The Remainder...


..Mj1 kwa ushauri wako (kwa lugha laini) hiyo 'pasi' iwashweje na izimwe vipi? 🙂


...hayo ya 'usiku kuna overtime' ndiyo yanayoondoa maana nzima ya sex 🙂 mchana uhenyeke kazini, usiku nako uhenyeke nyumbani, khaaaaaaaa...😱 adhabu?
 
Good stuff! Ila wengine tunajua wajibu wetu.....sasa na wale wadada kila siku anaumwa kichwa hajisikii bila sababu, baba anamlamba hadi macho bado tu inakuwaje?

Hahaha! kweli wewe uko uhindini(lahore), muhindi atalamba uso mzima hadi kinyaa.
 
MJ1
Nimependa ulivyoandika, umeandika kitu reality, ila ningependa kama una dondoo nyingine za kutosha uniandikie through my mail, hamna kitu nachoona ni raha na tiba kubwa hapa duniani kama ukiweza washana kwa amani balbu na pasi hadi zikapoa kwa ushirikiano, ungekua huku kwetu tungekuita kungwi,mwagaa dondoo
 

Kifaru aksante kwa complements (but its not mimi nisichukue ujiko usokuwa wangu) Nimekuwekea hiyo source hapo chini ina vitu vizuri sana kuhusu mahusiano ya wapendanao.

Karibu.
 
MJ1
ok,ila unastahili pongezi kutuletea jamvini, hiyo source ni kitabu au web,kama ni kitabu nitakipata wapi? ninacho kitabu kimoja, men are from mars and women from venus,ila nikipata na hicho nitashkru, please assist on this mj1
 
Hiyo ni web Kifaru. Nashukuru kwa pongezi zako si wajua kizuri kula na nduguyo?.
 

You nailed it...it's called foreplay and it starts when you wake up in the morning, the touchy feely stuff. the man has to prepare his wife through out the day so that ikifika wakati wa ....she is ready!
You summed it up real good... wenye macho wasome!!
 
Asante sana MJ1 kwa mada nzuri, ingawa title ilinipa shida kidogo kuoanisha na mjadala unaoendelea. Hiyo isiwe ishu, nimeelewa una maana gani. Shukrani kwa kutukumbusha. Usikatae shukrani kwani kule kutuletea hapa from source ni upendo mkubwa ulio nao kwetu.
WanaJF, tukiwa bado kwenye hii mada naomba mnipe ufumbuzi wa tatizo ambalo lipo miongoni mwa baadhi ya wanandoa. Ntafananisha ndoa (mke na mume) kama kufuli na ufunguo. Kimaadili ni kwamba huruhusiwi kukutana kimwili na mchumba wako hadi siku ya ndoa (au baada ya ndoa). Sasa inakuwaje unapokuja kugundua kwamba kufuli ulilochukua haliendani na ufunguo wako? Nina maana ya majambo ya chumbani. Mtu huruhusiwi kujaribisha ufunguo kama unafunguaje kufuli, labda kwa taabu au unapwaya au hadi uweke grisi. Hapo nadhani ndio mwanzo wa mtu kwenda nje kutafuta kufuli linaloendana na ufunguo. Vinginevyo uhusiano wa chumbani unakuwa na upungufu kama huo wa pasi kuchelewa kuwaka au haiwaki kabisa. Balbu nayo inapata shoti mara kwa mara. Mnasemaje kuhusu hili? Tuendelee kuelimishana.
 
Good stuff! Ila wengine tunajua wajibu wetu.....sasa na wale wadada kila siku anaumwa kichwa hajisikii bila sababu, baba anamlamba hadi macho bado tu inakuwaje?
Masa, baba mwingine ni hodari wa kulamba hadi macho lakini si dereva mzuri. Gari haliendeshi ipasavyo. Anakanyaga breki mahala pa ekselereta. Hapo mama ni lazima atakuwa na visingizio vya kila aina. Mara naumwa tumbo, mara oh mgongo unanikata, kichwa kinanigonga, miguu imekufa ganzi, moyo wangu unaenda mbio, oh sijui nini sijui nini!
Hapo weka alama ya kuuliza, pengine uendeshaji wako haumfurahishi mamaa. Peleka leseni yako kwa Afande Kombe ikaguliwe upya!
 

Maimuma aksante sana kwa pongezi.

Ndugu yangu nisamehe mwaya nimesoma swali lako nikaona lina umuhimu wa kuelimisha sana hivyo nimeliweka wkenye sehemu ya mada mpa ambapo mtu ataiona kwa urahisi. Nisamehe kama nimekosea mpendwa.
 

Mimi kama mwanamme nilie kwenye ndoa nimeona tafauti kubwa ukiaanza kumtayarisha mama mapema,unamkumbatia na kumbusu mnapoagana asubuhi,unamtumia sms au simu za mapenzi mchana,ikiwezekana unatuma au kuja na maua jioni,unarudi mapema,mnakaa kiti kimoja nk.Hali inakua tafauti kabisa ile mmelala unapeleka mkono na kulianzisha.Ni sawa na kulala na wanawake tofauti,ukimtayarisha mtafurahi wote na utapata mambo ya uhakika usipomtayarisha kiwango kitakuwa hafifu.
 
makubwa!
na kazi nazo zinachangia, mtu unakuta labda mawazo ya kupasi yamekuja baada ya kupanda kitandani, manake kazi zimemtinga hadi anafika home.
ila pia jamani unaposhtuka na kukuta mkono inakuchubua kule, kero yake si ya kawaida, mpaka ujitune kuibadili iwe raha inachukua muda kiasi.
 

kwa mimi ningeenda kwa fundi makufuli(ngariba?) au namrudisha mke kwa fundi makufuli(kungwi),inawezekana kufuli linahitaji service kidogo au funguo nayo inahitaji kuchongwa kidogo viweze endana, saa nyingine funguo mpya lazima uilazimishe mpaka muda fulani ndio izoee kufuli, ila kama ni funguo wa mul-t-lock halafu kufuli ni hizi za kihindi ,hapo ni suala lingine kaka, huko tuombe Mungu ndoa mpya zisifike huko
 
Ili u enjoy majamboz ni maandalizi bwana!!! Yaani unajua hata mapishi ya mchicha tu kama hujajiandaa unalipua tu!! Nakuambia kuna mtu akipika mchicha kwa maandalizi mazuri unakuwa delicious na huwezi amini ni mchicha!!! Na role ya mavituz kuwa mazuri na ya kutamanisha ni kwa kila partner kumwandaa mwenzake vizuri. Mke nawe usijivunge, poromosha love sms na simu kwa mumeo, hata kama yupo hapo sitting room wewe koki love sms tu, yaani kila siku mumeo unaye. Nawe mzee jifanye limbukeni kwa wife. Yaani jamani hizi simu za mkononi huwa zina madhara kwa watumiaji wabovu ila ni nzuri, mi naziona kama mojawapo ya mashtuzi. Suppose umepeleka kafupi kama haka"Honey, I need u 2nt!!!" hapo Bunduki hilo limekamata imara, wife huko nako hot ile mbaya, yaani ukifika tu haisubiri usiku, kama hakuna watoto wadogo wanaosumbua mchana mnatandikana on the spot. Du inanoga!!
 
 
hehehehe lakini kuna watu jamani wao kuandaa ni mwiko anapalamia kama jogoo ndo desturi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…