The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi


Fred naungana na hoja yako ISIPOKUWA TU kuwa matatizo yetu yameanzia kwenye vita ya Tanzania na Uganda ambayo ilifadhiriwa na Col. Gadaffi. Kwamba viongozi wametufikisha hapa tulipo ni hoja nyingine ambayo nakuunga mkono.
 
Hii post inadhihirisha kuwa kuna watu wanayoficha vifuani mwao ni makubwa kupita uwezo wao-sababu hizi kweli ni za mtu anayejiita great thinker, unfortunately amepata wafuasi kuliko wa kibwetere; poleni sana kwa ulimbukeni wa dunia mlionao woote wafuasi wa mrengo na upande huo.
 
Hii kitu ni ya kufutwa kabisa.Imeanzishwa na mtu mjinga na kuchangia ni kupoteza muda bure.Haina mbele wala nyuma na haiko kisomi wala na dalili ya ugreat thinker.
Baada ya hapa siiangalii tena.
 
 
umepost picha na vielelezo vizuri kwa wale wanaotafuta maarifa na hase juu ya dunia, asante kwa hilo. Ila kuna wanaosema kuwa miaka kama 2000 iliyopita hizo ramani za Palestine/Israel zote zilikuwa 'white' na mpaka 1940s ikawa almost 'green', ni kitu gani hapo kilitokea!? ...maana ni swali lilelile la historia
 
Gadaffi ni gaidi tu abondweee!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tena umesahau sababu nyingine: alidanganya kuwa uislamu ni dini ya kweli na dunia nzima iufute, hasa africa.......sasa mbona waislamu wenzie AU wanamtwanga!!!?
 
Apigwe tu. Yule jamaa ni JUHA tu. Kama ulisoma Kitabu cha MFALME JUHA basi utawaelewa hawa viongozi wa Africa akiwemo wa kwetu Tanzania
 

...what about Ghadafi Supporters? Acheni hizo Bias eti wanaopingana na Ghaddafi ni Umma wa Libyans. Siku ukweli utapodhihiri na uongo kujitenga, tayari nchi hiyo itabakia na armed remnants mfano wa Somalia. Msome Mohamed Siad Barre kipindi cha utawala wake Somalia, incl chanzo cha Somali language (Af Soomaali) na eradication ya Clan affiliations. Does he relate by anyway na siasa za Mwalimu Nyerere kipindi cha utawala wake, lugha ya Kiswahili, kuondosha Ukabila?...Nationalization? Msome na u judge mwenyewe.

Tunaishia kulaumu Vita vya Kagera kwa kuporomoka uchumi wa nchi, badala ya AZIMIO LA ARUSHA 1967!...Think!....

"Tujifungeni mikanda!", ...sukari guru kwa foleni RTC, unga wa 'Yanga?', uniform kwa kitambaa cha maradufu,...Unakumbuka? Lakini Watanzania hatukuthubutu kufanya mass demonstrations!
Miaka ile ingekuwa sasa, tungethubutu? Narudia tena, Vita vya Kagera na ujenzi wa miskiti isitumiwe kama Justification ya kumuondoa Ghadaffi.

Hizi CopyCat uprising zinazotokea Ghuba ya uajemi zitazalisha Vurugu kuliko mnavyozitarajia. Call them dictators, BUT the west will reap what they sow in that region by arming those REBELS.



...ulipata kusikia NO-FLY ZONE over CAIRO? kwanini?



E bana wee, Egypt was different bana.
Au hukuona Tanks Tahrir Square? Foreign policies za hawa mabwana wakubwa ndizo zinazo 'diktat' nani aondoke, nani abaki, nani aondoke ki mabavu, nani aondoke ki yakhe yakhe.

Egypt kulikuwa na transition of power, Libya haikupewa nafasi hiyo...Kwanini France walikurupuka kuipiga Libya hata kabla ya UN resolution haijawa classified?
 

misri hapakuwa na vitamapigano, kulikuwa na maandamano tu ya umma.
 
Reactions: Mbu
Hii kitu ni ya kufutwa kabisa.Imeanzishwa na mtu mjinga na kuchangia ni kupoteza muda bure.Haina mbele wala nyuma na haiko kisomi wala na dalili ya ugreat thinker.
Baada ya hapa siiangalii tena.

Mara nyingi tunachangia vitu ambavyo tunaweza kuchangia. Kama ngoma ni nzito unaacha kuchangia wengine wanachangia. Tunatofautiana uwezo wa kufikiri kutokana na IQ zetu lakini pia kutokana na ujezi tuliopata kwenye ELIMU kwa njia mbalimbali.
 
Reactions: Mbu
Je unajua kuwa Pipa moja la mafuta toka nchi za kiarabu linauzwa dola 10 wakati pipa moja la mafuta kama hayo toka Libya linauzwa dola 90??? Ndio maana USA na wahuni wenziwe wa Europe wanataka kumtoa Gaddafy ili wajikombee mafuta kilaini.
 
Hii kitu ni ya kufutwa kabisa.Imeanzishwa na mtu mjinga na kuchangia ni kupoteza muda bure.Haina mbele wala nyuma na haiko kisomi wala na dalili ya ugreat thinker.
Baada ya hapa siiangalii tena.

Unapotaka kuchangia jitoe katika hali ya upendeleo. Alafu jifanye wewe ni binadamu mwenye akili timamu. alafu jifanye unaheshimu hoja na mawazo yenye fikra za busara kama jamaa alivyotoa kwenye mada hii.
 
Je unajua kuwa Pipa moja la mafuta toka nchi za kiarabu linauzwa dola 10 wakati pipa moja la mafuta kama hayo toka Libya linauzwa dola 90??? Ndio maana USA na wahuni wenziwe wa Europe wanataka kumtoa Gaddafy ili wajikombee mafuta kilaini.


Weak point. Huku tatizo la mafuta si bei zake huko nje, issue hapa TZ ni kuruhusu mafisadi kuwekeza katika mafuta na kuamua kwa serikali kupata kitu kidogo ili kujinufaisha kwa mbinu za kujuana. Kwahiyo tuseme Libya inaiuzia dunia nzima? Vyovyote vile, apigwe tu.
 
Je unajua kuwa Pipa moja la mafuta toka nchi za kiarabu linauzwa dola 10 wakati pipa moja la mafuta kama hayo toka Libya linauzwa dola 90??? Ndio maana USA na wahuni wenziwe wa Europe wanataka kumtoa Gaddafy ili wajikombee mafuta kilaini.
Qatar na UAE wamefwata mafuta?mbona na wao wanamdunda vizuri huyu gaidi Gadaff.

Kila iingiapo US hamuishi kusema mafuta sasa Bosnia,Vientnam na Afghanistan alifwata nini?
Tz Commoro tulipeleka jeshi nalo lilienda fanya nini au kunywa maji ya madafu?
URUSI alikuwa Afghanistan mbona hamuongei?

Thanks God for making Sarkozy France presidaaaaaaaaa, he kick the ball at right time in right direction
 

The U.S. military was not called into action after its ally, Paul Kagame, oversaw the murder of two democratically elected Presidents, when their plane was shot from the air by a U.S. missile left over from Operation Desert Storm that found its way to Uganda and from Uganda into Kagame's possession. The murder of the two sitting Presidents by way of shooting down their plane was an act of terror.

In the human conflagration that followed, the tragedy that has become known as the Rwandan Genocide, 100,000 innocent civilians were murdered every day for the next 100 days while the Clinton Administration, National Security Council Advisor Susan Rice, nor United Nations Ambassador Madeleine Albright did anything to provide humanitarian intervention because regime change was the accepted policy and if it meant the deaths of one million Africans, then so be it.

The Clinton Administration women who justified this non-intervention, later had an opportunity to stop the carnage in Sierra Leone, Ethiopia, Democratic Republic of Congo, Ivory Coast since 2000, Sudan and they did nothing because what was happening in those areas, despite the tremendous human toll, was consistent with unstated U.S. policy.


https://www.jamiiforums.com/international-forum/121697-ghaddafi-a-hero-for-african-rights-and-liberation.html

Swala la Gaddhafi si kama tunavyodhani.. Ni kweli jamaa alikosea sana kumuunga mkono Idd Amin, lakini hiyo haitoshi ku-justfy kile mataifa ya magharibi yanakifanya..
Toka lini US ikampenda mwa-frica?? Halafu na tulivyo wafinyu wa kufikiri, tumefunikwa na kuaminishwa kuwa media za magharibi ndo zinazosema ukweli..

Evidence zipo nyingi tu za kuona ya kwamba jamaa wanamwonea.. Watu wa libya wanataka nini zaidi ya Free Health care, Free education. free land, na kuna mambo mengi sijayataja hapa..

Mbona Marekani hawaendi Bahrain, Yemen, Congo, Ivory Coast na kwingineko.. Kwa nini tuamini kwamba BBC,CNN, REUTERS, FOX na media zingine za magharibi ndo zinasema ukweli? Je, wakiwa na maslahi binafsi haiwezekani wakauficha ukweli?? Tufikiri jamani, sio tunaongea ongea tu.. Leo kwa Gaddhafi, kesho Tanzania.. Na hili litatokea pale ambapo serikali yenye sera zinazobana wawekezaji wa nje zikiwekwa, ni lazima tu tutaonekana wabaya kwa hao mabepari..

Tarehe 22 Feb 2011, vyombo vya habari vya magharibi, vilipika taarifa kwa kusema kuwa kulikua na ndege imelipua waandamanaji wa Libya.. Lakini jeshi la Russia linalo-monitor anga la North Africa, lilisema kuwa taarifa hizo zilikua za kupikwa, maana satellite zao haziku-register tukio hilo..

UN hawatendi haki.. Mie sim-sapoti Gaddaf, but napinga uvamizi wa mataifa ya magharibi. Kwa nn hawataki hata kutumia njia za ki-diplomasia??
 
Last edited by a moderator:

Sasa sijui unataka kila anayetaka habari za yanayoendelea aende physically Libya, Yemen, Ivory Coast, Misri, Tunisia, Bahrain, Syria, UK, France, US, Europe, Germany, Russia, Japan, n.k kufanya uchunguzi?! This is so ridiculous!!!
 
another trash! wapi kwingine ambako huduma za jamii kama elimu afya na fedha za kujikimu kwa raia wake ni hutolewa na serikali. na wapi kwengine ambako raia hawawajibiki kulipa kodi kwa serikali bali ni serikali yenye wajibu wa kutumia raslimali zake kuwahudumia wananchi bure! ghadafi anapigwa kwa sababu wakubwa wanataka kumiliki mafuta yake kwa chee! kwani wanajua miongo si mingi ijayo dunia itakubwa na tatizo la mafuta na maji, kiasi kwamba kwa utaratibu uliopo Marekani na washirika wao wangeweza kununua vitu hivyo nje ili kukidhi mahitaji ya wananchi wao...solution..wamegeuka dhulmati kama walivyofanya Iraq na afghanistan.
 
Reactions: Mbu
Mkuu Einstein, hapo juu umetaja media za magharibi ukishauri tusiziamini, vipi Al jazeera na yenyewe tuipotezee?! Na kumbukeni huko Libya kama wangemuacha Ghadaffi kwa wiki moja zaidi ingekuwa genocide, sababu alishatangaza kuwa atawapiga wapinzani wake bila rehema/huruma? Na ingetokea mauaji makubwa bado nyie haohao mngekuja hapa kulaumu kuwa mataifa makubwa yalikuwa wapi wakati walibya wanachinjwa!!!
 

Ukweli ni kwamba, mataifa ya magharibi yana nguvu sana.. Wanaweza wakafanya chochote wanachotaka.. Nani kakwambia kua Gaddafi angewachinja??? Tuwe objective kidogo... Mie nikitaka kukuvamia, unadhani nina haja ya kueleza umma kwamba we ni mtu mwema? Hapana! Lazima nikupake kwanza ili uonekane mbaya, na mie nipate sababu ya kukuvamia.. Hivi kama Gaddhafi hawapendi watu wake, je? Unatambua mambo aliyoyafanya kwa wananchi wake?? Tusikae na kusikiliza BBC na CNN tu, sikilizeni pia na RT, CCTV na media zingine ili mlinganishe mambo na ndio m-judge.. Aljezeera iko nchi gani? Je, uhusiano wa nchi hiyo na US ukoje?? Al jeezera ya sasa si ile ya zamani..

Gaddafi kajitahidi sana kuiletea maendeleo Libya.. We unadhani kupandisha literate rate kutoka 10% mpaka 90% ni mchezo.. Unadhani ni rahisi kupata maji jangwani.. Unafahamu kuwa Libya hainyonywi na mabeberu kama hapa kwetu Tanzania?? Gaddafi alipoingia madarakani aliingia na sera ambayo ilikua mwiba mkali kwa wawekezaji wa nje..

Aliingia na sera ya "All Libyan resources by Libyans and for the Libyans" ... Sasa hii ndo inayomfanya aonekane mbaya mataifa ya magharibi.. Hivi hebu jaribu kuangalia, Demonstrators gani wana silaha nzito?? Wamezitoa wapi??

Ungefatilia historia ya RothChild na Jesuits ungeweza kupata picha ni nani hasa wenye nguvu hapa duniani.. Tusidanganyane, haki haipo hapa duniani.. Kama UN ambayo tunategemea tungekimbilia inafanya uvamizi wa aina hii, tutakimbilia wapi? Mi nawashangaa sana wanaoshangilia US, France, Britain nk kuivamia Libya.. Hivi toka lini haya mataifa yanawapenda waafrica?? Tunachekesha kweli!! Inabidi tukae tutafakari...
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…