The overpass over Mombasa road has started, is this part of the express way project?

The overpass over Mombasa road has started, is this part of the express way project?

Exposure ni Tatizo kubwa sana Dar es Salaam, ukiwaangalia utasikitika Kuna mtu anabishana hapa wakati yeye anajua kijijini kwao na Kariakoo tu
Usiongee bila ushahidi tafadhali, tupo zama za ukweli na uwazi weka picha wacha maneno.
 
Global city kwa mlengo upi hebu weka link km hujaumbuka hapa, mm naongelea developed city we unaongea upupu hapa.
i) Nairobi iko developed kushinda Dar na mbali, yani hata kulinganisha Nairobi na dar ni matusi. Tafuta "Most developed city in east africa".
ii) Global city kwa mlengo ya:
a) Infrastructure,connectivity and grade A offices
b) education and human resource
c) Business
d) Global experience.
e) Multiculturalism
 
Hii kitu mnafaa kufuta kwa vichwa vyenu sasa au tutumie nguvu?
 
Wakenya naomba msisahau pia kwamba Tz ndiyo nchi inayoongoza hapa E&CA kwa kuwa na miradi yenye gharama kubwa sawa!

Najua inauma ila inabidi mzoee [emoji3][emoji3][emoji3]
 
i) Nairobi iko developed kushinda Dar na mbali, yani hata kulinganisha Nairobi na dar ni matusi. Tafuta "Most developed city in east africa".
ii) Global city kwa mlengo ya:
a) Infrastructure,connectivity and grade A offices
b) education and human resource
c) Business
d) Global experience.
e) Multiculturalism
Ss ndo uweke picha humu kuhusu hzo infrastructure maneno ya nn[emoji3][emoji3]
 
Hii hapa nyingine.

Thika road ambayo ni kubwa kushinda hiyo unashabikia hapa na ndefu zaidi (45 km) ili chukua chini ya miaka 3 kujengwa.

Kwa sahi tumeanza Nairobi expressway 27 km na inaonekana itamalizwa kabla hii kibaha iishe.Na itakuwa na 8 lanes, alafu 4 lanes ikiingia kati kati ya jiji la Nairobi. Ukumbuke itakuwa ikipaa juu ya Mombasa road na uhuru highway.

Yani nyinyi huni shangaza!!! Barabara moja inawasumbua hivi, mgekuwa kama Kenya vile tunajenga western bypass (17 km dual carriageway), Waiyaki way highway (6 lanes, 25 km), Nairobi elevated expressway ( 8,6 na 4 lanes, 27 km), Nairobi Metropolitan Commuter rail (200 km) mungeruka vichwa na kutembea uchi.

ndio sababu mnatoa vitu boko kama hivi,haraka ya nini?

IMG_1840.jpg

IMG_1839.jpg
 
Usiongee bila ushahidi tafadhali, tupo zama za ukweli na uwazi weka picha wacha maneno.
Nairobi kuwa developed na watu kuwa na elimu ya juu, ndiyo sababu ya makampuni kuweka HQ zao za Afrika Nairobi.

Facebook, Google, Airtel, IBM, General electric (walitoroka joburg na kuja nairobi), Microsoft, Coca cola, Goldman sachs, Mc Kinsey and Company na zingine mingi kama PWC, Deloitte, KPMG.
 
Kwa uwakala tu na ubabaishaji mnatuzd ila co level of development as a whole sahau.
 
Washafuta tayari mbn mkuu we huoni ninavyowachezea humu ninavyotaka na hakuna wa kunisumbua [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

elevated highway ya kwanza ukanda huu wa afrika, ndiyo hiyo inajengwa, Mulishindwa kujenga kama thika road sasa tumeamua tuwaongezee ingine juu
 
Is this a 3level interchange? nilijua lazima ulete hii nlikuwa nakutekenya tuu, ubabaishaji mtaacha lini nyie watu? Jengeni wacheni mambo ya stone age haya [emoji3][emoji3][emoji3]
What is a 3 level interchange? Define it using words na usipodefine you will be the greatest fool I have ever encountered.
 
What is a 3 level interchange? Define it using words na usipodefine you will be the greatest fool I have ever encountered.
Heheheheheeee yn vitu mpk ulazimishe mbn cc tunaweka vitu ambavyo vinaji define vyenyewe hebu tazama 3level hii clear kabisa inaonekana[emoji116][emoji116]

tapatalk_1595760678647.jpeg
 
Back
Top Bottom