The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

ICRC alarmed by situation in Libya, says fears worse

Five months into a conflict that has embroiled NATO ..........

Health care and food supplies are deteriorating in Libya, but the Gaddafi government has managed to keep paying wages and food subsidies in areas under its control, the International Committee of the Red Cross (ICRC) said on Tuesday.

http://af.reuters.com/article/topNews/idAFJOE7640IL20110705?sp=true
 
ICRC alarmed by situation in Libya, says fears worse

Five months into a conflict that has embroiled NATO ..........

Health care and food supplies are deteriorating in Libya, but the Gaddafi government has managed to keep paying wages and food subsidies in areas under its control, the International Committee of the Red Cross (ICRC) said on Tuesday.

ICRC alarmed by situation in Libya, says fears worse | Top News | Reuters

Najua Walibya wa Bengharz wanajutia uamuzi wao wakuwakaribisha" Wasaliti".
 
Libyan Family Take Legal Action Against Nato
8:35am UK, Thursday July 07, 2011

Lisa Holland, Sky correspondent, in Tripoli
A family who say they lost five relatives in an air strike Nato admitted was a mistake are taking legal action over the deaths.

16025710.jpg

The family clutch photos of their relatives

They told Sky News they have started court proceedings with the help of the Libyan government and plan to sue Nato. Mohamed Ali Gurari says he lost his daughter Karima, son-in-law Abdullah, and seven-month-old Jumanah and two-year-old Khaled, his grandchildren, in the bombing.

The Libyan government claims they were among nine civilians killed in the attack on June 19.

Standing amongst the rubble, Mr Gurari said: "If I had a chance to talk to David Cameron, I would tell him to stop. Is this what he calls protection?

"In less than a minute the whole house collapsed on them while they were asleep."

The women of the family spoke inside the house, clutching pictures of their family. Karima's sister, Najat, said: "My sister was a teacher. She had nothing to do with the army or the government."

Nato admits a bomb malfunctioned, but says this is the only civilian target it has mistakenly hit.

Meanwhile, the Libyan government has issued indictments against a list of 21 figures in the Transitional National Council.

They include the man seen as its leader, Mustafa Abdul Jalil.

It accuses them of conspiring with foreign countries, and names France, Britain and America as "pressurising" them into launching "aggression" against Libya.

The indictments accuse the listed figures of supplying foreign governments with military secrets and guiding them to military locations. It comes after the International Criminal Court issued arrest warrants for Colonel Gaddafi, his son, Saif al Islam, and intelligence chief Abdullah al Sanoussi for crimes against humanity.

SkyNews
 
Hapa bongo watu wanauwawa na "wawekezaji" afu kesi zinaishia chini ya kapeti. Ovyoooo!
 
Mimi nashangaa hawa North Atlantic Treaty Organization or NATO wanafanyanini huku afrika nani amewapa majukumu huku. Kwani huku ni north atlantic. Huu ni ugaidi tuu unaoendelea dunia hii kwa baazi ya nchi kutumbua hela na kuendelea kuzipa kazi masilaha yao waliyotengeneza yasiingie kutu. Sasa angalia watu wangapi wameua huko kwa mtemi ghadafi. Simtetei lakini siyo mahali pa NATO kubomu bomu nchi za watuu tuu miaka nenda rudi alafu wanakuja kujenga baadaya na kukuingiza kwa madeni. Angalia hata mtemi ghadafi alikuwa hana madeni ya hawa walafi wa IMF na wold bank. Sasa wakimtoa hapo wataweka kibaraka wao na kupeleka madeni. Kinachonishangaza zaidi pia hawa magaidi (NATO) wanayo teknology ya kumkona gadafi mahali na kummaliza chakushangaza wanashuti tuu pembeni. Nikama mchezaji bora wa mpira wa miguu amepewa penati na goli lipo wazi bila kipa na kupiga mpira nje tuu au juu ya goli.
 
Nimeipenda hii...ukweli mtupu...
 
-Gaddafi alipokuja madarakani 1966 Libya ilikuwa nchi ya mwisho katika orodha za maendeleo duniani (repoti ya UNDP)
Repoti ya UN ya mwaka 2010 ya vigezo vya maendeleo ya binadamu (human development index inayotazama urefu wa maisha ya watu, elimu , afya, ukaribu wa huduma, na ubora wa maisha) inaiweka Libya nafasi ya 53 baina ya nchi 193. Kwa maana hiyo iko juu ya nchi kama China, Mexico na Saudi Arabia.
-Walibya wanapewa elimu ya bure tangu kindergarten hadi university na kama umepasi vizuri hata elimu ya nje chee.
-Walibya wote wanaishi kwenye nyumba wanazozimiliki.
-Libya ndiyo yenye kiasi cha chini zaidi cha vifo vya watoto wachanga barani Afrika, hata kushinda Misri, Morocco, South Africaa, mauritius.
-Gaddafi hana benki akaunti nje, lakini Libya kama nchi ina akiba ya dola 100 BILIONI ambazo Wazungu kama kawaida zao wameziiba eti kwa kuwa Gaddafi hawakilishi Walibya tena!
-Gaddafi ameinvest dola bilion 20 kutengeneza mto mkubwa zaidi uliowahi kutengenezwa na binadamu yeyote duniani, hiyo kudhamini upatikanaji wa maji daima Libya.
- (Hata kama hujui) ukiwa Mwafrika barani Afrika, basi unafaidi dola bilioni 1 za Gaddafi kila mwaka ambazo analipia satellite za Bara zima la Afrika ili Waafrika wasiingie gharama hiyo. Hizi ndizo zinazokuletea TV, mawasiliano ya simu etc.
- Gaddafi ni rais pekee wa Kiarabu anayejivunia kuwa Mwafrika (hata huvaa nguo za Kiafrika wakati wetu huvaa tai katikati ya joto la Dar!)
-Gaddafi (wengi tunajua) ndiye aliyeshinikiza kuundwa AU. Infact, alikuwa anataka shirikisho la mara moja la Afrika nzima, lakini wakuu wenu, kwa kuwahofia waume zao na maslahi yao wakasema haiwezekani banaaaaaaaa!
-Gaddafi amefanya Walibya wote sawa, waume kwa wake, ingawaje kwa culture ya Kiarabu hilo ni tusi (mabodi guard wake)
-Ameikopesha karibuni Afrika yote (hata rais wako ana deni) tena kwa masharti nafuu. Wakati mwingi ameziokoa nchi nyingi za Afrika kwa kuwapa petroli ya bure, kuwajengea viwanja au mahall ya bure kwa mikutano ya Afrika. (Waasi hawatataka hata uhusiano na watu weusi)

UPANDE MWINGINE
Hawa wanaoitwa rebels wengi wao ni watu wenye background ya Alqaeda (bila shaka utajua watafanya nini.Al-Hasidi, mmoja wa wakuu wao, ndiye aliyekuwa Kuruta mkuu wa wanaokwenda kupigana Afghanistan bega kwa bega na Osama.
-Na ni kwa sababu ya background hiyo ndiyo ingawaje wanasema viongozi wa mapinduzi ni 31 lakini wanathubutu kutaja majina ya 13 tu wakihofia kuweka wazi wengine
-Abdul Jalil, mkuu wa rebels ndiye aliyetoa amri ya kuuawa mamia ya watu weusi, eti akiwatuhumu kuwa ni mamluki, lakini ukweli ni kuwa ataka kulipiza kisasi cha siasa za Gaddafi za kupendelea Afrika. Pia alipokuwa Waziri wa Sheria katika utawala wa Gaddafi alitoa amri ya kunyongwa kwa wauguuzi (nurses) watano wa Bulgaria kwa tuhuma za kuwaambukiza ukimwi watoto wa Libya (Gaddafi akawasamehe)
- Wanasaidiwa na Wazungu, na hata wakoloni wa Libya (Italy) eti hivi sasa ndio wakombozi!
-Wanajua hwawezi kushinda uchaguzi huru utakaosimamiwa na UN kama alivopendekeza Gaddafi, wakakataa. Njia pekee ya kufika madarakani kwa kundi hili ni kwa mtutu wa bunduki

KOSA KUBW LA GADDAFI:

Yasemekana ni dikteta asiyependa demokrasia. Pia, amekaa sana.
 
si aondoke tu jamani. mwisho wake utakuwa nini kama siyo kuondoka?
 
hata angeigeuza mchanga wote wa jangwani uwe wa dhahabu lakini yeye hayuko tayari kuwapa wamagharibi wanachotaka..lililobakia ni kumuondoa madarakani ama kumuuwa tu !! hakuna jengine kama kutetea raia mbona hawendi syria ? au kwa kuwa hawana mafuta ? mbona hawendi yemeni ? au kwa kuwa ni rafiki yao ? hawatasimama mpaka wahakikishe huyu jamaa kafa ...........ndipo watasimama na kuchukuwa watakacho kama irak, pesa tele za kuijenga ila hakionekani kilichojengwa...............
ni ya kawaida tu haya .....hakuna jipya ,(walianza kwa Savimbi , Saddam) leo kwa Libya na sijui kesho atakuwa nani ...........
 
Wacha Gadafi aondoke viongozi wavivu kufikiri na wenye sera za kuomba omba kama wa kwetu wataipata fresh maana watakuwa wamekosa pa kuomba na kukopa
 
Waarabu ni watu wanafiki na hawana mana hata kidogo we angalia hata hapa nchini hawana msaada wowote kwa waislam,zaidi ya kuwafanyisha kazi za ndani na kuwapa tende siku za sala ijumaa,na sashivi wamekuwa vibaraka wakubwa wa watu wamagharibi.Leo wanapigana wenyewe kwa wenyewe.
 
Sasa waasi wanamnyemelea Gaddafi. Wamebakiza kilomita 45!
Libya rebels move to with 45 miles of Tripoli
Thursday 07 July 2011
07_libya_qawalish_r_k.jpg

As two offensives place Libyan rebel forces within striking distance of Gaddafi's Tripoli stronghold, Anthony Tucker-Jones asks they can maintain their new-found momentum.

After five months of deadlock, it seems as if the uprising in Libya is finally making headway. Latest reports indicate that the rebels are now within 45 miles of the Libyan capital.

Whether this is due to an improvement in rebel military capabilities (in part thanks to French weapons supplies) or falling morale among Gaddafi's supporters remains unclear.

In the last few days the rebels have made potentially significant inroads both to the south and east of Tripoli. Most notable is the capture of the village of al-Qawalish, 60 miles south west of Tripoli, following a battle reportedly lasting six hours.

This was partly facilitated by Nato airstrikes which destroyed a number of loyalist armoured vehicles in the area. The opposition states that it waited until Nato green-lighted their ground assault. When rebel forces rolled in to al-Qawalish yesterday there was every indication that the defenders had conducted a disorderly withdrawal, leaving much of their kit behind.

Previous rebel advances have had a nasty habit of grinding to a halt and then being put to flight following loyalist counter-attacks.

The significance of this is that it places opposition forces within striking distance of Garyan, which dominates the main highway to Tripoli. Some of the rebel fighters are known to hail from Garyan - so they have good intelligence on this strategic garrison town

Channel4 News
 
Africa hakuna rais zaid ya gadaf na museven. Wengine wote vibaraka2
 
I was against Libya intervention: Berlusconi
July 7 2011 at 07:47pm
2268745483.jpg

  • Adai eti alilazimishwa!

    By Lamine Chikhi. Reuters

Tripoli - Italian Prime Minister Silvio Berlusconi said on Thursday he was against Nato intervention in Libya but had to go along with it, an admission that exposed the fragility of the alliance trying to unseat Muammar Gaddafi. Nato warplanes have been bombing Libya under a UN mandate, but the alliance is under mounting strain because of the cost of the operation and the failure, after more than three months, to produce a decisive outcome.

“I was against this measure,” Berlusconi said. “I had my hands tied by the vote of the parliament of my country. But I was against and I am against this intervention which will end in a way that no-one knows.”

Some of the alliance bombing missions over Libya take off from military airbases in Italy. There was no suggestion following Berlusconi's comments that Rome would withdraw the use of the bases. But Defence Minister Ignazio La Russa said that the cost to Italy of the Libya operation would fall from 142 million euros in the first half of the year to less than 60 million euros in the second half as part of general defence spending cuts.

He said after a cabinet meeting on Thursday the aircraft carrier Garibaldi with three aircraft on board had been withdrawn, and their tasks would be taken on by land-based aircraft.

Speaking at a book presentation in Rome, Berlusconi said: “I went to Paris and I said - I can repeat this - I would have stood with Mrs Merkel as far as this decision to intervene in the no fly zone is concerned.”

He appeared to be referring to a March 19 meeting at which several Western powers decided to launch the military intervention. German Chancellor Angela Merkel chose not to involve her country in the operation.

“We posed very precise questions to the protagonists of this initiative - that's to say President Sarkozy and Prime Minister David Cameron - in the most recent meeting of the heads of government in Brussels,” he said.

“The answer was that the war will end when there is, as we expect, a revolt by the population of Tripoli against the current regime.” Gaddafi has rejected any suggestion that he will give up power and he has described the Nato campaign as an act of colonial aggression aimed at stealing Libya's oil. Potentially adding to the pressure on Italy to review its stance on Libya, a senior Libyan government spokesman said negotiations had begun with Russian and Chinese firms to take over the role of Italian energy firm ENI in oil and gas projects.

Full story

NB: Sintoshangaa nikisikia huyu jamaa analikoka!
 
-Gaddafi alipokuja madarakani 1966 Libya ilikuwa nchi ya mwisho katika orodha za maendeleo duniani (repoti ya UNDP)
Repoti ya UN ya mwaka 2010 ya vigezo vya maendeleo ya binadamu (human development index inayotazama urefu wa maisha ya watu, elimu , afya, ukaribu wa huduma, na ubora wa maisha) inaiweka Libya nafasi ya 53 baina ya nchi 193. Kwa maana hiyo iko juu ya nchi kama China, Mexico na Saudi Arabia.
-Walibya wanapewa elimu ya bure tangu kindergarten hadi university na kama umepasi vizuri hata elimu ya nje chee.
-Walibya wote wanaishi kwenye nyumba wanazozimiliki.
-Libya ndiyo yenye kiasi cha chini zaidi cha vifo vya watoto wachanga barani Afrika, hata kushinda Misri, Morocco, South Africaa, mauritius.
-Gaddafi hana benki akaunti nje, lakini Libya kama nchi ina akiba ya dola 100 BILIONI ambazo Wazungu kama kawaida zao wameziiba eti kwa kuwa Gaddafi hawakilishi Walibya tena!
-Gaddafi ameinvest dola bilion 20 kutengeneza mto mkubwa zaidi uliowahi kutengenezwa na binadamu yeyote duniani, hiyo kudhamini upatikanaji wa maji daima Libya.
- (Hata kama hujui) ukiwa Mwafrika barani Afrika, basi unafaidi dola bilioni 1 za Gaddafi kila mwaka ambazo analipia satellite za Bara zima la Afrika ili Waafrika wasiingie gharama hiyo. Hizi ndizo zinazokuletea TV, mawasiliano ya simu etc.
- Gaddafi ni rais pekee wa Kiarabu anayejivunia kuwa Mwafrika (hata huvaa nguo za Kiafrika wakati wetu huvaa tai katikati ya joto la Dar!)
-Gaddafi (wengi tunajua) ndiye aliyeshinikiza kuundwa AU. Infact, alikuwa anataka shirikisho la mara moja la Afrika nzima, lakini wakuu wenu, kwa kuwahofia waume zao na maslahi yao wakasema haiwezekani banaaaaaaaa!
-Gaddafi amefanya Walibya wote sawa, waume kwa wake, ingawaje kwa culture ya Kiarabu hilo ni tusi (mabodi guard wake)
-Ameikopesha karibuni Afrika yote (hata rais wako ana deni) tena kwa masharti nafuu. Wakati mwingi ameziokoa nchi nyingi za Afrika kwa kuwapa petroli ya bure, kuwajengea viwanja au mahall ya bure kwa mikutano ya Afrika. (Waasi hawatataka hata uhusiano na watu weusi)

UPANDE MWINGINE
Hawa wanaoitwa rebels wengi wao ni watu wenye background ya Alqaeda (bila shaka utajua watafanya nini.Al-Hasidi, mmoja wa wakuu wao, ndiye aliyekuwa Kuruta mkuu wa wanaokwenda kupigana Afghanistan bega kwa bega na Osama.
-Na ni kwa sababu ya background hiyo ndiyo ingawaje wanasema viongozi wa mapinduzi ni 31 lakini wanathubutu kutaja majina ya 13 tu wakihofia kuweka wazi wengine
-Abdul Jalil, mkuu wa rebels ndiye aliyetoa amri ya kuuawa mamia ya watu weusi, eti akiwatuhumu kuwa ni mamluki, lakini ukweli ni kuwa ataka kulipiza kisasi cha siasa za Gaddafi za kupendelea Afrika. Pia alipokuwa Waziri wa Sheria katika utawala wa Gaddafi alitoa amri ya kunyongwa kwa wauguuzi (nurses) watano wa Bulgaria kwa tuhuma za kuwaambukiza ukimwi watoto wa Libya (Gaddafi akawasamehe)
- Wanasaidiwa na Wazungu, na hata wakoloni wa Libya (Italy) eti hivi sasa ndio wakombozi!
-Wanajua hwawezi kushinda uchaguzi huru utakaosimamiwa na UN kama alivopendekeza Gaddafi, wakakataa. Njia pekee ya kufika madarakani kwa kundi hili ni kwa mtutu wa bunduki

KOSA KUBW LA GADDAFI:

Yasemekana ni dikteta asiyependa demokrasia. Pia, amekaa sana.
Good observation!
 
Back
Top Bottom