The overpass over Mombasa road has started, is this part of the express way project?

The overpass over Mombasa road has started, is this part of the express way project?

Naona umeanza kutafuta uvumi na udaku kwenye twitter, Kaaambie mturuki kwanza amalize hiyo sgr.

kwamba huu ni uvumi[emoji13][emoji13][emoji13]

kwanini mtu avumishie uzushi nchi yake!!!imagine maji ya bomba yamevunja barabara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

sijui yakija mafuriko yataifanya nini!!!
tukisema mmepanga matofari kwenye kifusi mnanuna.
 
Acha kuwasumbua na maswali, kama interchange ndio wako nazo mbili pekee in the entire country sasa elevated Highway ndio watakuwa nayo?

Mlisema hakuna kabisa,sasa mnasema ni mbili[emoji38][emoji38][emoji38]. Siku mtasema ni 8 kwa vinywa vyenu,sisi tunawapa muda tu.
 
Hapo naona tofali tu bibie au we unaona nn hapo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mmejenga barabara mbili ati sasa mnataka kujilinganisha na Kenya. Hiyo mtangoja hadi yesu ashuke juu hamtawahi fikia Kenya in that sector. Anyway to cut the long story short, where are the infrastructure you were talking about?
south2.jpg
 
Narudia tena kuna infrastructure zipo Tz kenya hamna but hakuna infrastructure ipo kenya alafu Tz hakuna au niongeze sauti [emoji3][emoji3][emoji3]
IMG_20200623_000751.jpeg
 
This guy is just trolling.

It will be 10 to 20yrs before Tanzania ever gets an overpass of this type.

We had three level interchange 10yrs ago. They get one in 2020 and they think they can brag about it....SMH

I suggest we don't mess up this thread by arguing with these people over a project that they have not even began thinking about like this elevated expressway
 
Mmejenga barabara mbili ati sasa mnataka kujilinganisha na Kenya. Hiyo mtangoja hadi yesu ashuke juu hamtawahi fikia Kenya in that sector. Anyway to cut the long story short, where are the infrastructure you were talking about?
View attachment 1579301

Mfano hii barabara ni pesa ngapi?
Nnini cha ajabu hapo zaidi ya hizo duara za bei chee[emoji16][emoji16][emoji16].
 
Hii hufanyika dunia mzima, kukiwa na land slide.
i) Hii hapa chini kwa picha ikifanyika Norway hizi ni vitu mtu hauezi zuia.
ii) Hata mwaka jana barabara ya kutoka mai mahiu kuelekea Narok ilikatika ka kuacha shimo kwa sababu rift valley ilianza kusonga tena. sahi imerekebishwa. Hata hiyo redhill link road itarekebishwa.
iii) Japan wameishi wakirekebisha barabara zao baada ya kila earthquake au tsunami.

Punguza udaku na uvumi, hii ni nature na haiwezi zuia, ni kukubali na kurekebisha.

1600946618554.png
 
kwamba huu ni uvumi[emoji13][emoji13][emoji13]

kwanini mtu avumishie uzushi nchi yake!!!imagine maji ya bomba yamevunja barabara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

sijui yakija mafuriko yataifanya nini!!!
tukisema mmepanga matofari kwenye kifusi mnanuna.
Uvumi na udaku kwa sababu ni kama hamjui mmomonyoko wa ardhi hutokea ki ghafla dunia mzima na watu wanarekebisha hasara hiyo. Ni ujinga na uwivu kushabikia vitu kama hizi. Nyinyi ndio wale wa kushabikia Japan ikipata earth quake.
 
Tunachocheka hapa ni hii mifereji ilimaliza dollar mill ngp vilee[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
tapatalk_1600937135924.jpeg
 
Back
Top Bottom