Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
According, to Al Jazeera reporter, reporting live in Benghazi, says the celebrations at Benghazi square have changed completely after receive information that the International Criminal Court has ordered Gaddafi's son, Saif al-Islam, to be handed to them. They are absolutely angry. They want him to face justice in Libya.
According to ICC Chief Prosecutor Luis Moreno-Ocampo, the ICC will hold talks on Monday with Libyan rebels on transferring Saif al-Islam Gadhafi, to its custody.
kikwete akianza kuua watu, hilo litakuwa haki kufanya...
Bado yule wa syria sasa! Hakuna kitu nachukia kama serikali inayoua watu/wananchi wake kwa kusudi la kubaki madarakani!
Hiyo ni total abuse of power...na hairuhusiwi kwa namna yeyote!!
hivi ninyi watu hizi habari mnaziamini kweli? Hao watoto wamewaonesha live au hadithi za Manenge na Mandawa? Zaidi ya BBC, CNN na Aljazeera hakuna wengine wanaoripoti?
Haya wapendwa mi ripoti za vita huwa siziamini sana kwa kuwa huwa zimejaa propaganda bila kujali zimetoka side ipi!
Huu ni ukoloni mpya, japo simpendi Gadafi hasa alipokwenda kujipendekeza Italy kwa kuwatukana na kudhihaki waafrika, sasa anatia akili huko ktk handaki. Lakini pia kwa upande wapili waafrika wameukubali ukoloni waziwazi, hakuna haja ya kumlaumu tena JK wala Kibaki etc eti uchumi ama nchi inaenda vibaya. Hawana power, watanunua dili lolote.Masikini waafrika
<br />No so good now!<br />
<br />
<img src="http://a.abcnews.com/images/Blotter/gty_gadhafi_arab_leaders_ll_110822_xwide.jpg" border="0" alt="" />
Hofstede nimeipenda posting yako hii.However sikubaliani unaposema kuwa "Angekuwa man of his people" no country could've attack Libya today.Sidhani kama ina ukweli kauli yako hii.Why dont they attack Syria then?Ama Assad hayuko against his people?Tamaa iliyochochewa na tribalism Libya ambayo NATO na washirika took adavantage of ndiyo imepelekea hayo.Kwa ujumla Libyans were well off under his leadership.Kama ni mabadiliko wangeyafanya but not in like this.Wananisikitisha kwasababu wamenikumbushia ule usemi wa "Got till its gone"Power comes from the people. Ukiweka mbele masilahi ya wananchi wako na kuacha kutumia vyombo vya dola kuwakandamiza badala ya kuwalinda ni dhahiri utakuwa na upper hand. Gaddafi angekuwa man of his people no country could attack Libya today. Viongozi wetu wa Africa wanajitengezea maadui wa ndani huku wakijua fika kuwa nje wamejaa tele. Kuwajibu watu " Huna uwezo wa kuleta mvua" na majibu ya kejeli wakati watu wanakuangalia wewe kama last resort ni kuwakatisha tamaa na kuwafanya wakuchukie na kuwa tayari kushirikiana na maadui wa nje. Hiki ndicho kilichotokea Libya. Unapoona wachache wananufaika na maliasili wakati majority wanasota ni dhahiri unajijengea maadui wa ndani. Kumiliki mizinga na risasi kutakuweka madarakani kwa muda tu ila kumiliki peoples' trusts ni silaha zaidi ya bomu.
kwa maana nyingine unatuambia Nato wanawalinda wananchi?kikwete akianza kuua watu, hilo litakuwa haki kufanya...
Bado yule wa syria sasa! Hakuna kitu nachukia kama serikali inayoua watu/wananchi wake kwa kusudi la kubaki madarakani!
Hiyo ni total abuse of power...na hairuhusiwi kwa namna yeyote!!
Hivi wewe unafikiria kweli?
Hao rebels hawajui wanachokipigania, they are in for a suprise from their NATO friends.
I will miss Ghadafi, umewatoa kamasi.
....................................Pole sana naona wewe unategemea habari kutoka CNN na BBC na Aljazeera tu. Angalia Orgrish, Arabnews, Lebanon Daily utaona zote zimetawaliwa na habari za familia ya Ghaddaffi kukamatwa