The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

naona breaking news ktk cnn kwa al saif amekamatwa na waasi.kama hiyo habari itakua ni kweli basi utawala wa gadhafi umebakiza siku chache.
 
naona breaking news ktk cnn kwa al saif amekamatwa na waasi.kama hiyo habari itakua ni kweli basi utawala wa gadhafi umebakiza siku chache.
Nimeiona hiyo,wanadai alikuwa akihojiwa na Aljazeera.Kulikuwa na conflicting news.Nyingine zikisema mtoto huyo anahojiwa na Aljazeera na nyingine zikidai kakamwatwa wakati akihojiwa.
 
Wazee wa kumpindua waidhibiti Tripoli. Mwanae atekwa, raia full shangwe mitaa yote ya Tripoli. Chanzo Skynews.
 
Kuna habari kuwa Waasi wa Libya wameingia mjini Tripol baada ya upinzani mkali. Waasi wanadai kuwa wamemkamata Mtoto wa Ghadaffi Seif-Islam lakini haijathibirishwa na vyombo vingine.
Inaonekana baadhi ya watu wakishangilia mjini Tripoli ingawaje si wengi kama walivyozoeleka pale green square.

Wachunguzi wa kimataifa wanasema 'the situation is fluid in tripol'.
Kinachotia shaka ni jinsi jeshi la Ghadaffi lilivyoyeyuka na wengine wanadhani inaweza kuwa ni mtego.
 
Na sasa breaking news ya cnn inaonesha kwamba rebels wana claim wamewakamata watoto wawili wa Ghadafi.
 
Kwa mujibu wa CNN,magaidi wamemkamata mtoto wa Gaddafi wakati akihojiwa na Ajazeera kama sikosei.
Sky News nao wameandika kuhusu hili!

Libyan Rebels: 'Colonel Gaddafi's Son Captured'

Libyan rebels have told Sky News that Saif Al-Islam, Colonel Gaddafi's son, has been captured as the end of the regime appears to draw ever closer.

:: Sky's special correspondent Alex Crawford reports from a rebel truck in Tripoli

The claims come as rebels make rapid advances into the centre of Tripoli, meeting scenes of jubilation and no resistance from Gaddafi's troops along the way. Sky's special correspondent Alex Crawford, accompanying the rebels, said as opposition fighters entered the city, their cars gridlocked the roads and hundreds of people came out onto the streets to greet them. The rebels responded with celebratory gunfire, she said.

"These scenes are amazing - there are hundreds of people who have come out onto the streets to greet this convoy of rebel soldiers.
"You can hear them singing and dancing, it is an amazing scene.
"We are now just a very short distance from the centre, with more and more people are coming onto the streets.

16054300.jpg

A man kisses the ground as rebels advance

"They (the rebels) had been expecting much more resistance but there has been very little."
"There is absolutely no question in their minds that they have beaten Gaddafi and it is just a question of how he will go," she added.

The quick advance came after the fighters captured the base of the Khamis Brigade, 16 miles west of the capital.

It is said to be one of the best-trained and equipped units in the Libyan military and is commanded by Col Gaddafi's 27-year-old son Khamis.
Aside from the main rebel movement from the west of the city, fighting also broke out in the city's Mitiga airbase, while the suburb of Tajoura reportedly also fell under rebel control.

Source
 
walisema mmoja wamemuua, na kisha akaibuka....
Lol wanaume hawana haya hao dah.
Haya tusubiri na hii
 
Aljazeera wanaripoti kasri moja ya Gadafi mjini Tripoli iko mokinoni mwa waasi.
 
Kwa mujibu wa CNN,magaidi wamemkamata mtoto wa Gaddafi wakati akihojiwa na Ajazeera kama sikosei.

Hahahaha, sasa hivi anawaita panya (rats), panya wakiingia kwenye nyumba wanavurugu kweli, naona sasa gadafi mitego yake imeharibika panya wanazidi kujazana ndani tu na hata wale waliokuwa wametulia hawashambulii mazao wameanza vurugu. Huu tunaweza kuuita mwanzo wa mwisho wa Gaddafi na asipocheza vizuri watamuua.
 
Kwa mujibu wa CNN,magaidi wamemkamata mtoto wa Gaddafi wakati akihojiwa na Ajazeera kama sikosei.
<br />
<br />
Porojo hizo...
Hakuna kitu kama hicho.
Tripoli ipo shwari na hakuna konokono yoyote anayeachia udenda wake wa nyuma.
 

Al-Jazeera says brigade in charge of Gadhafi's security surrenders and lays down arms - Reuters
 
Wanadai watoto wa Colonel waliokamatwa ni wawili.Nadhani ishu kubwa kwa hao NATO na magaidi ni hiyo deadline ya september.Lets wait and c.
 
BBC : Downing st; 'clear end is near for Ghadafi'
CNN : International press in Tripol ' the situation is dangerous and volatile, we're waiting for development'
'US sate dept 'Gadafi's days are numbered'
 
huyu wa pili wanaye sema amekamatwa ni saadi gadhafi.
<br />
<br />
Ni porojo zao za kila siku hizo wakiwa wanasubiri daku.

Walishatangaza wamemuua mtoto wa Gaddafi then kidume kikaibuka na likawashuka...

Sasa leo wanadai wamewakamata. Kweli hawa wazungu ni mbwa koko wanaokula majalalani
 
Al Arabiya TV. The Rebel Council has just confirmed to this report as well.

In order to appear more credible, uwe unatupatia links to your news sources, siyo unabandika tu habari as if you received some kind of divine vision in your dreams, sawa?
 
Back
Top Bottom