Mzalendo Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 735
- 191
sikubaliani nawe kwenye hiyo red.... umaaskini wetu hakuletwa na vita ya iddi amini... kuna nchi zimetoka wkenye vita mbaya kuliko yetu (mathalani rwanda) lakini bado wanafanya vizuri kwenye uchumi.. sisi tuna zaidi ya miaka ishirini toka tupigane hiyo vita ambayo mikoa iliyoathirika sio mingi na bado hatujafanya lolote la maana..
UMASKINI WAKO MTANZANIA UNALETWA N AVIONGOZI WAKO WALAFI SIO USINGIZIE VITA AMBAYO IMEKWISHA MIAKA MINGI ILIYOPITA hebu lete sababu za msingi.... tafuta sababu nyingine ya kumpiga ghadafi sio hiyo ya vita wala hiyo ya huduma za jamii... kuna wanaojilimbikiza mali wengi tu katika mataifa yote ulimwenguni... ila husikiiw engine wametulia coz wanahakikisha mwananchi wa kawaida hafikirii kesho atakula nini... wanajua jinsi ya kula na kipofu ... viongozi wenu wao sio tu kuwa wakila na vipofu wanawashika mikono wao wameifunga hiyo mikono kwenye mti kabisa...
acha siasa za mitaani na kuwa fikra za kujazwa.. wote tunajua kwa nini western country wanataka kumtoa ghadafi libya.... ndio maana wale wanaopigana nae ndani wakaitwa WAASI... ni tofauti na misri waliitwa UMMA.
Fred naungana na hoja yako ISIPOKUWA TU kuwa matatizo yetu yameanzia kwenye vita ya Tanzania na Uganda ambayo ilifadhiriwa na Col. Gadaffi. Kwamba viongozi wametufikisha hapa tulipo ni hoja nyingine ambayo nakuunga mkono.
