Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Nasikiliza BBC Swahili saa hizi Saa 12:00 alfajiri ambayo ni saa 11:00 Alfajiri. Ghadafi sasa ametekwa!.
Kutekwa kwa Ghadafi ndio kiashiria cha mwisho wa utawala wake uliodumu kwa miongo minne.
Tuwaombee wa Libya wananaomuunga mkono Ghadafi wawe na utii wa kikondoo ili kuepusha Libya kugeuka Iraq kwa kuifanya isitawalike!
Uthibitisho kupatikana saa moja kuanzia sasa.