MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #41
hehehehe lakini kuna watu jamani wao kuandaa ni mwiko anapalamia kama jogoo ndo desturi zao.
Au mwingine ameshakremisha kuwa kutayarisha ni kupeleka mkono moja kwa moja huko kwa bibi na kuanza kupekecha. Inaudhi
Au mwingine ameshakremisha kuwa kutayarisha ni kupeleka mkono moja kwa moja huko kwa bibi na kuanza kupekecha. Inaudhi
halafu ukute linadhani kupekecha huko ndio kuku stimulate, basi atapekecha mpaka upate sugu! kuna watu wengine hawajui mapenzi kabisa, kuna mdada aliniambia kuanzia ameolewa miaka 6 hajawahi kuckia raha ya tendo na mumewe, ni wale wa kupekecha aingia kwa manguvu, kamaliza haja zake anakoroma.
weweee Nyamayao mi kuna kitu kimoja nilikipata kilikuwa hakitaki kuguswa..nikimshika mewata anatoa mkono heeee nikishika kiuno balaaaa nikizama kwenye ugonjwa wangu napigwa kiwiko na teke juu hataki haaaa nikataka kuzama uvinza nikajua atapendelea labda nikala goti mtumee basi nikajua huyu hataki...nikazama hivyo hivyo aaaaaaaah katulia tuli.
halafu ukute linadhani kupekecha huko ndio kuku stimulate, basi atapekecha mpaka upate sugu! kuna watu wengine hawajui mapenzi kabisa, kuna mdada aliniambia kuanzia ameolewa miaka 6 hajawahi kuckia raha ya tendo na mumewe, ni wale wa kupekecha aingia kwa manguvu, kamaliza haja zake anakoroma.
Dada we halafu akimaliza anageukia huko anakoroma yaani anakuacha macho yamekutoka kama umekabwa na ndizi ya kuchoma!!
Dada we halafu akimaliza anageukia huko anakoroma yaani anakuacha macho yamekutoka kama umekabwa na ndizi ya kuchoma!!
Hapo unatafuta njia mbadala
umenifurahisha sana! lol
MJ 1,
Ushauri mzuri sana. Binafsi nitajitahidi kubadilika.
Lakini pia najiuliza nini nafasi ya mwanamke katika suala hili? Yeye hawezi kuwa initiator kwa kuweka appointment asubuhi 'mzee' anapotoka kwamba jioni/usiku angependa pasi iwashwe? Mara nyingi wanawake wanakuwa 'waoga' kuanza hata kwa mume wake wa ndoa. Ni kwa nini?
Binafsi huwa najisikia vizuri sana mke wangu akianza yeye kusema anahitaji/anahamu ya majamboz.
...... Ah nijuavyo mie wote tuna za umeme aina tu ndo tunatofautiana. Hata hiyo yote ya yote ni kwamba tunachelewa kupata moto si kama ninyi wenzetu mkiona tu badi suruali zinakuwa matatani. Sie mpaka 'tuguswe' vilivyo. Bahati mbaya wanaume wengine wakisikia wanawake shurti uwaguse basi wao kurupu hukimbilia kugusa kule- yaani unawezakuta mtu karudi kwanza kachelewa we ushalala basi kono hiloo keshapeleka kule anasugua sugua yaani ni karaha tupu. Kukusa si lazima uguse kwa mkono na si lazima uguse kule jamani ah peck kiss ya shingoni can do better than the finger in there. Hata maneno matamu tu kwani si wanasemaga kuna kitu ninaitwa cyber lovemaking? hii inakuwagaje kwani? hatuwezikuifanya kwenye simu zetu kama matayarisho ya kupasi?
Ili u enjoy majamboz ni maandalizi bwana!!! Yaani unajua hata mapishi ya mchicha tu kama hujajiandaa unalipua tu!! Nakuambia kuna mtu akipika mchicha kwa maandalizi mazuri unakuwa delicious na huwezi amini ni mchicha!!! Na role ya mavituz kuwa mazuri na ya kutamanisha ni kwa kila partner kumwandaa mwenzake vizuri. Mke nawe usijivunge, poromosha love sms na simu kwa mumeo, hata kama yupo hapo sitting room wewe koki love sms tu, yaani kila siku mumeo unaye. Nawe mzee jifanye limbukeni kwa wife. Yaani jamani hizi simu za mkononi huwa zina madhara kwa watumiaji wabovu ila ni nzuri, mi naziona kama mojawapo ya mashtuzi. Suppose umepeleka kafupi kama haka"Honey, I need u 2nt!!!" hapo Bunduki hilo limekamata imara, wife huko nako hot ile mbaya, yaani ukifika tu haisubiri usiku, kama hakuna watoto wadogo wanaosumbua mchana mnatandikana on the spot. Du inanoga!!
kuna sehemu mwenzi wako ukimgusa unammaliza mbona it seems kuwa ni political language kutokana namaelezo yako shingo?