MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Wapendwa,
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima na mnaelea kwa raha kwenye bustani zenu za mapenzi. Napenda kuwapongeza sana wanaowapenda (Wapenzi wenu) na ninyi mnaopendwa kwani kwa pamoja mna-make the world a better and colouful place to live! Bravo.
Weekend hii nimekuwa nikitathmini mahusiano yetu kwa ujumla. Nikajikuta nagongana na hii ya power of letting go!! Ni mara nyingi tumekuwa/au kushuhudia wenzetu wakifika mwisho wa mahusiano au mahali ambapo inawabidi kuachana na wenzi wao wengine ilhali bado wanawapenda lakini tu inabidi.
Katika kuwaza na kuperuzi nikakutana na hii ilim isemayo; Ili kuelewa power of letting go, kwanza hatuna budi kuyaelewa mahusiano yetu ambayo ni mitihani kamili ya kutufunulia undani wa nafsi zetu.... They are the true test of who we are because it is the ultimate test of our self-respect!! mh!!.....................
NDIYO nimeguna kwa sababu hapo ndipo kwenye shina lenyewe ambalo bahati mbaya wengi wetu hujikuta (pengine sababu ya shock - hatukutegemea kuwa iko siku tutafikia ukingoni; au ukingoni kumekuja ghafla kuliko tulivyotegemea) wengi wetu tumejikuta tukijishusha na kubembeleza tusiachwe pamoja na kuwa kuna kila dalili kuwa mapenzi yamefikia tamati. Wengi wetu tumejikuta tukijidhalilisha/dhalilishwa kwa sababu tu ya kumng'ang'ania mpenzi aendeleee kukupenda wakati twajua kuwa hata akikubali basi it wont be OUT of LOVE bali OUT of PITY!
Tunasahau kuwa kwenye mahusiano yoyote kuwa wakweli (honesty) and being true kwa nafsi zetu ni MUHIMU ZAIDI ya survival ya mahusiano hayo ambayo unajitahidi kuya-boost. Sisemikuwa wote tunashindwa; wapo wengi tu wanaoweza-handle this situation na wengine wenye mbinu za kulet it go without having anger and resentlments! Kulet-go bila kuwa na hasira na kinyongo.
Please can we share? How to let it GO bila hacra wala kinyongo and to be appreciative for having that person in your life coz s/he must have brought some shades of happiness sometimes when you were together.