The Power of Letting Go....

The Power of Letting Go....

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
10,470
Reaction score
6,580
Wapendwa,

Ni matumaini yangu kuwa mu wazima na mnaelea kwa raha kwenye bustani zenu za mapenzi. Napenda kuwapongeza sana wanaowapenda (Wapenzi wenu) na ninyi mnaopendwa kwani kwa pamoja mna-make the world a better and colouful place to live! Bravo.

Weekend hii nimekuwa nikitathmini mahusiano yetu kwa ujumla. Nikajikuta nagongana na hii ya power of letting go!! Ni mara nyingi tumekuwa/au kushuhudia wenzetu wakifika mwisho wa mahusiano au mahali ambapo inawabidi kuachana na wenzi wao wengine ilhali bado wanawapenda lakini tu inabidi.

Katika kuwaza na kuperuzi nikakutana na hii ilim isemayo; Ili kuelewa power of letting go, kwanza hatuna budi kuyaelewa mahusiano yetu ambayo ni mitihani kamili ya kutufunulia undani wa nafsi zetu.... They are the true test of who we are because it is the ultimate test of our self-respect!! mh!!.....................

NDIYO nimeguna kwa sababu hapo ndipo kwenye shina lenyewe ambalo bahati mbaya wengi wetu hujikuta (pengine sababu ya shock - hatukutegemea kuwa iko siku tutafikia ukingoni; au ukingoni kumekuja ghafla kuliko tulivyotegemea) wengi wetu tumejikuta tukijishusha na kubembeleza tusiachwe pamoja na kuwa kuna kila dalili kuwa mapenzi yamefikia tamati. Wengi wetu tumejikuta tukijidhalilisha/dhalilishwa kwa sababu tu ya kumng'ang'ania mpenzi aendeleee kukupenda wakati twajua kuwa hata akikubali basi it wont be OUT of LOVE bali OUT of PITY!

Tunasahau kuwa kwenye mahusiano yoyote kuwa wakweli (honesty) and being true kwa nafsi zetu ni MUHIMU ZAIDI ya survival ya mahusiano hayo ambayo unajitahidi kuya-boost. Sisemikuwa wote tunashindwa; wapo wengi tu wanaoweza-handle this situation na wengine wenye mbinu za kulet it go without having anger and resentlments! Kulet-go bila kuwa na hasira na kinyongo.

Please can we share? How to let it GO bila hacra wala kinyongo and to be appreciative for having that person in your life coz s/he must have brought some shades of happiness sometimes when you were together.
 
Kinadharia ni rahisi sana lakini kivitendo inakuwa ngumu.

Kuachana kwa kweli hakuna mjuzi, ni kadiri roho atakavyokuongoza kwa wanaoamini na kwa wengine ni kadiri ya 'power' ya akili yako kukubali kushindwa kwa mahusiano hayo.
'failure management'
 
Ni ngumu sana kuachana bila maumivu, kwa sababu kwenye mapenzi kuna mmoja anaweza kupenda na mwingine hasipende kweli, sasa ina pokuja swala la kuachana lazima mmoja ata umia.

Wewe unaweza ukasema unaachana na mtu kwa amani lakin yeye ana umia moyoni.

Mwisho wa siku lazima mmoja abaki na donda.
 
Its very hard but its the wisest thing to do when some thngz dnt work out. Huwa inapunguza maumivu kiasi if both of you understand that even though mnapendana lakini mnalazimika kuachana.kila mmoja akiwa na busara na kuyatafakari mambo kwa kutumia akili na sio moyo,then u will let go without any hatred, anger or any sort of enemity.mtakuwa marafiki wazuri tu bt thats only possible through understanding.
 
'Letting go' without pain sidhani kama inawezekana. Nikikumbuka gud moments we had, macare uliyonipa, leo hii nikuache na nisiumie.....!!
Ila kama ulivyosema, inafikia hatua penzi lishachuja, decision ya kukuacha probably ndiyo itayonipa relief, then i will let u go na ctokuwa na hasira wala kinyongo. Nitakuombea tu kwa sir god akutangulie.
 
Kinadharia ni rahisi sana lakini kivitendo inakuwa ngumu.

Kuachana kwa kweli hakuna mjuzi, ni kadiri roho atakavyokuongoza kwa wanaoamini na kwa wengine ni kadiri ya 'power' ya akili yako kukubali kushindwa kwa mahusiano hayo.
'failure management'
Aksante Kongosho. I think you are right mydia but nini hasa kinachotufanya tuumie jamani? Kwa nini akili inagoma kukubaliana na hali halisi? Au ndio zile hisia za ...'amenichezea hisia zangu za mapenzi' zinakuwa zimetawala?
 
Last edited by a moderator:
Ni ngumu sana kuachana bila maumivu, kwa sababu kwenye mapenzi kuna mmoja anaweza kupenda na mwingine hasipende kweli, sasa ina pokuja swala la kuachana lazima mmoja ata umia.

Wewe unaweza ukasema unaachana na mtu kwa amani lakin yeye ana umia moyoni.

Mwisho wa siku lazima mmoja abaki na donda.

Ruta unataka kusema kuwa mahusiano yote yanayovunjikaga (ukiacha yale yanayovunjwa na external forces kama wazazi n.k) huvunjika kwa kuwa mmoja wao huwa hajapenda kweli??
 
Kinadharia ni rahisi sana lakini kivitendo inakuwa ngumu.

Kuachana kwa kweli hakuna mjuzi, ni kadiri roho atakavyokuongoza kwa wanaoamini na kwa wengine ni kadiri ya 'power' ya akili yako kukubali kushindwa kwa mahusiano hayo.
'failure management'

Kongosho,siku ukiniacha nitakoroga thiodan ninywe,lol nitaishije bila wewe?
 
Last edited by a moderator:
Naomba nisichangie hii thread

Platozoom, vipi best? changia tu bwana huwezijua unawezajikuta unafunguliwa mlango mwepesi mpenzi.

Sijui kwa nini kuna kitu ndani yangu kinanifanya niamini kuwa kukubali kulet it go, pamoja na maumivu yake ina bidi uyapake sukari maumivu hayo na kuyachukulia positive (Kuwa pamoja na kuwa imefikia ukingoni, I had my share of happiness ambayo nisingeiexperience kama sikukutana na huyu mwenzi wangu!).

Hata hivyo nakiri kuwa thread hii inaweza kutokuwa applicable kwa wanandoa kwa sababu hii ni another level of mahusiano. Lets stick to mahusiano ya u-boyfriend na ugirlfriend au uchumba.
 
Mmmh kuachana na mpenzi wako kwa bashasha huku ukikenua meno kwa furaha ni ndoto asee! Labda kama hukumpenda lakini hata kama hukumpenda kwa dhati lazima kuna baadhi ya vitu vilikua vinakuvutia kwake!ni ngumu sana kutokua na kinyongo..
 
Nini kimekusibu MJ1?
 
Purple,ushawahi kuachwa? Kuacha je?
 
Last edited by a moderator:
Hivi ni kweli kwamba aliyeachwa ndo ataumia, mi nilidhani kwamba wote wawili mtakuwa na maumivu isipokuwa tu yanatofautiana extent

mito mpenzi nadhani kama wote wanaumia wasingekubali kuumia au? (Iwapo haihusiani na external factors).
 
Msichana wangu wa kwanza sikkuamini kua angeweza kuondoka na kwamba tusionane tena mmmh iliniuma sana na wala sikuweza kuamini kuwa anaweza kulala na me mwingine. power of letting go
 
Msichana wangu wa kwanza sikkuamini kua angeweza kuondoka na kwamba tusionane tena mmmh iliniuma sana na wala sikuweza kuamini kuwa anaweza kulala na me mwingine. power of letting go

Elli we fight uwe na pesa ndefu,hakuna mwanamke atakuacha, take it from me,kama ni kuwaacha utawaacha wewe.
 
Back
Top Bottom