Hivi kudidimia kwa Afrika kosa ni la nani?Safari njema.. Endelea kuamini kuwa US, France, Britain na mataifa mengine ya magharibi ndio yanayojua demokrasia ya kweli.. Endelea kuamini kuwa wao ni watu wema, na wanawapenda sana waafrika, ingawa kwenye mauaji ya kimbari hawakuonekana.. Endelea kuwaamini maana wanaipenda sana Africa ambayo inazidi kudidimia kila uchao.. Safari njema..
Hivi kudidimia kwa Afrika kosa ni la nani?
Qatar na UAE wamefwata mafuta?mbona na wao wanamdunda vizuri huyu gaidi Gadaff.
Kila iingiapo US hamuishi kusema mafuta sasa Bosnia,Vientnam na Afghanistan alifwata nini?
Tz Commoro tulipeleka jeshi nalo lilienda fanya nini au kunywa maji ya madafu?
URUSI alikuwa Afghanistan mbona hamuongei?
Thanks God for making Sarkozy France presidaaaaaaaaa, he kick the ball at right time in right direction
La Waafrica wenyewe. Huku kulalamika lalamika kwa waafrica, kila kukicha kuwalaumu na kuwachukia wazungu hata siku moja hakutakuja kuisaidia Africa. Maisha ni mapambano, kwenye mapambano hakuna huruma hata siku moja. Wao wanajali kizazi chao cha sasa, kesho na hata milele wakati sisi tunajali matumbo yetu binafsi, mwanao atajiju!! Wenzetu wanaona mbali, wanafanya kila wawezalo kuhakikisha wanacontrol ulimwengu kwa faida zao. Sisi tunakubali kufanywa vyovyote vile wanavyotaka. Na sasa wameungana chini ya mwamvuli wa NATO kuhakikisha wanagawana vya kutosha mafuta ya Libya. That's where their superiority comes from. Nyie Bakini mnalalamika wee kwamba mnaonewa, watawahurumia yakibakia kidogo...
Gaddafi proposes 1 million-strong African army to "confront NATO" and other powers
Jorge Benitez | December 15, 2010
From Reuters:
African nations should join forces to create a one-million-strong army to protect the continent and confront outsiders like NATO and China, Libyan leader Muammar Gaddafi said on Tuesday.
Gaddafi, well known for his forthright rhetoric, has acquired growing influence in Africa but his ambition to build a united states of Africa is not shared by the continent's biggest powers.
"National militaries alone cannot save countries. Africa should have one army with one million soldiers," Gaddafi said in a speech in the Senegalese capital.
He said the joint force would "guard the borders and seas, protect Africa's independence and confront NATO, China, France, Britain and other countries."
Speaking at an event called the World Festival of Black Arts and Cultures, Gaddafi also attacked opponents of his long-standing proposal for a unified African government. (photo: Reuters)
But many African leaders, especially in the bigger economies, are sceptical. They say they cannot be expected to cede sovereignty to an African bloc only a few decades after wresting it from their colonial rulers.
source; Libya's Gaddafi proposes 1 mln-strong African army | Top News | Reuters
Gadaffi hatofautiani na viongozi wengine wa Africa. Eti yeye ni mzalendo wa nchi yake, iweje awe amejilimbikizia lundo la mali US na Ulaya!! Utamtofautisha vipi na akina Mubarak, Ben Ali, Mu7, JK, EL, Chenge, RA, etc ambao wanabeba hela za ndani na kuzipeleka kwa wazungu na kuziacha wazitumie watakavyo!!! Yeye na watoto wake wanaishi kama wapo peponi eti wengine watulie wasimpinge kwa sababu anawapiga mgao wa vihela vya kununua mkate wa siku!!!
Parts za hotuba ya Obama...
"To brush aside America's responsibility as a leader and – more profoundly – our responsibilities to our fellow human beings under such circumstances would have been a betrayal of who we are,"
"Some nations may be able to turn a blind eye to atrocities in other countries. The United States of America is different. And as President, I refused to wait for the images of slaughter and mass graves before taking action."
...
Mkuu EqlypzNonda, sasa kama Russia hawakuona hizo ndege kwa nini hawakuveto iyo resolution instead wakaishia kutoka?
Kama namuelewa Obama, bombing haitosimama mpaka Gaddafi atoke madarakani.
Safari njema.. Endelea kuamini kuwa US, France, Britain na mataifa mengine ya magharibi ndio yanayojua demokrasia ya kweli.. Endelea kuamini kuwa wao ni watu wema, na wanawapenda sana waafrika, ingawa kwenye mauaji ya kimbari hawakuonekana.. Endelea kuwaamini maana wanaipenda sana Africa ambayo inazidi kudidimia kila uchao.. Safari njema..
Mkuu Eqlypz
Obama anasema mengi lakini sio kwamba kila wakati yuko sahihi.
US President Barack Obama has defended the first military intervention of his presidency.....
"We must always measure our interests against the need for action," the president Obama
China na Russia walisema hivi :-
CHINA: -- China said on Tuesday that Western air strikes on Libya risked a "humanitarian disaster."
-- "We have noted the reports about civilian casualties from the military action against Libya by the countries concerned, and we express our deep concern about this," Foreign Ministry spokeswoman Jiang Yu told a news conference in Beijing.
-- "The original intent of the (U.N.) Security Council resolution was to protect the security of the Libya's people. We oppose the wanton use of armed force causing even more civilian casualties and an even bigger humanitarian disaster," she said.
* RUSSIA: -- Russia has criticised allied bombing and called for an immediate cease-fire.
-- After a meeting U.S. Defence Secretary Robert Gates, Defence Minister Anatoly Serdyukov said "an immediate cease-fire and a dialogue between the belligerent parties is the surest path to the reliable security of civilians."
Factbox - What governments are saying on air strikes on Libya | Reuters
Why obstained?
BEIJING, March 18 (Reuters) - China said on Friday it has "serious reservations" about a U.N. decision calling for a no-fly zone over strife-torn Libya, but held back from blocking the resolution because of the demands of Arab and African countries.
The Chinese Foreign Ministry spokeswoman Jiang Yu laid out Beijing's worries after the Security Council passed the resolution authorising the no-fly zone over Libya as well as "all necessary measures", a term for military action, to protect civilians against leader Muammar Gaddafi's forces.
Why didn't China veto the no fly zone over Libya? - Yahoo! Answers
Russia will not participate in any operations in regard to the no-fly zone in Libya, Russian President Dmitry Medvedev said on Monday.
"We will not participate in any of the no-fly zone operations [in Libya], we will not send any troops, if, God forbid, this operation goes on the ground, which I cannot rule out," the president said.
Medvedev also said that the international community should consolidate their efforts to end the conflict in Libya through negotiations.
"Russia did not exercise [the veto power] for one reason: I do not consider this resolution to be wrong. Moreover, I believe that this resolution generally reflects our understanding of what is going on in Libya," Medvedev said.
Russia not to participate in no-fly zone operations in Libya - Medvedev | World | RIA Novosti
...Double standards hizo bana! Atrocities zinazoendelea Ivory Coast zina tofauti gani?
au kwakuwa hakuna Interests za wamarekani?
Mkuu EMT.Kuna tofauti gani kati ya China, Russia na Gaddafi.
Ivory Coast, African Union walimesema hawataki msaada watasolve hilo tatizo. Mpaka leo wapi. Kwa wameomba msaada UN wakakataliwa? Arab League waliomba in respect of Libya na wamepewa. Basi na sie tuombe dhidi ya Ivory Coast. Yes, jamaa zetu akina Mugabe, etc wakae waidhinishe no fly zone Ivory Coast kama linawezekana.
Hizo 1 & 2 umejichanganya sana.Si rahisi kujua unakusudia kusema nini?.Kulingana na fikra zako kule Libya wana kila kitu lakini hawana Laptop tu.Imekuwa sawa wachukue mizinga wapambane na raisi wao pamoja na kwamba mafisadi hawana nafasi kupora resources zao.Eti tusikilize RT na CCTV. Ni sawa na kutuambia tukasilize RTD and TBC. Endelea kukaa na kutakafari. People have moved on, wewe bado umekaa unatakafari. 1.Ndio maana Watanzania tuko nyuma kwa kila kitu. Kisa kukaa na kutakafari without taking any action. Nyie ndio wale mnakaa na kutakafari wakati mafisadi wanakula nchi kiulani. Wake up guys.
Aliingia na sera ya "All Libyan resources by Libyans and for the Libyans". Ni Walibya wangapi wananufaika na hiyo sera? Yaani ni ndugu zake tuu. Angalia watoto wake walivyokuwa wanatesa na hela za mafuta. Angalia pesa walizokuwa wameweka benki za nchi. Angalia property wanazomiliki nje. Ndio All Libyan resources by Libyans and for the Libyans? Miaka 40 hatosheki? Common guys, give me a break. Ina maana hakuna mtu mwingine yoyote anaweza kuiongoza Libya except Gadaffi?
2.By the way, the Libya are fighting for their freedoms not resources. They want one day to sit on their laptops and express their feeling about their leader. Just like the way you express yourself here at JF. Halafu still unasema they are not entitled to that simply because Gaddafi aliingia na sera ya "All Libyan resources by Libyans and for the Libyans". How about all freedoms for the libyans?
Hizo 1 & 2 umejichanganya sana.Si rahisi kujua unakusudia kusema nini?.Kulingana na fikra zako kule Libya wana kila kitu lakini hawana Laptop tu.Imekuwa sawa wachukue mizinga wapambane na raisi wao pamoja na kwamba mafisadi hawana nafasi kupora resources zao.
Hapa Tanzania Tuna uhuru wa kutosha wa kukaa na Laptop kusema sema lakini mafisadi wamejaa tele.Sasa unataka tueleweje?.
Nionavyo mimi Walibya waasi wamelewa na shibe na amani.
Na iwapo kukosa uhuru wa kukaa na Laptop kunahalalisha kubeba mzinga na kupigana.Hicho kitu cha nini kwa hapa Tanzania.Au tuamini kwamba wewe ni kipaza sauti tu cha maaskofu na mabeberu?.
....mkuu umeongea! wengi wetu humu tunafuata ushabiki na mbaya zaidi ni kwamba hatujitambui... meli inazamishwa tumo ndani tunashabikia! Kama ulivyoandika naongezea "BADO TUNA UTUMWA WA FIKRA" Wengi wetu tunadhani kila tunachoambiwa kina ukweli, iko leo ni Libya je kesho makombora ya hao wanaojua kwamba huyu anawaonea raia wake tuwasaidie hayatolenga kwetu?
The U.S. military was not called into action after its ally, Paul Kagame, oversaw the murder of two democratically elected Presidents, when their plane was shot from the air by a U.S. missile left over from Operation Desert Storm that found its way to Uganda and from Uganda into Kagame's possession. The murder of the two sitting Presidents by way of shooting down their plane was an act of terror.
In the human conflagration that followed, the tragedy that has become known as the Rwandan Genocide, 100,000 innocent civilians were murdered every day for the next 100 days while the Clinton Administration, National Security Council Advisor Susan Rice, nor United Nations Ambassador Madeleine Albright did anything to provide humanitarian intervention because regime change was the accepted policy and if it meant the deaths of one million Africans, then so be it.
The Clinton Administration women who justified this non-intervention, later had an opportunity to stop the carnage in Sierra Leone, Ethiopia, Democratic Republic of Congo, Ivory Coast since 2000, Sudan and they did nothing because what was happening in those areas, despite the tremendous human toll, was consistent with unstated U.S. policy.
https://www.jamiiforums.com/interna...a-hero-for-african-rights-and-liberation.html
Swala la Gaddhafi si kama tunavyodhani.. Ni kweli jamaa alikosea sana kumuunga mkono Idd Amin, lakini hiyo haitoshi ku-justfy kile mataifa ya magharibi yanakifanya..
Toka lini US ikampenda mwa-frica?? Halafu na tulivyo wafinyu wa kufikiri, tumefunikwa na kuaminishwa kuwa media za magharibi ndo zinazosema ukweli..
Evidence zipo nyingi tu za kuona ya kwamba jamaa wanamwonea.. Watu wa libya wanataka nini zaidi ya Free Health care, Free education. free land, na kuna mambo mengi sijayataja hapa..
Mbona Marekani hawaendi Bahrain, Yemen, Congo, Ivory Coast na kwingineko.. Kwa nini tuamini kwamba BBC,CNN, REUTERS, FOX na media zingine za magharibi ndo zinasema ukweli? Je, wakiwa na maslahi binafsi haiwezekani wakauficha ukweli?? Tufikiri jamani, sio tunaongea ongea tu.. Leo kwa Gaddhafi, kesho Tanzania.. Na hili litatokea pale ambapo serikali yenye sera zinazobana wawekezaji wa nje zikiwekwa, ni lazima tu tutaonekana wabaya kwa hao mabepari..
Tarehe 22 Feb 2011, vyombo vya habari vya magharibi, vilipika taarifa kwa kusema kuwa kulikua na ndege imelipua waandamanaji wa Libya.. Lakini jeshi la Russia linalo-monitor anga la North Africa, lilisema kuwa taarifa hizo zilikua za kupikwa, maana satellite zao haziku-register tukio hilo..
UN hawatendi haki.. Mie sim-sapoti Gaddaf, but napinga uvamizi wa mataifa ya magharibi. Kwa nn hawataki hata kutumia njia za ki-diplomasia??
Mkuu! Wasomi wetu hawana muda wa kusoma na kuelewa... na muda wa kutafakari mambo ndio hawana kabisa!!Mkuu EMT.
Sio lazima uandike hata kama huna cha kuandika. Post yangu imejibu post ya Eqlypz.Inaonekana wala hukuisoma post yangu,na kama umeisoma hukuifahamu.
Vipi umekuja na suali la tofauti ya China, Russia na Libya? Nisaidie kuelewa hapo halafu nitachangia.
Lakini US wako hivi.
Angalia hizi coincidences 1-19 utaielewa vizuri US.
YouTube - 9/11 Coincidences (13/19)
The Kill Team | Rolling Stone Politics
YouTube - Farrakhan Exposes America's Wicked Motives! Why Libya?