Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Nasikiliza BBC Swahili saa hizi Saa 12:00 alfajiri ambayo ni saa 11:00 Alfajiri. Ghadafi sasa ametekwa.
Kutekwa kwa Ghadafi ndio kiashiria cha mwisho wa utawala wake uliodumu kwa miongo minne.
Tuwaombee wa Libya wananaomuunga mkono Ghadafi wawe na utii wa kikondoo ili kuepusha Libya kugeuka Iraq kwa kuifanya isitawalike!
Uthibitisho kupatikana saa moja kuanzia sasa.
Ameshajisalimisha. Taarifa ya BBC ambayo iko biased inasema Ghadafi naye anashikiliwa. Kwa vile taarifa ya habari ya Libya TV ni saa 12:00 asubuhi, yaani dakika 20 kutoka sasa, hili la kukamatwa kwa Ghadafi, litathibitishwa!.Nasikia ni mtoto wake, ila bado hakuna uhakika sana... Na mwingine nasikia anafanya mazungumzo na waasi ili ajisalimishe.
Tuisubiri hii 12 alfajiri ili kushuhudia ama great massacre ya watiifu wa Ghadafi kuwashukia waasi hapo Green Squire ama uthibitisho wa Ghadafi mikononi mwa waasi hivyo mgogoro huu wa Libya kumalizika rasmi.Mkuu hiyo habari inaonekana haikuwa kweli lakini hata wanaoipinga hawako tayari/aidha hawajui Gaddafi yuko wapi, Na ofcourse kuna audio recording imerushwa baada ya hiyo habari ni ya Gaddafi akisisitiza makabila yote ya Libya yaje Tripoli kupambana na rebels. All in all kama nilivyosema before it is just end game for Gaddafi.
Propaganda nyingi sana.Libya ishaharibika hivyo.Civil war ndo kwanza imeanza.Sasa wanaonyesha eti Tripoli imeanguka na kwamba wananchi wanashangilia na wakati ukweli wanaonyesha wananchi wa huko Bengazi wakishangilia hilo linaloitwa "ukombozi wa Tripoli"Yani ni sawa na kuwaonyesha wananchi wa Monduli wakishangilia kuangushwa kwa JK na huku ukidai ni bagamoyo.Ndivyo hali ilivyo huko.Tripoli ni makabila yanayomtaka Colonel.Hao magaidi wanaovamia kwa usaidizi wa NTO Wanamchukia kwasababu tu si kabila lao.Hawana hata uwezo wa kuunda serikali.Na mimi my take ni kwamba hao wanajeshi wa Gaddafi wamejichanganya na raia,wame lay low na wanakula timing tu.Walishindwa kujibu mapigo kwasababu wanajuwa NATO wako kwa juu watawalipua kwa order za hayo magenge ya kihuni ya tribes nyingine kutoka Benghazi na kwingineko wenye chuki na Colonel.Ngoja tuone mwisho wake na kama hawa magaidi makabila wataweza kuitawala Libya.I bet you they will never and Libya will never be the same.Mark my words.
Ameshajisalimisha. Taarifa ya BBC ambayo iko biased inasema Ghadafi naye anashikiliwa. Kwa vile taarifa ya habari ya Libya TV ni saa 12:00 asubuhi, yaani dakika 20 kutoka sasa, hili la kukamatwa kwa Ghadafi, litathibitishwa!.