Kila mtu - mwanaume au mwanamke ni tofauti - hivyo huwezi kuwa na tiba moja kwa kila mtu.Cha msingi kila mtu amjue mtu wake na ajue kwenye situation fulani ana behave vipi.
Response ya mtu inategemea mambo mengi
- uhusiano wenu kwa wakati ule ukoje - je mna mambo ambayo hamjayamaliza kama ugomvi? ( its being used to show kuwa mnataka amani na kumaliza ugomvi)
- hali ya kiafya - kimwili na kisaikolojia - ukiwa mgonjwa au una msongo wa mawazo
- mazingira mliyomo - usafi, utulivu, usalama etc
- maandalizi mengine ya wakati huo ( chakula, kinywaji, music etc) e.g huwezi kuwa na njaa halafu mwenzio ategemee utafurahia
-utulivu wa mawazo - akili imetulia au kuna fikra nyingine - unawaza mambo ya kazini, biashara etc