The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Wanatoka wapi wanakwenda wapi na kwa namna gani?.Mbona Mathaba wanasema ni waungaji mkono wa Ghadafi wakishangilia!.
Rafiki yangu Askari usiwe wa mwanzo kuathirika na propaganda.Najua kuna coordination kubwa ya vita ya propaganda ambayo imepangwa imuangushe huyu mwamba baada kushindwa kwa silaha ambazo zimeonekana kuuwa waasi na wananchi zaidi kutokana na uhodari wa mbinu za kivita za Ghadafi.
Unadhani akikamatwa Saif al Islam itakuwaje,haiwezi kuwa habari ndogo kwa akina Aljazeera lakini wapi?.
Waasi wa kwenda green square hawawezi kupatikana Tripoli labda Benghazi.
Pamoja na hayo wala usifikri moyo wangu umetikisika na propaganda hii kwani nilieleza zamani mtiririko wa matukio ya Libya utakaoifanya dunia iwe pahala pa vurugu daima mpaka NATO watakaposhindwa.

Picha kama hii hapo chini mbona ina dalili nyingi kwamba ni ya wafuasi wa Ghadafi,hawa bbc na aljazeera wanatufanya Ami na Askari kama hatuna akili vile.Kwa mfano huyo jamaa mwenye kanzu hapo kuliani mwa hiyo picha tunaye hapa hapa JF na ni mtu anayewadharau sana waasi wa Libya na kuzipinga sera za NATO.

5286374.bin

Hao Mathaba na wewe mko ndani ya giza totoro. poleni sana
 
Huu ni uongo mtupu hakuna ukweli hata kidogo katika hizi habari hawa wanapika uzushi tu waonekana wanashinda lakini hamna kitu

We sema uongo, Gaddafi hamali mwezi huu lazima ama atakuwa amekufa au kukamatwa live kama kuku. Utawala wake hautakuwepo tena. Jamaa wamemkalia vibaya, wanapiga konzi za pua-yaani mwanawe Islam kesha kamatwa.
 
There are reports that Hala Misrati, the pro-Gaddafi state TV presenter, has been captured. She had brandished a gun on air earlier this week saying she would "kill or be killed today".

 
Last edited by a moderator:
The Scramble for Access to Libya's Oil Wealth Begins
By CLIFFORD KRAUSS and ELISABETTA POVOLEDO
Published: August 22, 2011

Even before Libyan rebels could take full control of Tripoli, Foreign Minister Franco Frattini of Italy said on state television Monday that the Italian oil company Eni "will have a No. 1 role in the future" in the North African country.

Mr. Frattini even reported that Eni technicians were already on their way to eastern Libya to restart production. But Eni quickly denied that it had sent any personnel to the still-unsettled region, which is Italy's largest source of imported oil.i
Mkuu
Jana ulisema tujipange vizuri,tujadili mustakabali wa Afrika baada/ bila ya Gaddafi. Wakati sisi ndio tunataka kuanza kujadili..hawa West tayari walishapanga mikakati yao. na nini kitafuatia kwa Afrika.

Kuna pia habari za "holliwood" katika hii vita. Mchezo wenyewe utaanza "Rebels" watakaposhikishwa madaraka rasmi. Hapa utaona sinema ya vyombo vya habari.

Libya And Western Media Speculation
 
Mkuu
Jana ulisema tujipange vizuri,tujadili mustakabali wa Afrika baada/ bila ya Gaddafi. Wakati sisi ndio tunataka kuanza kujadili..hawa West tayari walishapanga mikakati yao. na nini kitafuatia kwa Afrika.

Kuna pia habari za "holliwood" katika hii vita. Mchezo wenyewe utaanza "Rebels" watakaposhikishwa madaraka rasmi. Hapa utaona sinema ya vyombo vya habari.

Libya And Western Media Speculation
Na kwa upande mwingine, AU ambao walikuwa wameufyata mkia wakati Gaddafi anapata kichapo hivi sasa wanaanza kuzungumzia wasi wasi wao wa kuendesha umoja huo hapo mbeleni baada ya ufadhili wa Gaddafi kukatika. Africa tutayaona mengi sana kipindi hiki. Somehow, we are living in very "exciting" times!
 
Posted at 02:09 PM ET, 08/22/2011
Moammar Gaddafi: Where is he hiding?
gaddafi1.JPG

Libyan leader Moammar Gaddafi pops up out of a car in the compound of Bab Al Azizia in Tripoli on April 10, 2011. (LOUAFI LARBI - REUTERS) Since sweeping into Tripoli last night, Libyan rebel forces have taken control of wide swaths of the capital, sent top government officials fleeing, and watched their flag hoisted around the world as other countries recognized their leadership.

But there is one thing they do not have, and that is the thing they want the most: Libyan leader Moammar Gaddafi.

Gaddafi has not been seen in public for more than two months, making his presence known only through a steady stream of defiant audio messages, before going silent altogether last night.

Rebel forces do not know where Gaddafi is hiding. A Pentagon spokesman says analysts believe he has not left the country. Other speculations are spreading, so here are some of the most likely possibilities:

1. The Rixos Hotel

The hotel in which foreign journalists have been confined and power has been cut has been a favored hideout of Gaddafi before. In May, the Libyan leader appeared to give a speech from inside the hotel, surprising journalists who were staying there and had not seen the leader come or go. Staff at the Rixos told the Telegraph they have an explanation for that: an intricate tunnel system connected to the hotel. The staff also said the rear of the hotel had a ramp capable of holding large vehicles, which then descend “into the earth.” NATO has previously acknowledged that Gaddafi uses underground tunnels to move around Libya.

2. Tunisia

He wouldn’t be alone in Tunisia, with Libyan Prime Minister Al Baghdadi Ali al-Mahmoudi and the head of the country's television union, Abdallah Mansour, having already fled to the Tunisian island of Djerba. This morning, press photographers gathered at airports in the country after it was reported that Gaddafi hoped to send his wife and daughter into exile there. So far, no luck.

3. South Africa

Speculation spread that Gaddafi was being granted asylum in South Africa after South African planes were spotted in Tripoli on Sunday night. Foreign minister Maite Nkoana-Mashabane quickly dismissed the rumors, saying the planes had been sent to collect the country’s staff. Nkoana-Mashabane also said he thought Gaddafi was still in his Tripoli compound. But Nelson Mandela’s unlikely friendship with Gaddafi is being cited as reasons not to let the rumors die.

4. Bab al-Azizya Compound

Since entering the capital, the rebels have made Gaddafi’s Bab al-Azizya compound a focal point, as it has long been believed to be Gaddafi’s greatest hideout. But the heavy bombardment of the compound seems to make that possibility less likely — one man who lived next to the compound told the Associated Press Monday: “When I climb the stairs and look at it from the roof, I see nothing at Bab al-Aziziya. NATO has demolished it all and nothing remains.”

5. Sirte

Support for Gaddafi remains strong in the Mediterranean city of Sirte, the leader’s birthplace. It has been suggested that Gaddafi could spend the last of his years living in peaceful exile there with the rest of his kin.

6. Hospital outside Tripoli


Al-Arabiya TV has reported that Gaddafi is in a hospital outside Tajoura, a suburb east of Tripoli. It wouldn’t be the first time. In May, British security chiefs told David Cameron that Gaddafi was moving from hospital to hospital because they are safe from attack.

Venezuela, Saudi Arabia, Zimbabwe, Uganda and a hospital outside of Tripoli have also been suggested as possible hideouts.

Source
 
Mohamed Ghadafi, mtoto wa ghadafi ambaye ni 'less aggressive' ametoroka. Alipovamiwa ndani ya nyumba akawambia rebels yeye atakuwepo nyumbani, wakamuweka under house arrest. Something happen in between contributed by inexperience ya rebels, he has escaped.

Fierce fighting is still going on at Bab al azizia( compound). Still the whereabouts of colonel remains a puzzle.

Rebels pushed back in some areas.

CNN,AP,BBC
 
Over the past three months the NTC reportedly worked with Nato to arm underground groups in Tripoli.

Nato's relentless pounding of armour and artillery east of Zawiya greatly softened up government units, breaking down much of the resistance that would otherwise have slowed the rebel path.

On Saturday, three-quarters of all Nato targets were in the capital.

The role of Western special forces in forward air control (to guide air strikes) and rebel training is not yet understood, but seems likely to have been extensive.

This detracts nothing from the organic character of the NTC, but underscores the decisive impact of Nato's decision to serve as the rebel air force.

BBC News - Analysis: Why Gaddafi's crack troops melted away
 
Name change for Libyan square on Google Maps


SAN FRANCISCO (AP) — Google Inc.'s online mapping service has changed the name of a Libyan location to what it was called before Moammar Gadhafi rose to power four decades ago.

The change came late Sunday, just hours after rebel forces pushed into Tripoli with little resistance. "Green Square" is now "Martyrs' Square" on the online map for Tripoli, reflecting what rebels are now calling it. The change was made quickly because Google now allows users to update its maps. A user did just that on Sunday night. Google approved it, making it visible to the public, shortly thereafter.

Although the square's name has been re-labeled on the map, users can find it by searching either name.

Google uses a broad range of sources to keep its maps up to date. This includes public and commercial data providers as well as user contributions.
 
Hatimaye leo duinia inaamka na kushuhudia shujaa wa Africa colonel Gaddaf akitolewa Madarakani. Lakini hebu na tujiulize kwanini shujaa huyu aliyekuwa mstari wa mbele kutetea bara la Africa akiungushwa kwa aibu hii.

1: Kwanza lawama zangu ziwaendee viongozi wa bara la Africa AU. viongozi wetu hawa bila hata ya aibu wamekuwa siku zote wakinyamaza kimya kabisa na kuwaacha NATO wakisaidina na waasi wa Libya wakiaangamiza utawala halali wa watu Libya. Ni kweli tunapata misaada kutoka kwa nchi hizo laini isiwe sababu ya kutachagulia nani anafaa kuwa kutuongoza. wananchi wenyewe wana haki ya msingi kabisa kuchagua ni nani anataka kuwaongoza hata kwa miaka mia ijayo. Tunajua ni kwa jinsi gani colonel Gaddaf alikuwa ameijenga namna gani Libya ikawa Elimu bure, nyumba na mambo mengine mengi kwa faida ya Walibya. Kwangu mie ni bora kwa kiongozi kukaa hata miaka mia moja madarakani lakini akaweza kutimiza mahitaji muhimu ya wananchi. Kuna faida gani kwa kiongozi kukaa miaka mitano na hakuna mafanikio yoyote yanayoeleweka zaidi ya kujilimbikizia mali kuwaacha raia wakiwa masikini wa kutupwa?

2: Aibu kwa waisilamu Duniani: Na kwa sasa Waisilamu wote duniani jueni ya kuwa mmetawaliwa na Marekani na rafiki zake kwa kila hali. Hebu oneni jinsi mgogoro wa Libya jinsi ulivyoanza. Kwanza kabisa Wamarekani na rafiki zake walianza kuwagawanya kisha kabisa wakawatumia watu wenu kupigana wenyewe kwa wenyewe. Kama kweli wao ni wapenda amani kwanini siku zote hawaingilii kinachotokea huko Israeli na Palestina. Hebu ona mataifa yote makubwa ya Waislamu walikaa nyuma kabisa wakishuhudia wenzao wakichinjana kama mbwa. Sasa wameanza na Libya lakini kesho hata mji wa Macka Saudi arabia wakiamua kuuchukia kupitia maamluki basi bila shaka hawatashindwa. Aibu kwenu wote wote!

3: Vita bado havijaisha Libya. Tega sikio na macho yako ndugu yangu uone yatakayotokea. Kama Libya ya leo ikigeuka kuwa kama Somalia ya sasa kwa upande wangu wakulaumia ni NATO na AU.
 
Hatimaye leo duinia inaamka na kushuhudia shujaa wa Africa colonel Gaddaf akitolewa Madarakani. Lakini hebu na tujiulize kwanini shujaa huyu aliyekuwa mstari wa mbele kutetea bara la Africa akiungushwa kwa aibu hii.

1: Kwanza lawama zangu ziwaendee viongozi wa bara la Africa AU. viongozi wetu hawa bila hata ya aibu wamekuwa siku zote wakinyamaza kimya kabisa na kuwaacha NATO wakisaidina na waasi wa Libya wakiaangamiza utawala halali wa watu Libya. Ni kweli tunapata misaada kutoka kwa nchi hizo laini isiwe sababu ya kutachagulia nani anafaa kuwa kutuongoza. wananchi wenyewe wana haki ya msingi kabisa kuchagua ni nani anataka kuwaongoza hata kwa miaka mia ijayo. Tunajua ni kwa jinsi gani colonel Gaddaf alikuwa ameijenga namna gani Libya ikawa Elimu bure, nyumba na mambo mengine mengi kwa faida ya Walibya. Kwangu mie ni bora kwa kiongozi kukaa hata miaka mia moja madarakani lakini akaweza kutimiza mahitaji muhimu ya wananchi. Kuna faida gani  kwa kiongozi kukaa miaka mitano na hakuna mafanikio yoyote yanayoeleweka zaidi ya kujilimbikizia mali kuwaacha raia wakiwa masikini wa kutupwa?

2: Aibu kwa waisilamu Duniani: Na kwa sasa Waisilamu wote duniani jueni ya kuwa mmetawaliwa na Marekani na rafiki zake kwa kila hali. Hebu oneni jinsi mgogoro wa Libya jinsi ulivyoanza. Kwanza kabisa Wamarekani na rafiki zake walianza kuwagawanya kisha kabisa wakawatumia watu wenu kupigana wenyewe kwa wenyewe. Kama kweli wao ni wapenda amani kwanini siku zote hawaingilii kinachotokea huko Israeli na Palestina. Hebu ona mataifa yote makubwa ya Waislamu walikaa nyuma kabisa wakishuhudia wenzao wakichinjana kama mbwa. Sasa wameanza na Libya lakini kesho hata mji wa Macka Saudi arabia wakiamua kuuchukia kupitia maamluki basi bila shaka hawatashindwa. Aibu kwenu wote wote!

3: Vita bado havijaisha Libya. Tega sikio na macho yako ndugu yangu uone yatakayotokea. Kama Libya ya leo ikigeuka kuwa kama Somalia ya sasa kwa upande wangu wakulaumia ni NATO na AU
 
Hofstede nimeipenda posting yako hii.However sikubaliani unaposema kuwa "Angekuwa man of his people" no country could've attack Libya today.Sidhani kama ina ukweli kauli yako hii.Why dont they attack Syria then?Ama Assad hayuko against his people?Tamaa iliyochochewa na tribalism Libya ambayo NATO na washirika took adavantage of ndiyo imepelekea hayo.Kwa ujumla Libyans were well off under his leadership.Kama ni mabadiliko wangeyafanya but not in like this.Wananisikitisha kwasababu wamenikumbushia ule usemi wa "Got till its gone"
However nayaheshimu maoni yako na michango yako kwa ujumla mkuu.

Jmushi, ni kweli kabisa unachoongea. Gaddafi ameijenga Libya na hakuna atakayebisha, suala la ukabila ni kweli lipo lakini linakuzwa zaidi na media. Nina jamaa yangu anatokea Sirte same tribe with Gaddafi ananiambia wazi kuwa Gaddafi likija suala la wananchi wanaompinga haangalii kabila wala ukoo anakushughulikia tu, Last week nimeongea nae akiwa Tripoli akaniambia nisimuulize maswali mengi simu zao ziko monitored.

Justification wanayoitumia NATO ni kuwa Gaddafi is unpredictable japo ukiangalia agenda kuu ni mafuta. Kitu ambacho walibya wengi wanachomchukia Gaddafi ilikuwa ni ufahari, Gaddafi na familia yake wapo radhi kutoa misaada ya mamilioni ya dola kwa foreigners wakati ndani ya Libya kuna watu wanaishi maisha duni. Mfano Seilf Al-Islam alitoa charity donation ya £1M kwa LSE ili apatiwe heshima wakati kuna walibya wengi wanasota.

Gaddafi alikuwa anatumia iron fist kuwa-control watu wake na hicho ndicho kilichomponza, suala la Syria ni tofauti, kwani adui wa nje anatafuta kwenye masiliahi. Nina hakika kabisa kama Syria ingekuwa na masilahi kama Libya ambayo ina export 80% of its oil to Europe tungeshudia kama ya Libya.
 
Back
Top Bottom