Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,265
- 540
Kinadharia ni rahisi sana lakini kivitendo inakuwa ngumu.
Kuachana kwa kweli hakuna mjuzi, ni kadiri roho atakavyokuongoza kwa wanaoamini na kwa wengine ni kadiri ya 'power' ya akili yako kukubali kushindwa kwa mahusiano hayo.
'failure management'
muache taratibu co umeona dalili tuunakurupuka na msg za kibuti itakucost mana anaweza kukwambia mi mwenyewe nilikua natafuta hiyo nafasi nipumue afadhar umenirahishia....hahahaaaaaa dah. cha kufanya punguza mawasiliano nae taratibu hadi badae moyo unakua ushamtoa huyo mtu. ndo mana hata walevi na wavuta unga akiacha ghafla anaweza kupoteza maisha so mapenz nayoni km kilevi.
Kuna binti mmoja alikuwa hovyo sana kwangu, kama kuna kizuri kutoka kwake labda 1% out of 100%. Lakini nikapunguza hasira na kuiangalia hiyo 1%, nikaithamini hiyo na kumnunulia zawadi pamoja na card imeandikwa "Thank you so much".
Nilimwita (alijua kabisa kitakachotokea kwa sababu nilimwarifu) nikamnunulia lunch na baada ya kula nikamkabidhi zawadi. Yamekwisha
Hiyo naiita good break up. No uadui wala visasi, wote mnakubaliana kuwa it has to happen kwa faida ya wote.Its very hard but its the wisest thing to do when some thngz dnt work out. Huwa inapunguza maumivu kiasi if both of you understand that even though mnapendana lakini mnalazimika kuachana.kila mmoja akiwa na busara na kuyatafakari mambo kwa kutumia akili na sio moyo,then u will let go without any hatred, anger or any sort of enemity.mtakuwa marafiki wazuri tu bt thats only possible through understanding.
Hiyo naiita good break up. No uadui wala visasi, wote mnakubaliana kuwa it has to happen kwa faida ya wote.
Kinacho waumiza watu ni bad break up. Yaan out of the blue mwenzi wako anaamua tu muachane, hakuna sababu ,hakuna hint yoyote, just cold ?
Maumiv ni pale unajarib kujua whats wrong lakin hataki kukwambia, mwingine kwa kibur anakwambia nimeamua tu.
Katungeeeeee[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Ni ngumu sana kuachana bila maumivu, kwa sababu kwenye mapenzi kuna mmoja anaweza kupenda na mwingine hasipende kweli, sasa ina pokuja swala la kuachana lazima mmoja ata umia.
Wewe unaweza ukasema unaachana na mtu kwa amani lakin yeye ana umia moyoni.
Mwisho wa siku lazima mmoja abaki na donda.
Hamia huku ili uachane naeNatamani sana nipate hii power of letting go !! Tatizo ameanza kuniingia moyoni nimeanza kumpenda kweri kweri!![emoji6][emoji6]
Mrudie tu, ila usisahau ccNatamani sana nipate hii power of letting go !! Tatizo ameanza kuniingia moyoni nimeanza kumpenda kweri kweri!![emoji6][emoji6]
Yaani kwanza ujue hates, MTU anakuchukua kwanza, Kwa nn Kwa sababu I gave you love and you bring drama. Mwanamke wa aina hii kwanza unamla tigo. Ukiona Nina taka tigo ujue you re stupid on earth.Wapendwa,
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima na mnaelea kwa raha kwenye bustani zenu za mapenzi. Napenda kuwapongeza sana wanaowapenda (Wapenzi wenu) na ninyi mnaopendwa kwani kwa pamoja mna-make the world a better and colouful place to live! Bravo.
Weekend hii nimekuwa nikitathmini mahusiano yetu kwa ujumla. Nikajikuta nagongana na hii ya power of letting go!! Ni mara nyingi tumekuwa/au kushuhudia wenzetu wakifika mwisho wa mahusiano au mahali ambapo inawabidi kuachana na wenzi wao wengine ilhali bado wanawapenda lakini tu inabidi.
Katika kuwaza na kuperuzi nikakutana na hii ilim isemayo; Ili kuelewa power of letting go, kwanza hatuna budi kuyaelewa mahusiano yetu ambayo ni mitihani kamili ya kutufunulia undani wa nafsi zetu.... They are the true test of who we are because it is the ultimate test of our self-respect!! mh!!.....................
NDIYO nimeguna kwa sababu hapo ndipo kwenye shina lenyewe ambalo bahati mbaya wengi wetu hujikuta (pengine sababu ya shock - hatukutegemea kuwa iko siku tutafikia ukingoni; au ukingoni kumekuja ghafla kuliko tulivyotegemea) wengi wetu tumejikuta tukijishusha na kubembeleza tusiachwe pamoja na kuwa kuna kila dalili kuwa mapenzi yamefikia tamati. Wengi wetu tumejikuta tukijidhalilisha/dhalilishwa kwa sababu tu ya kumng'ang'ania mpenzi aendeleee kukupenda wakati twajua kuwa hata akikubali basi it wont be OUT of LOVE bali OUT of PITY!
Tunasahau kuwa kwenye mahusiano yoyote kuwa wakweli (honesty) and being true kwa nafsi zetu ni MUHIMU ZAIDI ya survival ya mahusiano hayo ambayo unajitahidi kuya-boost. Sisemikuwa wote tunashindwa; wapo wengi tu wanaoweza-handle this situation na wengine wenye mbinu za kulet it go without having anger and resentlments! Kulet-go bila kuwa na hasira na kinyongo.
Please can we share? How to let it GO bila hacra wala kinyongo and to be appreciative for having that person in your life coz s/he must have brought some shades of happiness sometimes when you were together.
Hahaha... better be kwakweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji12][emoji12]Hamia huku ili uachane nae
Mwehhh cc tena !!Mrudie tu, ila usisahau cc
I hope itakusaidia kurudisha kwa mstariHahaha... better be kwakweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji12][emoji12]
Nisharudi kitambo sema nahis kufall ageinnn ndio naomba nilet things go manake!!!πππ!!I hope itakusaidia kurudisha kwa mstari