MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #61
Ukirudi jioni wakati unamwandaa gusa TG uone very sensitive kama hajaruka na kudondoka chini kwi kwi kwi kwi.
Fidel haya mbona kuna wanaosema mwanaume ni marufuku kumgusa TiGo?
Mfamaji wewe na Shingo mnanifanya nisiamini kuwa kuna special sehemu ambazo mtu akishikwa na kutekenywa basi anasisimuka! Sasa kwa nini wanasema eti umsome vizuri mwenzio ili ujue akishikwa wapi ndo drive buttons zake? Hayo mambo ya what turns her/him on au ni languages tu?
Kama ni mwanaume na umeshaishi na mwanamke continuously kwa muda wa miaka kama kumi hivi au zaidi, you know what I'm saying.
Men are consistent, wakiona wanataka, kama hataki baada ya kuona basi hataki. Nothing more. Nothing less.
Ukiona mwanaume eti mpaka asukumwe, ujue he is forcing. He is not in a mood.
Kwa mwanamke it is a different story altogether. You can't guess!!
Sioni kuna sehemu ambayo ni special. Siamini. Ni muda na mindset ya mtu muda huo. Huwa wanawake wanabadilika badilika kutokana na alivyo siku hiyo. Wanawake wengi (kama si wote) ni kama weather. Forecast kama hizo huwa ni very unreliable although sometimes inakuwa kweli.
Ngoja nikajaribu leo, nikipigwa Fidel nakulaumu wewe lol
Kila mtu - mwanaume au mwanamke ni tofauti - hivyo huwezi kuwa na tiba moja kwa kila mtu.Cha msingi kila mtu amjue mtu wake na ajue kwenye situation fulani ana behave vipi.
Response ya mtu inategemea mambo mengi
- uhusiano wenu kwa wakati ule ukoje - je mna mambo ambayo hamjayamaliza kama ugomvi? ( its being used to show kuwa mnataka amani na kumaliza ugomvi)
- hali ya kiafya - kimwili na kisaikolojia - ukiwa mgonjwa au una msongo wa mawazo
- mazingira mliyomo - usafi, utulivu, usalama etc
- maandalizi mengine ya wakati huo ( chakula, kinywaji, music etc) e.g huwezi kuwa na njaa halafu mwenzio ategemee utafurahia
-utulivu wa mawazo - akili imetulia au kuna fikra nyingine - unawaza mambo ya kazini, biashara etc
xactly!Good subs,
So this proves how complex the equation is. Kuna so many variables ambazo wakati mwingine huwezi ku-guess. Kwa mfano how do you know leo mkeo kagombana na co-worker ndo maana hayuko ready!
For men it is eesy, ukiiona tu, you forget everything. Yenyewe ndo inakuwa priority at that time. That's why wengine mnasema wanaume ni wahuni eee!!!
xactly!
Wapo pia wanawake wenye kujaaliwa kuwakisha pasi zao papo kwa papo wamuonapo mwandani! Ila hawa ni wachache.
Yeah I know, ila kwa wanawake I think it is minute proportion. I mean sijaonana na wanawake wote. Ila wale wachache ambao nimebahatika kuhusiana nao, .. yeah it was a problem.
But wait a moment!! Hata huyu wa leo zamani was fast and you know sometimes she would tell me she is salivating for me. But years down the road, it is back to square one!!!
Bad ....... women change for worse, men hardly change at all and this annoys women or am I too critical of women?
Wear and tear kwenye relationships.Mwanzoni mapenzi yapo tele,hamjaudhiana na kukasirishana vya kutosha hivyo hana kitu cha kumfanya akuangalie na kukufikiria vingine.
Mkishakaa sana, kuna maudhi ya hapa na pale,maumivu ya moyo na mengine hata kama mwanamke anasamehe lakini mjue hasahau na haya machungu hujirudiarudia akilini mara kwa mara na ndiyo maana anaweza akakukataa hata pale hutarajii.Ndipo muone kuwa kusamehe kwa mwanamke siyo bila gharama.Kutokusahau ndo kunaji reflect kwenye hili suala na utajitahidi kupepea na kukoleza weee lakini moto hauwaki kamwe! Hata ukiwaka moto wake siyo mkali kivile!
Wear and tear kwenye relationships.Mwanzoni mapenzi yapo tele,hamjaudhiana na kukasirishana vya kutosha hivyo hana kitu cha kumfanya akuangalie na kukufikiria vingine.
Mkishakaa sana, kuna maudhi ya hapa na pale,maumivu ya moyo na mengine hata kama mwanamke anasamehe lakini mjue hasahau na haya machungu hujirudiarudia akilini mara kwa mara na ndiyo maana anaweza akakukataa hata pale hutarajii.Ndipo muone kuwa kusamehe kwa mwanamke siyo bila gharama.Kutokusahau ndo kunaji reflect kwenye hili suala na utajitahidi kupepea na kukoleza weee lakini moto hauwaki kamwe! Hata ukiwaka moto wake siyo mkali kivile!
i wish asome mwafulani hapa.
Ni kweli kabisa dada moyo ukishauzeesha kwa maudhi ya mara kwa mara kuukunjua huwa ni tabu ukali huwa mnakuwanao wa kificho ila ukishaoa ah mtemi wewe, mkorofi wewe na wengine hufikia hata hatua ya kuwapiga wake zao mara kwa mara sasa moyo ukizeeka unaanza kulalama eti hukuwa hivyo wakati wa uchumba!!
mambo ya 'kuwasha na kukoleza' hayajali jinsia dada'angu weh!
...hata mie (mw'ume) nimesamehe lakini sijaweza/wala sitaweza kusahau. Machungu hujirudiarudia akilini mara kwa mara kila dalili za 'mavi ya kale' zinapojirudia!... ndio kusema? hata apepee na kukoleza weee, moto wangu (kwake) wala sio mkali kivile! 🙂
Umekomelea msumari wa mwisho kabisa.Lawama! Kwanini mtu asione " we are in this together..I am wrong, I take responsibility?nimeipenda hiyo women,mwanzoni mapenzi motomoto baadae mambo meengi,mbaya zaidi lawama zote tunawatupia wanawake,oh yeye ndo alikosa hufikirii sababu ya yeye kwan nini alikosea mkayamaliza mahusiano yanazidi kutumbukia shimoni inabakia lawama kwa mtu mmoja huku waume tukijisafisha!tuangalie pande zote!
...Lawama! Kwanini mtu asione " we are in this together..I am wrong, I take responsibility?
Tujifunze jamani.Labda kama hatutaki kubadilika na kufurahia mahusiano yetu.Na hii itajirudia tu hata uoe au uolewe mara mia!
Umekomelea msumari wa mwisho kabisa.Lawama! Kwanini mtu asione " we are in this together..I am wrong, I take responsibility?
Tujifunze jamani.Labda kama hatutaki kubadilika na kufurahia mahusiano yetu.Na hii itajirudia tu hata uoe au uolewe mara mia