu.
Mheshimiwa rais,
Maridhiano na ushirikiano wa makundi ya vyama vya siasa (wanachama pamoja na viongozi wao) na hata ya kijamii, ni sehemu ya mifumo ya utawala ambayo msingi wake ni katiba ya nchi. Utekelezaji wake hauwezi kuwa wa misingi ya kauli pekee bali kwa mifumo ya sheria, kanuni na taratibu. Kauli yako, kama ingekuwa ya dhati, ingestahili kuwa agizo ambalo ungepaswa kulisimamia.
Pamoja na kuwa na waziri anayeshughulikia mahusiano haya, leo ni miezi kumi na tano, hakuna mkakati wowote tunaoujua wadau, wa kuweka mfumo au utaratibu wowote wa kisheria wa kuwezesha haya kufanyika.
Wewe binafsi unajua jinsi katiba ya nchi leo inavyodhoofisha makusudi kukua kwa vyama vingi. Unaelewa vizuri kuwa, baada ya uchaguzi, siasa katika mfumo wa vyama vingi huamia bungeni. Vyama kupitia wabunge, vina wajibu wa kuisaidia serikali kwa kuikosoa pale inapobidi, na haya mahali pake ni bungeni. Kazi hii huongozwa na viongozi wakuu wa vyama. Dunia nzima inashangaa unafiki wa demokrasia unayosimamia.
Mmeamua kwa makusudi kusimamia sheria ya kuvigawa vyama vya siasa kwa kuwa na makundi ya viongozi walio bungeni na walio nje ya Bunge. Nawapongeza wabunge wetu wa upinzani kwa kuvuka mtego huu na wameendelea kuheshimu vyama na viongozi wao huku wakijitahidi kuwakilisha maslahi ya taifa.
Mheshimiwa rais,
Naomba nieleweke, siombi uteuzi, ila naamini sheria na katiba zinastahili kubadilishwa kutoa fursa ya viongozi wa vyama vyenye wafuasi kuweza kuendeleza siasa na sera za vyama vyao kupitia hoja ndani ya Bunge. Viongozi wa vyama vya upinzani wanastahili kuingia bungeni si kwa kupewa zawadi, bali kwa taratibu na vigezo vya kisheria.
Wewe kama rais uliyetoa kauli ya kutaka wapinzani washirikiane nawe, ulitaka watumie njia gain, kama hata vikao nao unaona tabu? Unaweza kupuuza vipi viongozi wa vyama vilivyopata mamilioni ya kura katika demokrasia ya kweli?
Nina hakika ulipomteua Mhe. Yusufu Makamba kuwa mbunge, tayari ulikuwa una dhamira ya kumteua kuwa katibu mkuu wa chama chako.
Unajua vizuri sana jinsi Kamati Kuu ya chama chako ilivyobadilisha dakika za mwisho kabla ya uchaguzi mkuu wa 2005 kusudio la kutoa viti 30 vya Bunge kwa njia ya uwakilishi wa uwiano kupitia vyama.
Lengo lenu lilikuwa kuendelea kuzuia kimkakati viongozi wa upinzani kuingia bungeni. Kwa sababu ya ubinafsi, Bunge linafanywa butu na taifa linakosa michango muhimu ya viongozi wa kambi ya upinzani.
Kilio cha wapinzani kiko pale pale. Mjadala rasmi wa katiba ndiyo ungekuwa ufunguo wa dhati wa maridhiano, mshikamano na umoja wa kitaifa. Vyote bado ni ndoto. Tunachoshuhudia leo ni kuonyeshana misuli ya kisheria mahakamani kati ya wapinzani na serikali.
Mheshimiwa rais,
Kauli yako nyingine inayonitaabisha kukuelewa vyema ni hii: Navipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kazi kubwa na nzuri waliyoifanya, ya kuhakikisha kuwa nchi yetu inaendelea kuwa kisiwa cha amani na utulivu wakati wote wa mchakato wa uchaguzi mkuu. Wameonyesha uaminifu kwa taifa na uzalendo wa hali ya juu. Nawapongeza sana.
Katika uchaguzi mkuu, vyombo vya dola vilipendelea vilivyo chama chako. Kuvipongeza kwa stahili hii, wewe kama mkuu wa nchi, ni kukiri kuwa hakukuwa na tatizo lolote la kiulinzi na kiusalama katika uchaguzi ule na hivyo huoni kama kuna sababu ya marekebisho yoyote.
Majeshi yetu, tena yakiongozwa na yale ya ulinzi (JWTZ), yalifanya vituko vya aibu kule Zanzibar kwa hata kudiriki kutandaza vifaa vya kivita. Jeshi la Polisi nalo lilitoa ulinzi kiubaguzi. Watu walipigwa na kuumizwa. Vyombo vya dola viliruhusu CCM wafanye ubabe kwa kadri walivyotaka ilhali wale wa upinzani wakibambikiziwa kesi kila kukicha. Askari walitumika kupiga kura zisizo halali.
Usalama wa Taifa walikuwa sehemu yako ya kampeni na walitumia ofisi yao kutetea maslahi ya CCM badala ya taifa. Vyombo vya dola viligeuza wapinzani raia daraja la pili. Rais unayajua haya vizuri, kwani nina hakika wewe ni mjanja. Kupongeza vyombo hivi kwa utaratibu uliofanya, ni kuikana dhamira yako uliyojaribu kuijenga wakati huo huo.
Mheshimiwa rais,
Uliendelea kwa kusema: Nazipongeza Tume ya Uchaguzi ya Taifa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar, kwa kazi nzuri sana waliyoifanya katika chaguzi zilizopita. Naomba waendelee kunoa uwezo wao, maana Watanzania Bara na Zanzibar wanastahili uchaguzi mzuri
Kama kuna kikwazo namba moja cha demokrasia ya kweli nchini mwetu leo, ni miundo ya tume za uchaguzi, hususan kwa Tanzania Bara. Wapinzani tumelia sana na kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi, lakini tumepuuzwa.
Kama tuna tume ya uchaguzi, basi ni sawa na wakala wa CCM. Mfumo mzima wa tume ni aidha watumishi makada wa CCM au wastaafu makada. Nchini kote, bado leo tunatumia watendaji walewale wa halmashauri na serikali za mitaa zilizojaa makada wa CCM kusimamia haki ya wapinzani.
Hawa ni dhahiri wanapewa maelekezo toka ndani ya CCM na hili lilidhihirika kwa vitendo na kauli za viongozi waandamizi wa CCM, akiwamo Mkapa, Sumaye, Malecela na wengineo wengi.
Katika maeneo mengi, maofisa walioitwa wa tume walikuwa ni sehemu ya Serikali ya CCM, wenye maagizo rasmi ya kuhakikisha wewe, wabunge na hata madiwani wako wanashinda kwa vyovyote vile. Ubabe umetumika maeneo mengi na UNAJUA.
Mheshimiwa rais,
Shukrani na pongezi ni uungwana. Ni ishara ya kuridhia jema lililofanyika kwa misingi ya haki, taratibu na sheria. Lenye kustahili tuzo ya kauli ya pongezi na shukrani, ni lazima liwe jambo la halali na lisilo na mawaa ya aina yeyote.
Hata hivyo, shukrani na pongezi zinapotolewa kwa mambo ambayo si ya halali au hayana uhalali wa kutosheleza sifa stahiki, basi tafsiri nyingi huibuka na kujenga hisia za maulizo.
Wewe kama rais wetu, kutoa pongezi tena za dhati kwa vyombo vilivyotumika kupinda haki, ni ishara ya mawili: Moja, rais wetu kauli zako hazina dhamira ya kweli au pili; rais wetu ni makini mno hadi kupitiliza kiasi cha kutokujua ukweli au kukubali kudanganywa na wasaidizi wako katika mambo ambayo hata mtoto mdogo wa chekechea angestahili kuyaona katika uchaguzi ulioshinda.
Mheshimiwa rais,
Nikushukuru tena kwa kuridhia kuandika kwangu kwani kauli yako ni mamlaka inayotosha kuondoa usumbufu wangu pamoja na mimi kuamini kuwa ni sehemu ya utii wa utekelezaji wa rai yako kwamba tusaidiane kulijenga taifa letu.
Nakutakia wajibu mwema na afya tele na ninakuahidi kuendela na utii huu wiki ijayo!
Mheshimiwa rais,
Naomba kutoa hoja!
Freeman Mbowe
freeman@chadema.net
Augustine Moshi heshima yako mzee.
My friend if NARC ousting KANU is the best model of war against corruption then , I am sorry we have a long way to go. We would rather stick with what we have. From experience I have had some time in the opposition parties in Tanzania. It is a sad story, it is merely a haven of dissappointed former CCMs with axes to grind. The most unfortunate thing ni kuwa CCM na hawa viongozi wa Upinzani ni watu wale wale wanafahiana in and out. Wengi wa viongozi wa Upinzani walikuwa kwenye parastatal organizations wakaziua. Leo wanijidai ni reinvented thinkers wa jamii yetu. MMMH!!! Kazi ipo.
Ili taifa letu lisizidi kudidimia, itabidi CCM ikae benchi (upinzani) kwa kipindi fulani. Hakuna uwezekano wa kukarabati serikali a CCM ikawa nzuri. It is unserviceable. Angalia jinsi ndugu zetu wa Kenya walivyoweza kuanzisha vita vya ya kweli dhidi ya rushwa baada ya kuiweka KANU benchi.
Augustine Moshi