Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Wengi umekutana nao na wengi utakutana nao lakini ni vigezo vipi hukuongoza kukiri ya kuwaYes (s)he is the right one for you? 1) Uchangamfu wake kwako? 2) kauli yake kwake? 3) utii wa matakwa yako ya muda mfupi au hata ya muda mrefu? 4) Umwonapo mwili hukusisimka na kuchemka hata bila ya mpangilio............... Hivi ulimtambuaje au wafikiri utamtambuaje mwandani wako mtarajiwa au ulimtambuaje uliyenaye??