- Thread starter
- #61
Sure anataka huruma uyo kwa mashosti wa JF......mwanaume abakwi bwana
Kumbe humu ndani kuna watu wanafukuziana au wana matarajio ya kufukuzia ndo maana wanajidai malaika lol.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure anataka huruma uyo kwa mashosti wa JF......mwanaume abakwi bwana
Katika vitu sijatamani kufanya, na wala sitegemei kufanya ni one night stand.
Nikutane tu na mtu bila hata kumjua nivue boksa ....mmmh!
Unafikiri tatizo ni kutumia au kutotumia ndomu, its all about dignity man...!Wengine huwa hatukosi condom hata 1 kwenye wallet...
Sijui niseme....?????
Wengine huwa hatukosi condom hata 1 kwenye wallet...
Unafikiri tatizo ni kutumia au kutotumia ndomu, its all about dignity man...!
Unafikiri tatizo ni kutumia au kutotumia ndomu, its all about dignity man...!
feminine???? is being faithful to your partner a feminine act? if so ngoja niwe...!It sound feminine....... Mi simo!
Hiyo ni kauli mbiu nzuri sana kiongozi, huwezi kuvua boksa kwa kila umuonae, thamani ya utu inashuka...Mimi nina kauli mbiu yangu moja
''Sio kila mwanamke anaruhusiwa kuuona mwili wangu''
Oooh yaaaa yaaa i met him kwenye meli, nkiwa naenda bukoba, tulisoma wote o'level japo aliniacha vidato viwili, alikuwa handsome ana mvuto kama pesa mcheza basket, enzi hizo skul hatukuwahi kusalimiana ye si tozi nami sista duu buyu buyu...siku hiyo tukasalimiana na kukumbusha vistori vya skuli kiaina oooh saa nane za usiku katikati ya ziwa victoria baridi kali sweta naliona kama shumizi tu afu ye ana lubega!!!!
ntaendelea kesho nmechoka kuandika.....
Hiyo ni kauli mbiu nzuri sana kiongozi, huwezi kuvua boksa kwa kila umuonae, thamani ya utu inashuka...
Japo kwa vijana wengi ni urijali kuvua vua nguo ovyo..!
sikufanya bana pumbavu zake jogoo la kuchora yule....Duu ndani ya meli? I can imagine jinsi ilivyokuwa sweet.
Matumizi yake ndo hayo. Kurahisisha exchange of contact information. Bila kujali dumuni la kubadilishana hizo contact.Nimekuja kugundua business card zina tumika vibaya
asilimia kubwa ya one night stand zime fanikiwa kwasababu ya business card.
sikufanya bana pumbavu zake jogoo la kuchora yule....
Mimi nina kauli mbiu yangu moja
''Sio kila mwanamke anaruhusiwa kuuona mwili wangu''