The Remainder...


I admire you positive-mental-attitude!

...hapo kwenye 'zimwi likujualo' ndipo wengi wetu tulipokwama. Mazoea yana play part kubwa sana when marriage is too good to leave, too bad to stay!
 
hata mie (mw'ume) nimesamehe lakini sijaweza/wala sitaweza kusahau. Machungu hujirudiarudia akilini mara kwa mara kila dalili za 'mavi ya kale' zinapojirudia!... ndio kusema? hata apepee na kukoleza weee, moto wangu (kwake) wala sio mkali kivile!

Sasa ndo kusema upo nae na ya nini jujiumiza roho kama huwezi kusamehe?
ukisamehe unaendelea la sivyo maisha hayaendi hivyo maana kuna sababu mtu unayofanya umsaheme mwenzio,kama mimi nilimsame mwenzangu kwa kosa kubwa na sijawahi kuzungumzia tena hapo ndio mapenzi yanakolea!la sivyo kuwa na mwenzio halafu usiwe na moto nae lazima utamuendea kinyume au nakosea wana JF?
__________________
 

...ushawahi kusikia neno COMPASSION na maana yake? tafakari maana yake hata kama upana wa tafsiri yake utatofautiana na 'tafakuru' zangu. Humo (kwenye tafsiri) 'huenda' ukapata angalau nuru ya mwangaza japo kwa mbaaali.
 
ukiweka moto mkalii lazima upate mabaka kazi kwako
 
We finest kwani ile shule ya kidungu che hukupitia bana mbona unataka kuniangusha
 
Nsha pata miji hamu ya kwenda kumbamiza maam watoto na huu mkia wa kenge
 
acha yabadilike na watu wake na wewe una mix humo humo usikubali kuachwa nyuma watakucheka hao hao..........halafu jana walikufanya nini umepoa, mnyonge kweli
 
acha yabadilike na watu wake na wewe una mix humo humo usikubali kuachwa nyuma watakucheka hao hao..........halafu jana walikufanya nini umepoa, mnyonge kweli

Mambo mengine chauro magumu sana yaani unakua kabla ya umri wako
 
mi hayo ndo huwa nayapenda sio kila wakati kushuka milima ipande kidogo unajua hata jasho lake likiliwa linautamu wake
 
Hivi hii pasi saa zingine si inaweza kuungua?
hahah


The finest, i cant you buddy... yeah i cant you, you have unearthed a third or fourth nice threads that went into ashes

Lakini tuseme ukweli, MJ1 ni kichwa cha pekee kwenye haya mambo... isitamwelewa mwanaume atakayeshindwa kuelewana na huyu dada

Dah!!:redfaces:
 
message sent mwenye macho haambiwi ona................................
 

Practical na theory ni vitu viwili tofauti sana!
 
MJ1 mbona kuna posture nyingi tu zinazompatia mwanamke control na anamaliza mapema tu kabla ya
mmbaba. Ukiwa unaachwa kila siku there is something wrong with you au mvivu! Halafu mkiingia ndani
tu ndio haya matatizo yaanaza way? au ndio kushika usukanu. Siwatetei ila I just want to challenge ladies
especially kwenye communication, yaani mnatufanya kama wake zetu ni mabubu vile, are u bubu MJ1?
 
Hizi lugha za kuuza magazeti tu! kina shangazi waliokufunda hawakuyasoma haya na mambo walikuwa wanayajua vizuri tu. ............
 

Nasikia wengi wakishaingia ndani hii hali ya kusukuma mikono, viwiko, sijui vipensi ni kawaida!
 

Ha ha buddy you know nimeisoma hii thread nikamfikiria sana huyu mjukuu well ana point ya msingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…