Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahah, itabidi tumuuliza zito, Dr. au mnyikaDuh Mheshimiwa kapiga post mbili tangu mwaka 2006 inawezekana yuko busy sana au tumueleweje.Watani wa post moja kila baada ya miaka mitatu ahaaa aaa.
give me a break! Mbowe kama anawajua hao awataje!!!! Mimi mwenyewe mbona viongozi wa ngazi za juu wa Chadema wamenifuata na kutaka nijiunge nao kwa ahadi za vyeo?!!
Duh Mheshimiwa kapiga post mbili tangu mwaka 2006 inawezekana yuko busy sana au tumueleweje.Watani wa post moja kila baada ya miaka mitatu ahaaa aaa.
mheshimiwa mbowe karibu sana ,kwa kweli jambo ni sehemu pekee ambapo hoja za msingi zinajadiliwa bila woga ,nafikiri bora sisi wengine tufiche majina ,huku nyie makamanda mtapata mambo mengi ya kuiweka sawa nchi ,ni matumaini yetu kuwa hoja ZETU HUKU ZITAPATA mbebaji.
muheshimiwa huku tuna uchungu sana na nchi yetu ,mara nyingi nakaa najiuliza tungepata hata asilimia 10% ya wananshi wawe na ufahamu kama wa wana forum ,tusingekuwa tunaletewa mikataba kama ya kina cifu mangunga,ea richmond.naomba kutoa changamoto ya kupatikana gazeti lisilohitaji faida na radio [mf butiama ] ambayo itakuwa funded ili maono kama haya yawafikie wananchi wengi wale wa vijijini ,tatizo kubwa haya magazeti mengi yanayotegemea matangazo ya serikali na hata lile RAI tuliloliamini sasa yamegeuka ya mtandao,hata lile la kwako ukitaka kuliendesha kibiashara ni vigumu kama utakuwa too critical....
la mwisho mmenisikitisha sana CHADEMA na wapinzani kwa ujumla kutokwenda mahakama ya east africa kupinga ule uchaguzi ,,,bado muda upo naomba tuitumie mahakama ile ,hii ni mara ya pili ccm kupitisha wapinzani dhaifu kumbuka ya zitto kabwe kukosa ubunge wa africa na sasa hili.
karibu sana!!!
I really love CHADEMA but some people within the Party are a major disappointment to us.
ngoma imekua nzito mpaka mwenyekiti anahitajika humu, aisee
Kinana na wassira wapo humu?