The reason Gaddafi was ousted..he intended to withdraw all of the Libyan oil billions from Europe

ni ukosefu wa akili kuleta maada kama hizi za kusadikika,,,,hakuna asiyejua kwamba halaiki la waandamanaji waliuawa na majeshi ya gadaf akiwaita panya,,,kiukweli huyu jamaa alikuwa ni dikteta kwelikweli ukithubutu tu kupinga/kukosoa au kutoa mawazo mbadala umekwenda na maji kifo cha panya

kwaiyo tusijalibu hata sikumoja kutetea udikteta alafu tuseme tutabaki salama,hatutabaki salama kamwe.acheni kabisa propaganda za kijinga na kutengeneza vijihabari vya kiingereza visivyokuwa na mantiki ya jambo

kila raia wa nchi husika ni muhimu na anaakili iweje wewe mmoja ndio ujione unaakili kuliko wote na ndiye utawale pekeyako kama ilivyofanya ccm zenj ni kuleta machafuko yasiyo ya lazima.

kitisho kikubwa cha uhuru ulimwenguni ni kukosekana kwa wakosoaji!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Mwalimu na rafiki yangu Dk. Mianjo aliwahi kuniambia Africa ni bara la watu weusi wenye mbongo nyeupe (black people with white brains), tuna act kama wazungu tungali ni waafrica na tunawatetea wazungu kwa gharama yoyote na tunawapenda wazungu sana kuliko waafrica wenzetu.

Ukweli ni kuwa Ghadaffi aliuwawa kwasababu kuu tajwa hapo juu, taarifa hizi ukiacha na kuvuja kwa email hizo zilizotolewa na wikileaks ilishawai kutolewa na top official CIA wa USA miaka ya nyuma.

Ghadaffi alitaka kupambana na ubeberu wa nchi za magharibi na ulaya kwa kutaka manunue mafuta in term of gold badala ya dora na yuro!

Hao aliowaua Ghadaffi National Transitional Council ni watu waliopata support ya NATO kwa asilimia 100, walipewa siraha na NATO na walivuruga na kubomoa miji ya Bani Wardi na Misatra ndani ya masaa 72 tu, miji iliyomchukua Ghadaffi miaka zaidi ya 20 kuijenga, hasira za kibinadamu ilikuwa ni kawaida na inakubarika kwa Ghadaffi kuwarushia maneno ya kashfa.

NTC ya Libya haina tofauti na vikundi vingine vya waasi vya Africa ambavyo vimekuwa vikisimamia agenda za nchi za magharibi na ulaya pengine bila hata kujua kwann wanafanya hivyo, rejea jinsi USA, CIA kupitia mpelelezi wao Daphne Park wa MI6 aliyekuwepo Congo kipindi cha historia muhimu ya nchi hiyo na Belgium walivyochangia kuuawa kwa shujaa Patrice E. Lumbumba kwa kuwatumia wakongo wenyewe, ikowomo hadi UN secretary wa wakati huo Dag Hammarskjog na hii ilikuwa ili wapate nafasi ya kuivamia Congo na especially jimbo la Katanga.

So, usiwatetee wazungu blindly, soma, judge afu uje na msimamo thabiti juu ya jambo flani.

Kilichomuua Ghadafi ni nia yake ya kutaka kushare utajiri wa nchi yake kwa watu wote, holding a gold currency kungemfanya kila mlibya ajione anamiriki sehemu ya utajiri wa nchi yake, hili ndio wakuu hawakulitaka wakatengeneza mgogoro feki wa kuivuruga Libra, na wakafanikiwa WAO, je leo hii hali ikoje Libya?! Walalibya wamefaidika nini kwa kifo cha Ghadaffi?! The lest is a story we all know about.

Dk. Mianjo alikuwa akiniambia, njia pekee ya waafrica kujinasua katika hali tuliyonayo sasa ni kwa sisi kuacha kuishi historia za mataifa mengine na kutengeneza historia yetu, mataifa ya africa ni machanga, hamna taifa lenye zaidi ya niaka 100 toka lipate uhuru. Ila mataifa tunayotaka kwenda nayo sawa yanazaidi ya miaka 250.
Tunayopitia Africa leo ni sawasawa na mambo waliyopitia hao wazungu miaka 300-400 nyuma. Experiance is the better teacher, tukitaka kwenda na mwendokasi wao tutafail kama bara.
 
Muhindo wacha fikra mgando. Hili Jamvi ni kubwa kuliko unavyodhani. Hili ni jamvi la those who dare speak. Tubishane kwa facts na siyo kudhalilishana. Hivi ccm zenj inahusiana na nini na mada hii. Kama una muda wa kusoma hebu tafakari yafuatayo yanayohusu [udikteta wa] Gaddafi

Was Gaddafi a dictator?
Yes! However, he also had a heart for his country and the world conveniently skips that part every time.

1. Libya under Gaddafi was not entirely hellish as the world has been made to believe. The citizens did not have the
luxury of voting but Gaddafi made sure they had a high standard of living to compensate for curtailed freedoms.
Was this enough? That is a moot point but the fact remains: Libya was a great place to stay under Gaddafi (provided
one did not try to usurp power).

2. Education and medical treatment were free
Under Gaddafi, education and health care were free for all.
No system is perfect but most are imperfect and still expensive. Gaddafi made sure his system was subsidized even
more than the so called developed countries..

3. Newlyweds received U.S $50,000 from the government
Gaddafi’s government had legislation providing for a grant to newlyweds to buy their first apartment so as to help start
a family [No western country ever does this].

4. Gaddafi carried out the world’s largest irrigation project
The Gaddafi regime embarked on one of modern man’s edifices of development
the Great Man-Made River Project to make water available to the whole country. As is known, Libya is in a desert region and Gaddafi’s plan to ascertain every citizen of access was the Great Man-Made River Project.

5. Libya had no external debt and had reserves of $150 billion most of which were frozen globally
Libya was a well-endowed state. To put this into perspective, the self-acclaimed champion of democracy and
capitalism, the USA has a debt of over $18 trillion. Libya had none.

6. The price of petrol was $0,14 per litre
In 2011, Staveley Head, a UK-based provider of insurance products compiled a list of countries with the lowest petrol prices in the world. China.org.cn reported the listing which put Libya at third position with its low $0,14.

7.Having a home was considered a human right
Gaddafi’s Green Book categorically stated, “The house is a basic need of both the individual and the family, therefore it should not be owned by others.” The Green Book was Gaddafi’s bible of political philosophy and had first been published in 1975. He vowed that he would not secure a house for his own parents until every citizen had one.

8.Gender equality actually a reality
Women in Libya were free to work and dress as they liked, subject to family constraints.
The “dictator” did not impose any particular repressive canon on women and considering the sensitivities of the Arab community to gender roles, this was a big feat. Universal access to primary education was achieved in a relatively short space of time under Gaddafi.

9.The Human Development Index was better than two-thirds of the countries reported on
The Human Development Report has been published since 1990 and it is in the report that the HDI is found.
The last time the report was released with Gaddafi in power, Libya was ranked 53 of 163 countries with comparable data. The HDI of Arab states was 0,641 while Libya’s was 0,760. Libya was therefore better off than most Arab States. The HDI provides a composite measure of health, education and income. Does being placed above the Arab States
average mean all was rosy? By no means! It simply means there were worse countries that the Western “whistle-
blowers” did not “rescue”. In 2009, Libya was reported to be on track to achieve the Millennium Development Goals by
2015.

10. People had enough food
This does not need to be qualified. The Food and Agriculture Organization (FAO) confirmed that undernourishment was less than 5% with a daily calorie intake of 3144. This was one “oppressor” whose subjects had enough. With the Great Man-Made River Project, Gaddafi was securing an even brighter agricultural future to feed his nation.

11. Privatization of all Libyan oil to every citizen
On 21 February 2011, Gaddafi launched a programme to privatize all Libyan oil to every citizen of Libya.
This would initially provide $21,000 to every citizen from a total of $32 billion in 2011 and effectively lead to the
dissolution of the ministries of health, education and others to eliminate corruption, theft of oil by foreign companies
and to decentralise power.

12. Was Gaddafi a dictator? Yes.
Did he violate the human rights of some citizens? Yes. So they say! However, he also had a heart for his country and
the world conveniently skips that part every time. How one man could be such a paradoxical figure is a wonder.
 
The western countries are comfortable with poor countries which hold election than developed countries which do not follow the philosophy of western democracy.
 


MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI

1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote

2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.

3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.

4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.

5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.

6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.

7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.

8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola 300.000 za kimarekani kwa ajili ya gharama .

9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.

10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14

11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150

12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.

13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA

14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000

15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15

16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)

17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.

Kama huu uliitwa “UDIKTETA” Basi WANADEMOCRASIA wote watakwenda Motoni
 
Suala sio unapewa nini ktk nchi yako, bali ni kwa kiasi gani nyote mna nafasi sawa za kimaisha ktk nchi yenu. Gaddafi hakuruhusu uhuru huo japokuwa aliwapatia huduma nyingi bure.

Mzizi, hata wewe akitokea mtu akasema anakupa kila kitu lkn usijihusishe na harakati mbalimbali za maisha utakubali?

Walibya sio wajinga, kumbuka waliitwa ni mende na panya.

Leo hii naamini kama Gaddafi angekubali kuitisha uchaguzi baada ya kufanikiwa yote hayo, angekuwa mtu maarufu zaidi duniani. Lkn kwa uroho wa kutawala yeye na familia yake, alipuuza sauti zilizodai uhuru wa kisiasa. Ni kosa kubwa sana
 
Walitakiwa wajue tu katika Dunia hii uwezi pata kila kitu. Wanapata uhuru waliotaka tuone sasa maisha yao yataendaje.

Wangeangalia kwanza wenzao wenye uhuru wa kisiasa wana neema kama wao??
 
libya kama wewe hutoki kabila la wabedui ulikuwa huluhusiwi kua kiongozi lakini pia aliwakandamiza sana wananchi wake kihisia....katika maisha kitu cha kwanza ni uhuru...jiulize kwanini watumwa wa marekani na kwingine walidai uhuru kwani walikua hawali wa kunywa....jiulize kwanini wewe mwenyewe haupendi kuendeshwa na wazazi wako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…