Lahaula!!!! Yani kutoka 2018 mpaka 2020 bado 19km haijaisha. Ilhali nairobi express way iliyoanza mwezi uliopita itakuwa tayari december 2022 itachukuwa mda kidogo kuliko hii kibaha na nairobi expressway inapaa juu kwa juu ikiwa na 8,6 na 4 lanes.
Mkuu, kubali yaishe tu. hakuna namna.imetushinda,kwa makusudi kabisa unaamua kuiponya roho yako kwa kuukataa ukweli.
baki hivyo.
Hebu mjibu jamaa kwa hoja hapo juu, nikweli tuliskia kwamamba mwaka jana tulikuwa tuanze kutumia treni vp?
Mlisikia wapi? Huo mradi ulitakiwa kukabidhiwa 2020 sept.hali ya hewa imesababisha usitishwaji wa kazi kwa kipindi kirefu.ndio maana unaona tumeachwa na muda.
Ila mpaka kufikia sept 2020,tutafanya tathmini rasmi ni kwa kiasi gani tumeachwa na muda.
So tuliza mpira.
Mkuu, kubali yaishe tu. hakuna namna.
Nani contractor!
usilieee
Kweli nyinyi watu hamjui nchi yenu. soma project start date huyu ndiyo anajenga hiyo barabara.tokea 2018 umeonea wapi hizo taarifa ndugu yangu???
maana naona unatafuta uchochoro uhepe.
Nikama Estim construction wako experienced on buildings only if this road is taking them all this time.Kweli nyinyi watu hamjui nchi yenu. soma project start date huyu ndiyo anajenga hiyo barabara.
Kimara – Kibaha Road : ::: Estim Construction :::
Utanzania inawasumbua hao estim !!! Akili hakuna lakini mdomo wanapayuka kama yote, hata barabara ya 19 km imewasumbua kutoka 2018.Nikama Estim construction wako experienced on buildings only if this road is taking them all this time
Kenya tunajenga barabara ya 27 km ikipaa juu kwa juu chini ya miaka 3, nyinyi barabara ya 19 km ambayo ni ya chini bado hamjamaliza.tokea 2018 umeonea wapi hizo taarifa ndugu yangu?
Maana naona unatafuta uchochoro uhepe.
Naona unatafuta uchochoro uhepeTokea 2018 umeonea wapi hizo taarifa ndugu yangu? Maana naona unatafuta uchochoro uhepe.
Kenya tunajenga barabara ya 27 km ikipaa juu kwa juu chini ya miaka 3, nyinyi barabara ya 19 km ambayo ni ya chini bado hamjamaliza
Kweli nyinyi watu hamjui nchi yenu. soma project start date huyu ndiyo anajenga hiyo barabara.
Kimara – Kibaha Road : ::: Estim Construction :::
Angalia hapo ama pia kusoma ni shida? Hao wenye kujenga wamesema 2018 wewe ni nani? Wacha ujinga ya Kitanzania. Miradi yenu yote imekwama.mbuzi ujenzi umeanza lini???au unajitia kichaa??
Yes, I was supposed to be part of this project but was taken elsewhere
Angalia hapo ama pia kusoma ni shida? Hao wenye kujenga wamesema 2018 wewe ni nani? Wacha ujinga ya Kitanzania. Miradi yenu yote imekwama.
i) Mwanza airport kutoka 2014 bado imebaki ile vibanda ya ngombe
ii) sgr km 200 mturuki amefilisika.
iii) Kibaha highway, estim bado wanasoma jinsi ya kutandaza lami.
iv) Rufiji aliyekuwa supplier wa chuma alifilisika
Kuna kitu kweli mtanzania anaweza fanya kizuri, ama ni hii mdomo ya kawaida yenu. Mdomo mingi na akili hakuna.
Hii kweli ni Ujinga ya Kuzaliwa, hii hata mungu hawezi kurekebisha!!
Wabongo, mkitokea side ya Namanga kuja Nairobi, hii ndio barabara mtakua mkitumia. Welcome to Nairobi (they should put a signage with those words pale JKIA interchange.
HAHAHA, Kusoma imekushinda sasa umeruka kwa ujinga ya kitanzania. Umia na hii bara bara yetu, ya kwanza ukanda huu wa afrika mashariki.wewe mbuzi denial haitakuweka sehemu salama shangazi.
Maumivu yako hayafanyi hiyo miladi kusimama au kusua sua.nimekuuliza toka 2018 mpaka leo ni miaka kumi na ngapi??[emoji2][emoji2]hujibu unarukia mengine.
Mimi naweza kukupa picha za site hapa sasa hivi miladi yote mitatu uliyotaja.lakini naogopa usije jiua kwa maumivu.pole budaa.
Miundombinu bora EA[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndo mana ake mkuu, wao wapo kisiasa zaidi cc tupo kiuhalisia.kwani hizi huko kenya ni kwa ajiri ya uhuru kuombea kura??
Tupate wadhamini kdg, homa ya Afrika mashariki na kati[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Kazi yenyewe ipi hatujaona hata kimoja kinachotumika, SGR imewashinda.