The Power of Letting Go....

Niliachwa ghafla bila kuambiwa sababu ya kuachwa. Nilijitahidi ku let go...... ilinisumbua kwa muda mrefu sana ingawa sikuendelea kubembeleza. Akili yangu iligoma kukubaliana na hali halisi kwa kutoelezwa what went wrong.... hadi mahusiano yakavunjwa

.....hapo juu mwanajamiiOne ametoa mfano, "nimepata mwingine zaidi yako!"....

Je? Wewe binafsi ungeweza kubali SABABU kama hiyo? Utajikubalisha 'you are 2nd best...'au hujakidhi viwango na vigezo baada ya miezi, miaka kadhaa pamoja?

...hiyo ndiyo "the power of letting go!...." Ile hali ya kwa upole na unyenyekevu unakubaliana na mwenza wako MUACHANE kwa kheri, bila shari wala shaka yoyote, kwani kwa hali hiyo pekee ndipo nae (bila hasira, jazba wala matusi) atakwambia 'sehemu' ya sababu au sababu 'zote' kwanini ameamua kusitisha mahusiano.

...ulipitia hatua hizo?
 

sure let it go thought it still reject
 

I broke up with the one I loved, but we just talked and now everything is Ok between us and promised to be there for each other.
 
Kuachana au kuachwa kunauma kwa mtu uliyemzoea, but ile upate power of letting go bila kujidhalilisha kumbuka mabaya alokutendea mlipokuwa pamoja, hii itakusaidia kumsahau kwa kasi, usiipe hasira na kinyongo nafasi maana hali hii itakuletea magonjwa mengine kama kisukari, vidonda vya tumbo na presha
 
Mie siwezi ku let go kirahisi i will fight for what i believe its true to my heart, u never know maybe ni shetani wa muda tu kapita,
mpaka nione red light kabisaaa
 

your first point inatokea sana na nimeshazishuhudia sana, unakuta mke ameshachoka mume bado anampenda vikao vya familia vinawekwa mke anakubali kuishi na huyo mume kwa sababu ya heshima ya ndugu na wazazi ambao waliwashauri wakae pamoja au labda na mchungaji pia alichangia lakini yeye binafsi ndani ameshakutoka

Ndio linapokuja hiyo point ya pili kua kwanini mpaka inatokea mtu anakuchukia hivi wakati u used to be lovers ilikua haipiti dakika moja unamkumbuka, you've been thru so much ups and downs good times and bad times, shared alot of memories/dreams together, you know each other so so well like no other...why let go of all that?? i wonder
 

I have never loved i don't why1
 

Duuh mkubwa sijawahi achwa lakini naogopa kaa nini mana maumivu yake ni zaidi ya aliepigwa sime
 
Duuh kaka ogopa kuumizwa huwa tunajikaza tu lakin kiukweli unaweza tamani upotee kwanza hilo eneo
 
Please can we share? How to let it GO bila hacra wala kinyongo and to be appreciative for having that person in your life coz s/he must have brought some shades of happiness sometimes when you were together.

MwanajamiiOne we are happy to let garbage go but not "after-sought" gemstones and when they are precious jewels we are left bitter and with a grudge to nurse....................for many years......of anguish while gnashing our teeth.....and that is what I call honesty
 
Letting it go z not something am good at, but the fact the she/he ditches you for someone else better than you (hypothetically) or for any other reason. Then it's evident enough that she/he doesn't belongs to you, may advice is, you cant hold on to a broken branch while you know there are other good branches out there in the tree. What you have to do is to jump fear not because if you continue to hold on to it you might fall down with it and get injured or killed so it is better to try your lucky instead of waiting for death even if you missed the next branch you death will not be in vain at least you tried because life is all about trying
 
Nikweli,to let go is a powerful amendment in ones life..unajua ku "let go" ninako jua mimi ni kule ku END mahusiano peacefully,no fighting.
Kama unataka kum "let go" mtu ulie mpenda sana,njia ninayo ijua mimi (out of experiece) ni kujua thamani yako mwenyewe,kujua kuwa kuna mtu mwingine angetamani kuwa na wewe,kujua kuwa you deserve a happy relationship! alafu kujua kuwa unae achana nae hakuwa chaguo lako (not your true love)...si maanishi tuwe tuna "let go" kirahisi,ni lazima upiganie penzi lenu lakini sio kiasi cha kujidhalilisha na kujitesa...kumbuka akupendae kwa dhati hawezi kukuliza! and true love is not selfish,true love knows how to LET GO.
 

ExaCTLY! umenena vema@
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…