The perfect one night stand

ilikua kwnye harusi moja usiku... mdada tumekaa nae table moja nae hana kampan kama mimi ikabidi tukampaniane tukaenda mpaka over time!!!! It was remarkable
 
Nawashangaaga binadamu nyie ambao mnapenda kunyooshea vidole wenzenu as if nyie mna mkataba wa kuishi milele.

Listen bana kama umepangiwa kufa kwa ngoma utakufa kwa ngoma tu. Pia ujue kuna vitu vingi vinaua siku yako ikifika huna ujanja.
 
Aseee...ile yangu ilikuwa "one night sleeping"!Maana sikupewa "taarifa ya habari"!Nalikuwa nimelala kwa keroro,lol!
 
Kuna siku nilikuwa mitaa ya sinza. Nikamuona mdada 25-28yrs anafuta machozi. Its like ana tatizo or smthn. Roho ikaniuma nikamfuata nikamfuta machozi then nikampa pole. Nikamwambia whatever it is will be ok usijali. Nikarudi nilipokuwa nmekaa. After like 10mns hivi akainuka akaja kukaa nilipokuwa. Akaniomba naweza kukaa hapa. Nikamwambia bila shaka usijali. Akanieleza kuwa bf wake amemfumania na demu mwingine. Nikampa pole. Tukapiga story story kidogo then nikamwambia unapendelea nn (katika kupoteza mawazo ya the so called bf) akasema movie. Ilikuwa saa 12 tukachukua bajaj hadi mlimani tukaingia movie. Cha kushangaza akalipa kiingilio. Tukacheki movie ilivyoisha. Akaniuliza napenda nn ili nami nifurahi n iwe kama asante kwa kumpa company wakati ule mgumu. Nikamwambia twende migombani nipate angalau ndovu 2 baridi sana. Tukatembea mpaka brajec. Njiani akawa ananishika mkono. Akasema the way alivyoumia hakutegemea kama atakutana na kijana mstaarabu mwenye huruma n upendo kama mimi. Dah mtu mzima akili ikaruka fasta nikajisemea kaumia lazima nilie shida hapa who knows naweza pata hifadhi kidogo. Tukafika brajec nikaagiza ndovu yeye akaagiza zanzi. Tukapiga round 3. Nikamwambia tumalizie siku. Akasema ngoja afikirie nimpe dk kadhaa. Huku tunatoka njiani akakubali bt akasema kinga muhimu. I was like fine usijali. Tukatafuta ka hotel kazuri maeneo ya mwenge akalipa. Nikanunua vinywaji tukazama room. Shughuli ilikuwa ndefu n tamu sana. Kushtuka saa 11 tukalala kidogo saa 3 tukasepa zetu.
Sijamuona tena hadi wa leo.
 
ilikua kwnye harusi moja usiku... mdada tumekaa nae table moja nae hana kampan kama mimi ikabidi tukampaniane tukaenda mpaka over time!!!! It was remarkable

Mimi mic you kichaa wangu afu mbona hubadilishi avatar
 
Nyingne sijui ni 1-9t stand au ni nini but any way
 
One night stand noma
 

Attachments

  • 1418226440817.jpg
    33.4 KB · Views: 892
  • 1418226475690.jpg
    13.9 KB · Views: 822

Mkuu itabidi ujitathmini...ungempa kitu sawasawa angelazimisha kuchukua nambazako. Pole
 
Katika vitu sijatamani kufanya, na wala sitegemei kufanya ni one night stand.
Nikutane tu na mtu bila hata kumjua nivue boksa ....mmmh!
wewe ni 1 in a milion hiyo kitu ni kawaida mkuu ukifikisha umri wa utu uzima kama umekula ujana vizuri lazima itatokea
 
One night stand should remain as a one night stand...niliwah kulazimisha kurudia game mara baada ya kupata mambo ya uhakika kwa mtu alopaswa kua one night stand...iliboa na hatukuiongelea tena...hadi sasa tukikutana tunapishana kama strangers
 
Here we share experiences.
Misinihukumu coz it was long time....
Nilikuwa safarini natoka Mbeya nakuja Dar,gari yetu ilikuwa na misukosuko sana maana break zilikuwa zinasumbua mpaka iringa tuliingia saa 8 mchana just imagine....kuna Dada mmoja alikuwa amekaa kiti cha nyuma kabisa alikuwa ananiangalia sana mpaka tulipofika kwenye hotel ya Comfort alikuwa bado ananitolea macho kipindi icho nilikuwa na stress nyingi sana nkawa sijali.
Tulipofika kwenye mtemko kabla ya kufika Mikumi mizani gari ilifel break tukapata ajali hiyo ilikuwa ishafika SAA 11:30
Sasa tukafaulishwa mpaka mikumi mizani ili tujusitili ili kesho tuendelee na safar maana mda ulikuwa umeshaenda.
Kumbe yule msichana bado yupo na Mimi naenda kutafuta msosi yupo .....ikabidi tuanze mazungumzo tukaja kuishia guest mpaka asubuhi yaani ilikuwa ni big experience.
Kesho tulivokuja kufaulishwa alishukia Moro msamvu.nilikuja kukutana nae miezi sita baadaye maana alichukua business card yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…