The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Usiongee bila ushahidi tafadhali, tupo zama za ukweli na uwazi weka picha wacha maneno.Exposure ni Tatizo kubwa sana Dar es Salaam, ukiwaangalia utasikitika Kuna mtu anabishana hapa wakati yeye anajua kijijini kwao na Kariakoo tu
i) Nairobi iko developed kushinda Dar na mbali, yani hata kulinganisha Nairobi na dar ni matusi. Tafuta "Most developed city in east africa".Global city kwa mlengo upi hebu weka link km hujaumbuka hapa, mm naongelea developed city we unaongea upupu hapa.
i) Nairobi iko developed kushinda Dar na mbali, yani hata kulinganisha Nairobi na dar ni matusi. Tafuta "Most developed city in east africa".
ii) Global city kwa mlengo ya:
a) Infrastructure,connectivity and grade A offices
b) education and human resource
c) Business
d) Global experience.
e) Multiculturalism
sasa wewe upande wako unaona dar is more developed than nairobi? ebu tuonyeshe ni wapi imeandikwa dar is more developed than nairobi?Usiongee bila ushahidi tafadhali, tupo zama za ukweli na uwazi weka picha wacha maneno.
Ss ndo uweke picha humu kuhusu hzo infrastructure maneno ya nn[emoji3][emoji3]i) Nairobi iko developed kushinda Dar na mbali, yani hata kulinganisha Nairobi na dar ni matusi. Tafuta "Most developed city in east africa".
ii) Global city kwa mlengo ya:
a) Infrastructure,connectivity and grade A offices
b) education and human resource
c) Business
d) Global experience.
e) Multiculturalism
Hii hapa nyingine.
Thika road ambayo ni kubwa kushinda hiyo unashabikia hapa na ndefu zaidi (45 km) ili chukua chini ya miaka 3 kujengwa.
Kwa sahi tumeanza Nairobi expressway 27 km na inaonekana itamalizwa kabla hii kibaha iishe.Na itakuwa na 8 lanes, alafu 4 lanes ikiingia kati kati ya jiji la Nairobi. Ukumbuke itakuwa ikipaa juu ya Mombasa road na uhuru highway.
Yani nyinyi huni shangaza!!! Barabara moja inawasumbua hivi, mgekuwa kama Kenya vile tunajenga western bypass (17 km dual carriageway), Waiyaki way highway (6 lanes, 25 km), Nairobi elevated expressway ( 8,6 na 4 lanes, 27 km), Nairobi Metropolitan Commuter rail (200 km) mungeruka vichwa na kutembea uchi.
Naona baridi tayari ishakupata. Ndio tumeanza na ushatense. Now let me take you to Mombasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji121][emoji121][emoji121][emoji121] the mtumbas.
Kwahyo hiyo ndiyo 3level au umelewa ww[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Naona baridi tayari ishakupata. Ndio tumeanza na ushatense. Now let me take you to Mombasa
View attachment 1579227View attachment 1579228View attachment 1579231
Nairobi kuwa developed na watu kuwa na elimu ya juu, ndiyo sababu ya makampuni kuweka HQ zao za Afrika Nairobi.Usiongee bila ushahidi tafadhali, tupo zama za ukweli na uwazi weka picha wacha maneno.
Washafuta tayari mbn mkuu we huoni ninavyowachezea humu ninavyotaka na hakuna wa kunisumbua [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hii kitu mnafaa kufuta kwa vichwa vyenu sasa.
au tutumie nguvu???
Uko na swali bado?Iko wapi hyo 3level hebu weka hapa tuione unaficha ficha nn mbn mm nimeweka hadharani [emoji3][emoji3]
Naona umeanza kutafuta uvumi na udaku kwenye twitter, Kaaambie mturuki kwanza amalize hiyo SGR.ndio sababu mnatoa vitu boko kama hivi,haraka ya nini??View attachment 1579234
View attachment 1579235
Kwa uwakala tu na ubabaishaji mnatuzd ila co level of development as a whole sahau.Nairobi kuwa developed na watu kuwa na elimu ya juu, ndiyo sababu ya makampuni kuweka HQ zao za Afrika Nairobi.
Facebook, Google, Airtel, IBM, General electric (walitoroka joburg na kuja nairobi), Microsoft, Coca cola, Goldman sachs, Mc Kinsey and Company na zingine mingi kama PWC, Deloitte, KPMG.
Is this a 3level interchange? nilijua lazima ulete hii nlikuwa nakutekenya tuu, ubabaishaji mtaacha lini nyie watu? Jengeni wacheni mambo ya stone age haya [emoji3][emoji3][emoji3]
Washafuta tayari mbn mkuu we huoni ninavyowachezea humu ninavyotaka na hakuna wa kunisumbua [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umeweka picha tatu ukaanza kubweka, kwani barabara zimeisha Tanzania? Siku mtafika huku usisahau kunijulisha.Kwahyo hiyo ndiyo 3level au umelewa ww[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
What is a 3 level interchange? Define it using words na usipodefine you will be the greatest fool I have ever encountered.Is this a 3level interchange? nilijua lazima ulete hii nlikuwa nakutekenya tuu, ubabaishaji mtaacha lini nyie watu? Jengeni wacheni mambo ya stone age haya [emoji3][emoji3][emoji3]
How many levels do you see?Is this a 3level interchange? nilijua lazima ulete hii nlikuwa nakutekenya tuu, ubabaishaji mtaacha lini nyie watu? Jengeni wacheni mambo ya stone age haya [emoji3][emoji3][emoji3]
Heheheheheeee yn vitu mpk ulazimishe mbn cc tunaweka vitu ambavyo vinaji define vyenyewe hebu tazama 3level hii clear kabisa inaonekana[emoji116][emoji116]What is a 3 level interchange? Define it using words na usipodefine you will be the greatest fool I have ever encountered.