The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Gadaffi hana uhusiano mzuri na viongozi wa nchi nyingine za kiarabu. Hilo linajulikana. Ndio maana akarudi kwa viongozi Waafrika, ambao are hopeless. Mwache na yeye akipate. Nae ali act kina-NATO kumsadia his son-in-law, Idd Amin, kutuulia ndugu zetu kule Kagera.

Ukiona kuna kiongzi hajawai kutofautiana kimtazamao kwa mambo fulani fulani na viongozi wa mgaharibi jua hakuna matumaini. Thabo mbeki aliwai kutofautiana kuhusu mambo ya AIDS. ile debate ilianza kushika kasi lakini baadae ikazimwa

Sasa hawa vingozi wetu ambao wanasubiri wageni wawambiee wafanye nn kizuri kwa manufaa ya nchi zetu . sijui AGOA, sijui uza Gold reserve ubaki na US $ reserve hawana msaada. ........ Ohh privati se energy sector na crtitical rail system......

Sana sana pipi wanayopewa wakikubali masharti ni WB na IMF kutoa takwimu kuwa Uchumiwa nchi umekuakuwa kwa 6%
 
Kama alirudi upande wa Afrika sioni shida.Mimi ni mwana Afrika.Yeyote mwenye kutetea maslahi ya Afrika ana nafasi yake kwenye mioyo ya waafrika wazalendo.No matter what the propaganda will be like.Ninaamini sana kama hao west wangeamua kumfagilia Gaddafi,basi wengi wenu humu msingekuwa na mawazo haya.

Gadaffi anatetea maslahi ya Afrika au maslahi yake? Ndio mana alitaka awe president for life wa African Union, headquarter iwe Tripoli na TV ya Afrika iwe Tripoli. Kila kitu alitaka kiwe Tripoli. He was very reluctant to step down causing considerable resentment when leader from 53 states chose Malawian president.

Wakati tulitegemea African Union ibase zaidi kwenye mambo ya kiuchumi, Gadaffi wanted to use the it as a power base to propagate his views on politics against Nepad. He even paid off the arrears of about six African countries, enabling them to regain voting powers in the OAU, after they were suspended for non-payment of subscriptions.

After being rejected even by his fellow Arabs, Gaddafi tried to use his country's oil wealth to buy influence across Africa. Unakumbuka wakati Mugabe anataifisha ardhi ya wazungu ili kuwapa weuzi wa Zimbabwe, Gadaffi akamfuata eti ampatie hiyo ardhi ainedeleze? Mugabe akamotolea nje.

Labda wengine lakini mie simfagilii Gadaffi simply because west hawamtaki. Naamini kama wengi humu mngekuwa mmeadhirika vita ya Uganda, msingekuwa hata na mawzo ya kumsapoti Gadaffi. Siungi actions za Nato, but this does not make me to support Gaddafi.
 
Ukiona kuna kiongzi hajawai kutofautiana kimtazamao kwa mambo fulani fulani na viongozi wa mgaharibi jua hakuna matumaini. Thabo mbeki aliwai kutofautiana kuhusu mambo ya AIDS. ile debate ilianza kushika kasi lakini baadae ikazimwa

Sasa hawa vingozi wetu ambao wanasubiri wageni wawambiee wafanye nn kizuri kwa manufaa ya nchi zetu . sijui AGOA, sijui uza Gold reserve ubaki na US $ reserve hawana msaada. ........ Ohh privati se energy sector na crtitical rail system......

Sana sana pipi wanayopewa wakikubali masharti ni WB na IMF kutoa takwimu kuwa Uchumiwa nchi umekuakuwa kwa 6%
Inaelekea una nia ya kumsapoti EMT kwa kile anachosema lakini content yako inaonyesha kuwa mko mbali mbali.Ama ni mimi?
 
Enyi walimwengu mnaompa tafu Kanali Gaddafi wakati umewadia wa kulia, kugalagala na kusaga meno. Mji wa Tripoli kwa sasa umezingirwa na waasi na Kanali anatafuta pa kutokea. Kung'ang'ania madaraka nako kuna mwisho wake!
 
Ukiona kuna kiongzi hajawai kutofautiana kimtazamao kwa mambo fulani fulani na viongozi wa mgaharibi jua hakuna matumaini. Thabo mbeki aliwai kutofautiana kuhusu mambo ya AIDS. ile debate ilianza kushika kasi lakini baadae ikazimwa

Sasa hawa vingozi wetu ambao wanasubiri wageni wawambiee wafanye nn kizuri kwa manufaa ya nchi zetu . sijui AGOA, sijui uza Gold reserve ubaki na US $ reserve hawana msaada. ........ Ohh privati se energy sector na crtitical rail system......

Sana sana pipi wanayopewa wakikubali masharti ni WB na IMF kutoa takwimu kuwa Uchumiwa nchi umekuakuwa kwa 6%

Una maana ili nchi zifanye vizuri, then inabidi kuwa na dictator kama Gadaffi? Kuhusu WB, IMF na uchumi kukua kwa asiliamia 6, sitacomment, b'se huko nyuma nimeambiwa naandika pumba na upuuzi kwa kughusia Chadema kwenye hii thread.
 
Gadaffi anatetea maslahi ya Afrika au maslahi yake? Ndio mana alitaka awe president for life wa African Union, headquarter iwe Tripoli na TV ya Afrika iwe Tripoli. Kila kitu alitaka kiwe Tripoli. He was very reluctant to step down causing considerable resentment when leader from 53 states chose Malawian president.

Wakati tulitegemea African Union ibase zaidi kwenye mambo ya kiuchumi, Gadaffi wanted to use the it as a power base to propagate his views on politics against Nepad. He even paid off the arrears of about six African countries, enabling them to regain voting powers in the OAU, after they were suspended for non-payment of subscriptions.

After being rejected even by his fellow Arabs, Gaddafi tried to use his country's oil wealth to buy influence across Africa. Unakumbuka wakati Mugabe anataifisha ardhi ya wazungu ili kuwapa weuzi wa Zimbabwe, Gadaffi akamfuata eti ampatie hiyo ardhi ainedeleze? Mugabe akamotolea nje.

Labda wengine lakini mie simfagilii Gadaffi simply because west hawamtaki. Naamini kama wengi humu mngekuwa mmeadhirika vita ya Uganda, msingekuwa hata na mawzo ya kumsapoti Gadaffi. Siungi actions za Nato, but this does not make me to support Gaddafi.
Mkuu hekima inatakiwa hapa.
Hivi unajuwa hata slavery ilipokuwa abolished kuna weupe ambao wali play critical role na ndiyo maana hata ikawa abolished?
Kama mtu huyu alikuwa na mawazo ya Afrika moja na anafanya mambo yenye manufaa ya kweli kwa Afrika na watu wake.Basi huyu kwangu ni mwafrika kuliko mwenye ngozi nyeusi na fisadi ambaye ni puppet.

Unapodai hayo ya vita ya Kagera unachanganya mambo tu kwasababu politics za nyakati zile zilikuwa za tofauti.Mwalimu mwenyewe alishamalizana naye na alitoa msaada kwa wana butiama.Usijifiche nyuma ya issue ya Kagera.

Unadai eti alitaka awe rais wa maisha wa Afrika,so what?If thats the beggining,there is no problem kwasababu Afrika iko,ilikuwepo na itaendelea kuwepo hata kama yeye angekufa.Misingi ingekuwepo.Mbona Afrika inaongozwa na madikteta tena puppets wa west to begin with?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
TIME TO END NATO'S WAR IN LIBYA: BY Dennis Kucinich

In March of this year, the US, France, Britain and their North Atlantic Treaty Organisation (Nato) allies launched military operations in Libyaunder the guise of a "humanitarian intervention". US diplomats and world leaders carelessly voiced unsubstantiated claims of an impending massacre in Benghazi. You hear no such appeals to humanity while Nato, in the name of the rebels (whoever they are), prepares to lay siege to Tripoli, a city of nearly 2 million people.

Libyan rebels are now advancing on the capital city of Tripoli with the aid of Nato strikes; this is sure to result in a real bloodbath, as opposed to the one that was conjured in Benghazi this past winter. Nato is assisting rebels who are blocking food, water and medical supplies from coming into the capital city, and is stopping those who need advanced medical care from travelling to Tunisia to access it. Nato is bombing power stations, creating blackouts, and using Apache helicopters to attack Libyan police checkpoints to clear roads for rebels to advance.

Regardless of whether Muammar Gaddafi is ousted in coming days, the war against Libya has seen countless violations of United Nationssecurity council resolutions (UNSCRs) by Nato and UN member states. The funnelling of weapons (now being air-dropped) to Libyan rebels was, from the beginning of the conflict, in clear violation of UNSCR 1970. The use of military force on behalf of the rebels, in an attempt to impose regime change, has undermined international law and damaged the credibility of the United Nations. Countless innocent civilians have been killed, and Nato air strikes continue to place many at great risk.

So much for the humanitarian-inspired UNSCR 1973 as a means to protect civilians. The people of Libya cannot take another month of such humanitarian intervention.

The leading donor nations of Nato – the US, France and Great Britain – have been free to prosecute war under the cloak of this faceless, bureaucratic, alphabet security agency, now multinational war machine, which can violate UN resolutions and kill innocent civilians with impunity. War crimes trials are only for losers. The prospective conquerors, the western powers and their rebel proxies, will then expect to be able to assert control over Libya's vast oil and natural gas reserves.

The US share of the war against Libya has probably exceeded the $1bn mark. This extraordinary amount of money for an intervention that Americans were told would last "days not weeks" could only be explained by looking at the war as an investment, and at control over Libya's wealth as an opportunity to make a return on that investment. Cynical? Then tell me why else we are at war in Libya.

Viable peace proposals, such as the one put forward by the African Union (AU), have been quickly and summarily rejected. If there is going to be a peaceful resolution of the conflict, the US must work with and empower the AU to ensure regional security. The AU has proposed a peace plan that would facilitate an immediate ceasefire, the unhindered delivery of humanitarian aid, a dialogue between the Transitional National Council and the Gaddafi government, and the suspension of Nato strikes.

The use of force and ultimatums has not worked. As the war enters its sixth month, it is time for the US president and secretary of state to clean up the mess they've created with this needless military intervention, and to work to seriously to bring about a negotiated end to this war.

In June, I proposed a peace plan (pdf) derived in part from the efforts of the AU. This plan calls for an immediate ceasefire and lays out the principles necessary to create a framework to achieve reconciliation and national unity in Libya by a meaningful process. In its June report on Libya, the International Crisis Group stated:

"A political breakthrough is by far the best way out of the costly situation created by the military impasse. This will require a ceasefire between the regime and the Transitional National Council, the deployment of a peacekeeping force to monitor and guarantee this under a UN mandate, and the immediate opening of serious negotiations between regime and opposition representatives to secure agreement on a peaceful transition to a new, more legitimate political order. Nato and those states supporting its military action should facilitate this development, not hinder it."

I have recently received several reports indicating that a settlement was close, only to be scuttled by state department officials. Given that the department of state seems to have taken a singular role in launching the US into this war, it is more than disconcerting to hear that the same agency has played a role in frustrating a resolution to this conflict. There are viable solutions to peacefully end the conflict, if there is a desire to do so.

Continued military action promotes a cycle of violence that will persist whether Colonel Gaddafi is ousted or not. On 19 March 2003, the United States pursued regime change in Iraq. Eight years later, we're still wondering why the people of Iraq are not sufficiently grateful for our intervention, which has resulted in the death of over 1 million of their fellow countrymen and women.

How can we expect this grim manifesto of interventionism to ever result in anything but tragedy? It's time to end the war against Libya.

Time to end Nato's war in Libya | Dennis Kucinich | Comment is free | guardian.co.uk
 
Buoyed by gains on Saturday, rebel forces are pushing towards the Libyan capital, Tripoli, where there was heavy overnight gunfire and several explosions on Sunday morning.
A BBC correspondent with rebels who took Zawiya on Saturday says they have now taken Jaddayim, the first town en route to Tripoli, 40km (25 miles) east.
A government spokesman called for a ceasefire and accused Nato of working with the anti-Gaddafi forces.
Rebels are moving on two other fronts.
They took Zlitan, 160km (100 miles) east of Tripoli and are also advancing from the south, while Nato warships control access to the sea.
A rebel official said their supporters had started to rise up in Tripoli, but the violence appeared to peak late on Saturday night and there is still much support for Col Gaddafi in the city, correspondents say.
Pro-Gaddafi forces have been fighting back at the oil port of Brega, with the rebels admitting that they had fallen back from the eastern town's industrial zone under heavy bombardment.
'Massacres' Col Gaddafi's Information Minister Moussa Ibrahim accused Nato of going "mad".
"Nato in the last week or so... has been opening the roads ahead of the rebels who are too weak to do anything themselves," he told a news conference in Tripoli.
He also accused the rebel forces of carrying out "massacres" and killing people in the streets of those towns and villages they had seized in recent days.
He urged all parties to seek a peaceful way out of the crisis, warning that otherwise "many people will be killed and terrible crimes will be committed inside Libyan cities".
[h=2]"The zero hour has started"[/h]Abdel Hafiz Ghoga Transitional National Council
He also said that Tripoli was well protected by "thousands upon thousands of professional soldiers".
The BBC's Rupert Wingfield-Hayes in Jaddayim says hundreds of rebel fighters are in the town, both on foot and travelling in pick-up trucks. He says the town was taken after heavy fighting on Sunday morning.
Our correspondent says this is starting to feel like this may be the beginning of the march on Tripoli. This rebel advance seems to have more momentum than previous ones and has more support from Nato forces, he adds.
"We want to go to Tripoli today," one of the fighters, Bassam, told the AFP news agency, adding that Nato forces had been attacking the area's forest all night.
However, a fighter who returned from the front line to Zawiya said that pro-Gaddafi forces were pounding rebel positions with rockets and mortars.
In the capital itself, four loud explosions were heard on Sunday morning following hours of sustained gunfire in the city.
[h=2]At the scene[/h]Matthew Price BBC News, Tripoli
Colonel Gaddafi's Libya is under pressure like never before. Rebel forces are advancing towards the capital. They will expect to meet resistance before they arrive here. But the uprising may have started from within.
Overnight there were fierce clashes in several districts, with Col Gaddafi promising his people that the rebels had been "eliminated". Certainly the sound of the fighting indicated that troops had been ordered to fight them with all they have. The Libyan information minister called for an immediate ceasefire. He said a peaceful way out of the crisis needed to be negotiated, that the government had been saying this for months.
And he added that Nato would have blood on its hands if this did not happen. He said it was only with Nato support that the rebels were able to advance on Tripoli and that if they were allowed to enter, their priority would be blood and revenge.

There were overnight reports of protests and gunfire in areas to the north and east of Tripoli, including the Tajoura district, where there was trouble at the start of this uprising against Col Gaddafi, the BBC's Matthew Price reports from the capital.
The most intense period of fighting came at around 21:00 local time (19:00GMT) but the level of gunfire was much reduced by Sunday morning, our correspondent says.
The overnight fighting was almost certainly opponents of Col Gaddafi already in scattered parts of Tripoli rising up against pro-Gaddafi forces, rather than rebel forces advancing into the capital, our correspondent adds.
Abdel Hafiz Ghoga, vice-chairman of the rebel Transitional National Council (TNC), was quoted as saying by Reuters news agency: "The zero hour has started. The rebels in Tripoli have risen up."
He said the uprising had been co-ordinated with rebels forces elsewhere in the country.
But government officials say the attack was put down within half an hour.
In an audio broadcast shortly afterwards, Col Gaddafi congratulated his supporters for repelling the rebels.
"Those rats were attacked by the masses tonight and we eliminated them," he said.
His son, Saif al-Islam, ruled out any possibility of surrender.

Moussa Ibrahim: "Every drop of Libyan blood shed by the rebels is the responsibility of the western world"

"I see ourselves as victorious, I see our position is strong.

Source: BBCNEWS/RT
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hekima inatakiwa hapa.
Hivi unajuwa hata slavery ilipokuwa abolished kuna weupe ambao wali play critical role na ndiyo maana hata ikawa abolished?

Hao weupe wali abolish kwa manufaa ya nani? Unafikiri wali abolish kwa manufaa ya Waafrika? If so tumepata manufaa gani ya maana tokea slave iwe abolished. What followed after slave trade?

Kama mtu huyu alikuwa na mawazo ya Afrika moja na anafanya mambo yenye manufaa ya kweli kwa Afrika na watu wake.Basi huyu kwangu ni mwafrika kuliko mwenye ngozi nyeusi na fisadi ambaye ni puppet.

Mkuu hayo yalikuwa mawazo yake, na ni yeye pekee anajua kama kweli ali intend kuisadia Afrika. Kama alikuwa na nia hiyo then kwa nini hakuanza tokea siku hizo? Mpaka alipopigwa kibao na waarabu wenzake ndio akaja Afrika for a shoulder to cry on b'se hata West walikuwa wameshamtosa?

Unapodai hayo ya vita ya Kagera unachanganya mambo tu kwasababu politics za nyakati zile zilikuwa za tofauti.Mwalimu mwenyewe alishamalizana naye na alitoa msaada kwa wana butiama.Usijifiche nyuma ya issue ya Kagera. Unadai eti alitaka awe rais wa maisha wa Afrika,so what?If thats the beggining,there is no problem kwasababu Afrika iko,ilikuwepo na itaendelea kuwepo hata kama yeye angekufa.Misingi ingekuwepo.Mbona Afrika inaongozwa na madikteta tena puppets wa west to begin with?

Mkuu what goes around, comes around. Politics za wakati ule hazina tofuati kabisa na politics za sasa. Nothing has changed since then. and the fact kuwa Africa inaendeshwa na na puppets haina maana kuwa tuwapigie magoti madikteta. Wrong plus wrong does not make it right.
 
Al Jazeera's correspondent in Libya has the following update on the battle for Libya:

The anti-Gaddafi fighters have fully taken control of Tajoraa, Suq al-Jumaa, Arada and al-Sabaa neighbourhoods in the capital Tripoli, Al Jazeera correspondent said , adding that clashes were still underway in Ben Ashhour, Fashlom, and Zawiyat al-Dahmani neighbourhoods in Tripoli. Anti-Gaddafi fighters said they had seized the headquarters of a company running mobile phones in Tripoli, along with an attempt to advance at the premises of a government-run radio service
 
Una maana ili nchi zifanye vizuri, then inabidi kuwa na dictator kama Gadaffi? Kuhusu WB, IMF na uchumi kukua kwa asiliamia 6, sitacomment, b'se huko nyuma nimeambiwa naandika pumba na upuuzi kwa kughusia Chadema kwenye hii thread.

Kwa nchi kama zetu hizi zinahitaji watu wenye mawazo ya kiditatctor lakini ayatumie kwa manufaa ya wananchi.

Gaddafi kawezesha jamaa aliyelipua ndege aluridshwe kwao. Some sort sort of win win negotnging skiilss. Wanasiasa wetu wa Tanzania hakuna. Tunaenda kwenye mijadala ya kuvutia wawekezaji hatujui strength yetu ni nini na weaknesss yetu ni ini mwisho wa siku tunashindwa ku trade katika win win situation. So japo nami sikubalini na gaffadi katika views zake zote ana some qualities na views zinazotakiwa wawe nazo viongozi wa africa.

Sio billgates akisemaa atatoa msaada kopmyuta 1000 basi kiongozi apige makofi. tunataka kiongozi ambaye ana uwezo wa ku ague na kutoa advice kuwa anaonaje badala ya msaada wa komyuta 1000 afungue Microsoft service na support center Dar. Ndiyo maana sometime namkubali gadaffi.

Kuhusu hao wanazi wanaokwambia Pumba na upuuzi ni kawaida yao. Hatuwezi kuwa na mawazo sawa japo wote tunataka mabadiliko. Kuna watu wanataka mabadiliko lakini hawajui mabadiliko gani yanatakiwa. wao ni just reactive.

Inaelekea una nia ya kumsapoti EMT kwa kile anachosema lakini content yako inaonyesha kuwa mko mbali mbali.Ama ni mimi?

Kwa mtazamo wangu kuna hoja zake zikosawa na nyingine naona tunaweza kudebate electronically teh teh teh
EMT kama ulivyo wewe ni few members ambao binafsi nawa consider ni critical na analyitical thinkers hata kama sometime tunatofautiana views.
 
Kwa nchi kama zetu hizi zinahitaji watu wenye mawazo ya kiditatctor lakini ayatumie kwa manufaa ya wananchi.

Gaddafi kawezesha jamaa aliyelipua ndege aluridshwe kwao. Some sort sort of win win negotnging skiilss. Wanasiasa wetu wa Tanzania hakuna. Tunaenda kwenye mijadala ya kuvutia wawekezaji hatujui strength yetu ni nini na weaknesss yetu ni ini mwisho wa siku tunashindwa ku trade katika win win situation. So japo nami sikubalini na gaffadi katika views zake zote ana some qualities na views zinazotakiwa wawe nazo viongozi wa africa.

Sio billgates akisemaa atatoa msaada kopmyuta 1000 basi kiongozi apige makofi. tunataka kiongozi ambaye ana uwezo wa ku ague na kutoa advice kuwa anaonaje badala ya msaada wa komyuta 1000 afungue Microsoft service na support center Dar. Ndiyo maana sometime namkubali gadaffi.

Kuhusu hao wanazi wanaokwambia Pumba na upuuzi ni kawaida yao. Hatuwezi kuwa na mawazosawa japowote tunataka mabadiliko. Kuna watu wanataka mabadiliko lakini hawajui mabadiliko gani yanatakiwa. wao reactive.

Kwa mtazamo wangu kuna hoja zake zikosawa na nyingine naona tunaweza kudebate electronically teh teh teh

Mkuu mie siwalaumu sana viongozi. Nitawalaumu zaidi wananchi ambao ndio wanaoweka hao viongozi madarakani. Ukiwa na wananchi legelege, then utakuwa na viongozi legelege pia. Strong leadership inatokana na kuwa na strong community. If the people don't kick their leaders' butts, they will rule the country they way they want. In other words, nafikiri wanaohitaji kuwa na mawazo ya kidikteta ni wananchi na sio viongozi. Ukiwa dictate viongozi lazima wata perform. Lakini, viongozi wakiwa dictate wananchi, they won't perform. So, I would prefer to have a positive leader to dictator. A positive leader who empowers people to accomplish their goals. Note: usichanganye kiongozi ambaye ni authoritative na dikteta.
 
Kama kweli Walibya hawamtaki Ghadafi wangemtoa bila shida. lakini bado wanamtaka ndio maana inakuwa ngumu kumtoa. na kwa hakika atashinda vita dhidi ya nato
 
Simply because his post was a propaganda well written. Alianza post yake kwa kusema "Natoa tahadhari ifuatayo kwa wana jf:" as if sie Wana JF tuna haja ya kupewa tahadhari. Do you? Me no. That is how the people on the top do to the people on the lower. Kuwatahadharisha. That we should only listen to what the people on the top say. Full propaganda. Hapa JF everyone is equal. Hakuna kutahadharishana hapa. Believe on what you believe and don't believe on what you don't but don't warn people to induce them to believe on what you believe or what you don't believe.

Then akasema "Kwa mujibu wa alternative news nilizokuwa nazo ni hivi" Hiyo nayo propaganda. Kwanza ukiangalia hiyo quote, ni past tense. Anaongelea alternative sources alizokuwa nazo, ambazo zinaweza kuwa outdated by now. After all, there is no such a thing as alternative news. B'se hata link ya alternative source aliyoweka hapa ina copy news from Reuters ambayo ni moja ya western media anazosema zinaeneza propaganda.

Gaddafi kama anajiamini aache kuwa confirm hao foreign jornalists kwenye hoteli. Kama anajiamini na anafikiri anaonewa, then why he is confining them in an hotel? B'se vipi na mimi nikisema kuwa baada ya NATO ku drop bomu kwenye target za kijeshi, Gaddafi forces nao wana drop bomu kwenye residential area, then wanawafungulia hao foreign journalists na kuwapeleka sehemu ya residential ambayo Gaddafi forces wamelipua na kudai eti NATO ndio wamelipua? Would believe me on this? If not how then can you believe what Gamba la Nyoka wrote?

Soma pia na signature yake. Hataki Chadema kupokea misaada nje wakati Kikwete mwenyewe yuko nje muda mwingi akitembeza bakuli. Kama sio hypocrisy ni nini? You cannot fight a losing battle.

Sasa nimekupata... you have absorbed the content in relation to the form Whereas i just went for the content... IMO What he has posted is mostly logic - thou once you have pinpointed the aspect of Propaganda i see that too... Well putting Gamba's post aside...

Kuhusu Gaddafi you can not blame the man for doing what he is doing... i think we are not even allowed to be surprised for the likes of him would never admit failure to their last drop! EMT do you really expect him to say that he has failed? or to show how exactly he is feeling inside? At least he is keeping his word of fighting till his last breath...
 
[TD="colspan: 3"] "TV Rebellion" In Tripoli Can Start Any Moment Now
Posted: 2011/08/21
From: Mathaba

[TD="align: right"][/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]
[/TD]
[TD="width: 10"][/TD]

[TD="width: 10"][/TD]
[TD="class: fulltext, width: 500"]
Around 100 civilians killed in increased NATO bombing of Tripoli, Libya, Africa

By Alexander Grigoryev
21.08.2011
12:30 GMT+3
"Tonight NATO carried out heavy bombings of several districts in Tripoli. As a result, about 100 people were killed, civilians among them. Rescuers are still working, which is why the exact number of the dead and wounded is still unknown.
Right after the bombing, gunfire was heard in the outskirts of the Libyan capital. Western media immediately reported that rebels had entered the city, and civil war started", said a representative of the Libyan Embassy in Moscow.
According to him, "some of the gunmen were arrested. Close inspection of the site showed that the rebels had been imitating clashes with the army and the police. Some of the rebels were wearing police and army uniforms. The recordings of the action made with professional cameras, were later to be sent to Western media. Some of the recording media were seized. The backdrop commentaries leave no doubt that it was only an imitation".
The Libyan Embassy representative also said that "there are still some "sleeping cells" in Tripoli at the moment, acting against the government".
"Records showing dead bodies were also seized from the arrested. Voice over contends that those are the participants of anti-Gaddafi demonstrations in Tripoli, supposedly killed by the "bloody regime". The dates at the recordings, however, are the 22nd and the 23rd of August. The background clearly indicates that the recordings were made in Benghazi, but not in Tripoli", added the Embassy representative.
Meanwhile, according to a Russian military-diplomatic source, the operation aimed at Gaddafi's elimination and forming of public opinion by NATO special forces "is about to start any moment".
"Our data show that there are 15-17 small diversionary groups acting in Tripoli and its outskirts. Most of their members are employed by private US and British military companies. There are also saboteurs from the Foreign Legion. The acts of sabotage committed, there will be a helicopter landing in Tripoli airport, NATO special services troops onboard in order to [do so under the excuse to] protect civilians", he added.
He also said that this information has been forwarded to the Russian government.

[/TD]
 
Al Jazeera's correspondent in Libya has the following update on the battle for Libya:

The anti-Gaddafi fighters have fully taken control of Tajoraa, Suq al-Jumaa, Arada and al-Sabaa neighbourhoods in the capital Tripoli, Al Jazeera correspondent said , adding that clashes were still underway in Ben Ashhour, Fashlom, and Zawiyat al-Dahmani neighbourhoods in Tripoli. Anti-Gaddafi fighters said they had seized the headquarters of a company running mobile phones in Tripoli, along with an attempt to advance at the premises of a government-run radio service

Posted: 2011/08/21

[TD="colspan: 3"][h=1] Eyewitnesses dismiss rebel advances on Tripoli as misinformation [/h][/TD]

Reports of tracer bullets and explosions over the Libyan capital have sparked rumours of the imminent defeat of Colonel Gaddafi and his regime. However, it turns out the shots were fired in celebration at a victory for Gaddafi loyalists.

On Saturday evening, rounds were fired close to a hotel hosting foreign journalists. Explosions were also heard in the area as NATO aircraft carried out heavy bombing runs after nightfall, the Associated Press reported.
Rebels were reported to be fighting in the city's Tajoura neighbourhood, as well as near Tripoli’s international airport.
There have been reports that fighting also broke out in the neighborhoods of Soug Jomaa and Arada in the east. The NATO-backed rebels in Libya claimed that a battle for the capital Tripoli could unfold by the end of the month, as they have now taken control of key cities around the Gaddafi stronghold.
However, all these reports have proven false.
In an audio tape aired on state TV, Colonel Gaddafi congratulated his supporters.
Independent journalist Lizzie Phelan says the reports are an effort by NATO to create panic.
“The only gunfire that we are hearing is celebratory gunfire,” she said.“And the only explosions that we are hearing are NATO air strikes or NATO sound bombs, which are clearly designed to create a sense of panic in the capital city of Tripoli.”

Phelan said that the Libyan rebels created fake footage of themselves in Zawiya and Tripoli, and were aided in disseminating the footage by, among other media outlets, Al Jazeera. The Qatar-based satellite television station, she argued, has been at the center of the media conspiracy against Libya. The Western mainstream media, she continued, in turn picked up these reports and repeated them, creating a sense of panic among the Libyan people.
“Later on in the areas like Soug Jomaa, after the prayers, a number of armed gangs emerged, which are essentially sleeper cells of rebels inside the city, and began firing randomly and threatening ordinary people, that if they did not join them they would be assassinated,” she said. “They then took footage of the empty streets, which created the sense that they were in the process of capturing the city.”
Many people in Tripoli have been armed by the government and these people came out to defend their capital, she added.
“The government spokesman came out and insisted that the situation had been brought under control,” Phelan claimed. “As a result, now in Green Square the masses have come out because they feel safe again and they are letting off celebratory gunfire and fireworks. Muammar Gaddafi spoke to the masses live via phone, because there have been reports that he fled the country.”
[TABLE="align: left"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Political analyst Mahdi Nazemroaya says that the gunfire in the Libyan capital is sporadic and disorganized, and that its main purpose is to break down the morale of the population. Click on the video to the left for his report.“The main point of the attacks in Tripoli is to break down the morale here and cause panic,” he said. “The media here at the hotel where I am staying has been part of this disinformation campaign. They just want to feed the panic here and want the regime to collapse. They are fueling and feeding this psychological war against this country.”
#
 
EMT said:
Hao weupe wali abolish kwa manufaa ya nani? Unafikiri wali abolish kwa manufaa ya Waafrika? If so tumepata manufaa gani ya maana tokea slave iwe abolished. What followed after slave trade?
Mkuu wangu manufaa ya slavery kuwa abolished yako wazi hayana haja ya ku disscuss.Ni manufaa yenye haki za kimsingi za kibinadamu.Hilo ni awali.Everything has somemwhere to start.Si kila erruption inapelekea matokeo mabaya.Refer to geology.What happened after slavery is freedom.Kinachotakiwa ni mapambano yaendelee na si kuwa crabs in a bucket pulling each other down.Ndiyo maana unaweza kuona wenzetu wanavyofanya.Hawana marafiki wa kweli.Angalia hao wote walisahwahi kuwa very close na mataifa hayo.Nilipokutolea mfano wa wazungu wengine kutoa mchango kwenye abolition of slavery,na pia kwa kuongezea hata kwenye harakati za weusi hapa US,kuna ambao walichangia.Sababu ulizozitoa kuwa uadui wetu na Libya uwe wenye vigezo vya vita ya Kagera si madhubuti.

Mkuu hayo yalikuwa mawazo yake, na ni yeye pekee anajua kama kweli ali intend kuisadia Afrika. Kama alikuwa na nia hiyo then kwa nini hakuanza tokea siku hizo? Mpaka alipopigwa kibao na waarabu wenzake ndio akaja Afrika for a shoulder to cry on b'se hata West walikuwa wameshamtosa?
Nchi yenye mafuta kuiongoza si kazi ndogo ndugu yangu.Tena hayo yamechangiwa zaidi na ukweli kwamba mapinduzi yalishafanywa kumwondoa puppet miaka ya nyuma.Ama ni kwasababu sisi tunawaachia wanafanya watakavyo na wananchi wanabaki masikini huku wachache tu wakinufaika?Kama ni kweli Gaddafi alikuwa akiisadia Afrika,na huku pia wananchi wake wakiwa hawana shida.Basi hakunkuwepo na haja ya kuifanyia hiki inachofanyiwa nchi ya Libya.

Mkuu what goes around, comes around. Politics za wakati ule hazina tofuati kabisa na politics za sasa. Nothing has changed since then. and the fact kuwa Africa inaendeshwa na na puppets haina maana kuwa tuwapigie magoti madikteta. Wrong plus wrong does not make it right.
Unaweza kunipa a 3D analysis on the puppets vs dictators?Unaweza kunipa tofauti/ama jinsi walivyo sawa?Wapi wanafaa kati ya puppets vs dictators,and the reasons behind either reason?
Swali hili ni muhimu na nitalirudia kama hujanipata.Ni vizuri tukaziangalia hizo "two wrongs" kwa mapana.
Shukran.
 
'WAHUNI' WA BENGHARZ WAKURUPUSHWA WAKIIGIZA KUIVAMIA TRIPOLI BAADHI WAKAMATWA

By Alexander Grigoryev

21.08.2011
12:30 GMT+3

"Tonight NATO carried out heavy bombings of several districts in Tripoli. As a result, about 100 people were killed, civilians among them. Rescuers are still working, which is why the exact number of the dead and wounded is still unknown.
Right after the bombing, gunfire was heard in the outskirts of the Libyan capital. Western media immediately reported that rebels had entered the city, and civil war started", said a representative of the Libyan Embassy in Moscow.
According to him, "some of the gunmen were arrested. Close inspection of the site showed that the rebels had been imitating clashes with the army and the police. Some of the rebels were wearing police and army uniforms. The recordings of the action made with professional cameras, were later to be sent to Western media. Some of the recording media were seized. The backdrop commentaries leave no doubt that it was only an imitation".

The Libyan Embassy representative also said that "there are still some "sleeping cells" in Tripoli at the moment, acting against the government".
"Records showing dead bodies were also seized from the arrested. Voice over contends that those are the participants of anti-Gaddafi demonstrations in Tripoli, supposedly killed by the "bloody regime". The dates at the recordings, however, are the 22nd and the 23rd of August. The background clearly indicates that the recordings were made in Benghazi, but not in Tripoli", added the Embassy representative.

Meanwhile, according to a Russian military-diplomatic source, the operation aimed at Gaddafi's elimination and forming of public opinion by NATO special forces "is about to start any moment".
"Our data show that there are 15-17 small diversionary groups acting in Tripoli and its outskirts. Most of their members are employed by private US and British military companies. There are also saboteurs from the Foreign Legion. The acts of sabotage committed, there will be a helicopter landing in Tripoli airport, NATO special services troops onboard in order to [do so under the excuse to] protect civilians", he added.

He also said that this information has been forwarded to the Russian government.

"TV Rebellion" In Tripoli Can Start Any Moment Now
 
Kama kweli Walibya hawamtaki Ghadafi wangemtoa bila shida. lakini bado wanamtaka ndio maana inakuwa ngumu kumtoa. na kwa hakika atashinda vita dhidi ya nato

Eti eh?

Kuhusu Gaddafi you can not blame the man for doing what he is doing... i think we are not even allowed to be surprised for the likes of him would never admit failure to their last drop! EMT do you really expect him to say that he has failed? or to show how exactly he is feeling inside? At least he is keeping his word of fighting till his last breath...

Well, yes I can blame him. Hakusoma alama za nyakati. Baada ya kukaa madarakani for nearly 41 years, angeondoka mwenyewe na heshima yake ingebakia pale pale. Lakini yeye akajifanya anajua zaidi, leo anaomba ceasefire baada ya kuzidiwa? Nimesema huko nyuma, hata kama ana uroho wa madaraka angefanya kama Putin. Unaachia ngazi halafu una rule kwa remote control. Una visa na majirani zako, unajua kabisa wanataka kukuibia na wanatafuta tuu kisababu chochote wakuangamize ili waibe, utawarahisishia kupata hiyo sababu?

Angekuwa mjanja yasingempata haya.Wapo watu wanaojaribu kulinganisha na Chavez. Japokuwa Chavez anamuunga mkono Gaddafi tawala zao ziko tofauti. Chavez is a true revolutionist. Sidhani kama Gaddafi yuko vile.

Kuhusu ku admit failure, ulishawahi kusikia politician ana admit makosa?
 
Back
Top Bottom