The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Hivi tunayona ktk bbc na cnn ni kweli? maana kuna mtangazaji kanichanganya anasema rebel wako nje ya mji maana wanakumbana na ukinzani.

Hivi hakuna hata ma african reporter? kweli africa bwanaa
 
According, to Al Jazeera reporter, reporting live in Benghazi, says the celebrations at Benghazi square have changed completely after receive information that the International Criminal Court has ordered Gaddafi's son, Saif al-Islam, to be handed to them. They are absolutely angry. They want him to face justice in Libya.

According to ICC Chief Prosecutor Luis Moreno-Ocampo, the ICC will hold talks on Monday with Libyan rebels on transferring Saif al-Islam Gadhafi, to its custody.

Ocampo anawatumikia mabwana zake wanaomlipa mshahara. Hakuna kitu kibaya kama mwanaume huna uwezo wa kuamua jambo lako mpaka uamuliwe na mwanaume mwenzako!
 
kikwete akianza kuua watu, hilo litakuwa haki kufanya...
Bado yule wa syria sasa! Hakuna kitu nachukia kama serikali inayoua watu/wananchi wake kwa kusudi la kubaki madarakani!
Hiyo ni total abuse of power...na hairuhusiwi kwa namna yeyote!!

Hivi wewe unafikiria kweli? Bush na Obama walivyo au wanavyoua Afghanistans, Iraq, hata huko Libya kwenyewe umeshawahi kuwasema wanatumia madaraka vibaya? If we want to be fair, lets look at all sides of the coin.
Hao rebels hawajui wanachokipigania, they are in for a suprise from their NATO friends.
I will miss Ghadafi, umewatoa kamasi.
 
Na NATO wanasubiri nini kwenda Syria? Au huko maslahi madogo? Jamani hebu tuwe tunatoa hoja kwa umakini zaidi. Am out!
 
hivi ninyi watu hizi habari mnaziamini kweli? Hao watoto wamewaonesha live au hadithi za Manenge na Mandawa? Zaidi ya BBC, CNN na Aljazeera hakuna wengine wanaoripoti?
Haya wapendwa mi ripoti za vita huwa siziamini sana kwa kuwa huwa zimejaa propaganda bila kujali zimetoka side ipi!

Pole sana naona wewe unategemea habari kutoka CNN na BBC na Aljazeera tu. Angalia Orgrish, Arabnews, Lebanon Daily utaona zote zimetawaliwa na habari za familia ya Ghaddaffi kukamatwa
 
Huu ni ukoloni mpya, japo simpendi Gadafi hasa alipokwenda kujipendekeza Italy kwa kuwatukana na kudhihaki waafrika, sasa anatia akili huko ktk handaki. Lakini pia kwa upande wapili waafrika wameukubali ukoloni waziwazi, hakuna haja ya kumlaumu tena JK wala Kibaki etc eti uchumi ama nchi inaenda vibaya. Hawana power, watanunua dili lolote.Masikini waafrika
 
No so good now!

gty_gadhafi_arab_leaders_ll_110822_xwide.jpg
 
Huu ni ukoloni mpya, japo simpendi Gadafi hasa alipokwenda kujipendekeza Italy kwa kuwatukana na kudhihaki waafrika, sasa anatia akili huko ktk handaki. Lakini pia kwa upande wapili waafrika wameukubali ukoloni waziwazi, hakuna haja ya kumlaumu tena JK wala Kibaki etc eti uchumi ama nchi inaenda vibaya. Hawana power, watanunua dili lolote.Masikini waafrika

Power comes from the people. Ukiweka mbele masilahi ya wananchi wako na kuacha kutumia vyombo vya dola kuwakandamiza badala ya kuwalinda ni dhahiri utakuwa na upper hand. Gaddafi angekuwa man of his people no country could attack Libya today. Viongozi wetu wa Africa wanajitengezea maadui wa ndani huku wakijua fika kuwa nje wamejaa tele. Kuwajibu watu " Huna uwezo wa kuleta mvua" na majibu ya kejeli wakati watu wanakuangalia wewe kama last resort ni kuwakatisha tamaa na kuwafanya wakuchukie na kuwa tayari kushirikiana na maadui wa nje. Hiki ndicho kilichotokea Libya. Unapoona wachache wananufaika na maliasili wakati majority wanasota ni dhahiri unajijengea maadui wa ndani. Kumiliki mizinga na risasi kutakuweka madarakani kwa muda tu ila kumiliki peoples' trusts ni silaha zaidi ya bomu.
 
No so good now!<br />
<br />
<img src="http://a.abcnews.com/images/Blotter/gty_gadhafi_arab_leaders_ll_110822_xwide.jpg" border="0" alt="" />
<br />
<br />

Nimeipenda picha aisee yaani majabali wote hao puuuuu chini kama mzigo wenye lumbesa vile
 
Power comes from the people. Ukiweka mbele masilahi ya wananchi wako na kuacha kutumia vyombo vya dola kuwakandamiza badala ya kuwalinda ni dhahiri utakuwa na upper hand. Gaddafi angekuwa man of his people no country could attack Libya today. Viongozi wetu wa Africa wanajitengezea maadui wa ndani huku wakijua fika kuwa nje wamejaa tele. Kuwajibu watu " Huna uwezo wa kuleta mvua" na majibu ya kejeli wakati watu wanakuangalia wewe kama last resort ni kuwakatisha tamaa na kuwafanya wakuchukie na kuwa tayari kushirikiana na maadui wa nje. Hiki ndicho kilichotokea Libya. Unapoona wachache wananufaika na maliasili wakati majority wanasota ni dhahiri unajijengea maadui wa ndani. Kumiliki mizinga na risasi kutakuweka madarakani kwa muda tu ila kumiliki peoples' trusts ni silaha zaidi ya bomu.
Hofstede nimeipenda posting yako hii.However sikubaliani unaposema kuwa "Angekuwa man of his people" no country could've attack Libya today.Sidhani kama ina ukweli kauli yako hii.Why dont they attack Syria then?Ama Assad hayuko against his people?Tamaa iliyochochewa na tribalism Libya ambayo NATO na washirika took adavantage of ndiyo imepelekea hayo.Kwa ujumla Libyans were well off under his leadership.Kama ni mabadiliko wangeyafanya but not in like this.Wananisikitisha kwasababu wamenikumbushia ule usemi wa "Got till its gone"
However nayaheshimu maoni yako na michango yako kwa ujumla mkuu.
 
kikwete akianza kuua watu, hilo litakuwa haki kufanya...
Bado yule wa syria sasa! Hakuna kitu nachukia kama serikali inayoua watu/wananchi wake kwa kusudi la kubaki madarakani!
Hiyo ni total abuse of power...na hairuhusiwi kwa namna yeyote!!
kwa maana nyingine unatuambia Nato wanawalinda wananchi?
Mh! Haya.
 
Obama anawaambia waunde tume ya truth and reconciliation kama ilivyokuwa kwa SA.Sasa nyie mnaomchukia mnadhani whats the reason?Kwanini asiseme wamwue kama Sadam?
 
Hivi wewe unafikiria kweli?
Hao rebels hawajui wanachokipigania, they are in for a suprise from their NATO friends.
I will miss Ghadafi, umewatoa kamasi.

Kwa hiyo tukuamini wewe kwamba ndio unajua unachopigania katika hii thread?
 
Kuna uwalakini na habari hizi tunazozipata, maana wanachanganya sana, huyu anasema hivi mwingine anasema wanapambana ktk mahekalu ya gadafi:
1835: Jonathan Head BBC News, Misrata
Misrata has sent boatloads of its fighters to support the uprising in Tripoli. But most of its forces are unable to get there because the road is still blocked by determined resistance from Gaddafi loyalists. Opening the road between the two cities would allow much need supplies into the capital and secure the opposition's hold on western Libya. It is hoping that the news from Tripoli will persuade the remnants of the old regime to give up the fight and avoid more casualties.
 
Mtoto wa Gaddafi atoroka mahabusu?
Libya: Mohammed Gaddafi 'may have escaped house arrest'

mohammedgaddafi_1977364c.jpg

Mohammed Gaddafi, the oldest son of Col Muammar Gaddafi, may have fled his house arrest, according to reports.
Whilst speaking live on television Mohammed Gaddafi, son of Colonel Gaddafi, comes under attack as Libyan rebels enter his home in Tripoli. Photo: ALJAZEERA
Peter Hutchison


By Peter Hutchison
7:25PM BST 22 Aug 2011

Mohammed was among three of Gaddafi's sons to be captured by the rebels. The loyalist fighters stormed the house where Mohammed was held and set him free after clashes with guards there, the pan-Arab news channel said. It said NATO was working with the rebels to mount coordinated air strikes on Muammar Gaddafi's heavily fortified Bab al-Aziziya compound in the capital.

The eldest son of Col Muammar Gaddafi was giving an interview to Al-Jazeera when he was cut off after gunfire was heard in the background.

Mohammed Gaddafi told the network that he had been detained by rebels and was being kept under house arrest in Tripoli. "Gunmen surrounded my house and I am still at home and they are outside," he said by telephone from the Libyan capital.

"They said they will guarantee my safety. They are besieging my house," he added as the e sound of gunfire could be heard in the background.

"Yes, the gunfire is inside my house," he said before the line was suddenly cut off.

Mohammed later spoke to Al-Jazeera again to confirm his safety. The National Transitional Council also confirmed to the news channel that Mohammed was safe and was being looked after.

Mohammed was born in 1970 and is the head of the Libyan Olympic Committee.

The Telegraph
 
Pole sana naona wewe unategemea habari kutoka CNN na BBC na Aljazeera tu. Angalia Orgrish, Arabnews, Lebanon Daily utaona zote zimetawaliwa na habari za familia ya Ghaddaffi kukamatwa
....................................
Dah sheikh we kweli ni kamanda wa uhakika...
Dah hiyo ogrish.com ni balaa
 
The Scramble for Access to Libya's Oil Wealth Begins
By CLIFFORD KRAUSS and ELISABETTA POVOLEDO
Published: August 22, 2011
23il-span-articleLarge.jpg

Bob Strong/Reuters
A truck carrying rebel fighters driving toward the oil refinery in Zawiyah, Libya, last week.

Even before Libyan rebels could take full control of Tripoli, Foreign Minister Franco Frattini of Italy said on state television Monday that the Italian oil company Eni "will have a No. 1 role in the future" in the North African country.

Mr. Frattini even reported that Eni technicians were already on their way to eastern Libya to restart production. But Eni quickly denied that it had sent any personnel to the still-unsettled region, which is Italy's largest source of imported oil.

The awkward exchange suggested that the scramble to secure access to Libya's oil wealth is already on. Libyan production has been largely shut down during the long conflict between rebel forces and troops loyal to Libya's leader, Col. Muammar el-Qaddafi.

Eni, as well as BP of Britain, Total of France and OMV of Austria, were all big producers before the fighting and stand to gain the most once the conflict ends. American companies like Hess, ConocoPhillips and Marathon also made deals with the Qaddafi regime, although the United States relies on Libya for less than 1 percent of its imports.

But it's unclear whether a rebel government would honor the contracts struck by the Qaddafi regime.

Even before taking power, the rebels were suggesting that they would remember their friends and foes, and negotiate deals accordingly.

"We don't have a problem with Western countries like Italians, French and U.K. companies," Abdeljalil Mayouf, a spokesman for the Libyan rebel oil company Agoco, was quoted as saying by Reuters. "But we may have some political issues with Russia, China and Brazil."

Russia, China and Brazil did not back strong sanctions on the Qaddafi regime, and they generally supported a negotiated settlement to the fighting. All three countries have large oil companies that are seeking deals in Africa for oil reserves.

Before fighting broke out in February, Libya exported 1.3 million barrels of oil a day. While that is less than 2 percent of world supplies, only Nigeria,
Algeria and a few other countries can supply equivalent grades of sweet crude that many refineries around the world depend on.

Habari zaidi
 
This is absurd to chant for cherishing atrocity of western dictators on Libya’s people! In fact we should have been mourning for this aggression knowing soon or later these world rulers will be turning toward our states similarly as they does in any country whenever they are negative of their significance!
I wonder the trepidation of African state leaders! Where is AU?! Muhamar Ghadaf was champion on seeing African states uniting and through vigour emanated could have stopped dependences on westerns, why these states leaders who are cause of retribution on Ghadaf can’t stand and admonish these evils?!
Tanzania is soon to embark on oil and uranium deals; unfortunately the same antagonists are investors on these deals through contracts drawn by them putting forward their curiosity.
We should therefore be ready for syndicated coup d'état in case we blame how they will be hoaxing our treasures.
 
Libya rebels say they seize control of state TV
ALGIERS | Mon Aug 22, 2011 10:02am EDT

(Reuters) - Libya's Jamahiriyah state television channel went off the air on Monday and a rebel spokesman said forces opposed to Muammar Gaddafi had taken control of state TV headquarters in Tripoli.

"The revolutionaries stormed the television building ... after killing the soldiers surrounding it. It is now under their control," the spokesman said. He was speaking after television screens airing the Jamahiriyah station went blank.

(Reporting by Hamid Ould Ahmed; Writing by Christian Lowe; editing by David Stamp)


Reuters
 
Back
Top Bottom