wapi nimepaza sauti. yaani wewe unataka nimsapoti Gaddafi, siyo? (eti ili nionekane kama mwanaharakati mwenye uchungu wa Africa). mbona unaleta udikteta wa mawazo? hebu niambie ni vita gani ambayo haina propaganda?Halafu na wewe huoni aibu kupaza sauti ya kitu cha uongo na propaganda za kivita kama hicho?
Mkuu
Wewe unapendelea kupata habari kutoka channels zipi?
Mimi huangalia na kusikiliza zote zote, CNN, BBC, Al jazzerah, CCTV, Press TV, RT, ABC news, MNSBc, VOA, RFI, Euronews na kuchanganya na zangu.
Tusaidie orodha na links ya hizo neutral sources of info. Natanguliza shukrani zangu kwako.
jamaa alionekana kuwa na wasiwasi mwingi sana wakati akiongea, na hao jamaa wamebakiza kilometa zisizozidi 5 wautwae mji wa tripoli, naona sasa Ghadafi ndio kwisha habari yake!
Aljazeera ya waarabu nao hawampendi Colonel aliwaeleza ukweli kuhusu mgogoro wa na Iran,akawaambia wao ni ndugu haina maana kuuwana,fuatilia mkuu.Mkuu inategemea naangalia nini ni hicho kitu kinatokea maeneo gani. Kama Libya, naangalia Libya state TV, Al Jazeera (hasa ile ya Kiarabu) na Al Harabya. Sikumbuki mara ya mwisho niliangalia CNN lini. Nafikiri ilikuwa immediately after the Iraq war. Sky New naangalia for the sake of it, though siamini wanachosema, mpaka ni confirm na sources nyingine. BBC may be lakini siku hizi nayo inategemea na habari. Na hizo zenyewe wala sio neutral. Kitu ambacho nashangaa wakati wa vita ya Iraq tulikuwa tunaifagilia Al Jazeera kwa kuonyesha hali halisi ilivyokuwa ndani ya Iraq. But in Libya nayo tumeweka kwenye western media?
Aljazeera ya waarabu nao hawampendi Colonel aliwaeleza ukweli kuhusu mgogoro wa na Iran,akawaambia wao ni ndugu haina maana kuuwana,fuatilia mkuu.
Hata hapo Libya kutagawanyika kama NATO wakishinda.Na hizo pesa za mafuta watalipwa majimbo hayo yaliyo na visima,kama Misrata nk,kwingineko umasikini utashamiri,na Libya kama Taifa,lita collapse.Libya mpya yenye kuyatumikia maslahi ya kiuchumi ya NATO itazaliwa.Libya ambayo sasa ita function kama serikali yetu.
Kama alirudi upande wa Afrika sioni shida.Mimi ni mwana Afrika.Yeyote mwenye kutetea maslahi ya Afrika ana nafasi yake kwenye mioyo ya waafrika wazalendo.No matter what the propaganda will be like.Ninaamini sana kama hao west wangeamua kumfagilia Gaddafi,basi wengi wenu humu msingekuwa na mawazo haya.Gadaffi hana uhusiano mzuri na viongozi wa nchi nyingine za kiarabu. Hilo linajulikana. Ndio maana akarudi kwa viongozi Waafrika, ambao are hopeless. Mwache na yeye akipate. Nae ali act kina-NATO kumsadia his son-in-law, Idd Amin, kutuulia ndugu zetu kule Kagera.