The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

How old are you anyway. Ulikuwepo mwaka 1979? Nimeumia sana niliposoma thread yako. Natumia mkono mmoja mpaka sasa kwa ulemavu nilioupata wakati wa vita ya uganda baada ya kupigwa risasi ya mkono na askari wa Gadafi waliokuwa wakimuunga mkono Iddi Amin. Sasa basi kwa kumuunga mkono Gadaffi utakatika mkono nawe pia kwa namna yoyote kama malipo ya matamshi yako labda uijutie thread yako na uifute kwa kuwaomba msamaha Watanzania waliopoteza ndugu zao wakati wa vita hivyo. Mungu akugeuze uwe na moyo wa uzalendo akung'oe roho ya kizandeki

Tarik Aziz was smarter than you.

Marekani aliupeleka kwake katuhifadhi hai na katujali kutupa elimu, vinginevyo usingekuwa na Obama, Tyson, R. Kelly, Serena na Venus, Michael Jordan na Heroes wengine. Je waarabu waliokununua wakikupapasa Makalio walikupeleka wapi wakati hadi leo hakuna hata mzee wa Kijiji mweusi uarabuni, wote walihasiwa na kugeuzwa Mashogo leo unajaribu kuonyesha upendo wako kwao! Unapenda sana kufanyiwa hayo mambo au? Ona waarabu wanavyowanyanyasa Waafrika ktk nchi yao Sudan na Jimbo la Darfur! Sijakuelewa ujue! Mtu yeyote ana madhaifu lakini mtu huukumiwa pale ambapo mabaya huwa mengi kuliko mema anayotenda. Poleni marafiki wa waarabu maana mtakuwa mmeghilibiwa akili na hayo majini yao

Waislamu shime tuungane kumpigania our fellow brothers

Mkuu "Ami". Kufunga thread hii kutaondoa dhana nzima ya Kuanzisha Jamii Forums/International-forum yaani" exchange our views on matters arising in this globe!". Kikubwa nadhani ni kumshauri abadili msimamo wake juu ya Serikali ya Libya Chini ya Comred Gaddaf na aguswe na adha zinazowakabili raia wa Libya na Afrika kwa ujumla zilizotengenezwa na Nato kwa kushirikiana na' Wahuni' wa Bengharz. Nina imani atakubali ushauri huu kama hatakuwemo katika 'payroll' ya ama CIA,M16,France Intel, na nyingine zenye mtizamo kama wa hizo nilizozitaja.

Mkuu pole sana. Kadafi ni mwovu tu. Tizama alikuja Uganda kutupiga sisi. Ni wakati wa malipo sasa. Kadafi mpenda fahari sasa anaishi kama digidigi katika mahandaki, hayupo huru nchini mwake mwenyewe. Malipo ni hapahapa naamini mabaya yote aliyoyafanya kujumuisha hili la kuja uganda kutupiga yanaflash katika ubongo wake. Ukiishi kwa upanga uatakufa kwa upanga.

Malipo ni hapahapa naamini mabaya yote aliyoyafanya kujumuisha hili la kuja uganda kutupiga yanaflash katika ubongo wake. Ukiishi kwa upanga uatakufa kwa upanga.
vipi wananchiwa Libya ambao wengi wao inawezekana hawajui hiyo vita? Nato wamenikera kuua raia kwa kisingizio cha kulinda raia... I hate hypocrisy!

Wako watu hapa wanamtetea gadafi aliyeshiriki na idd amini kuivamia tz.hakuna namna gadafi anaweza stay in power!
Japo simuungi mkono Qaddafi siwaungi mko Nato na waasi pia. Wamewafanyia walibya kitu kibaya, wamewaua baadhi yao na kuharibu miundo mbinu. Criminal+Criminal=??

Kumbe wewe shida yako ni Uarabu. Umesoma historia ya Biblia na viatabu vingine na kujua waarabu wametoka wapi na ndugu zao nani. Vita havijaanza leo warumi walitawala waarabu enzi hizo ambao baadae wameenda marekani. Kwa namna moja au nyingine hatujui systematic problem ya kumtoa gadafi kwenye utawala. Kwa nini share za huko duniani jana zimepanda bei jana if your a great thinker? Pole mzee we si level Yangu maana you feel rather than thinking.

mtoto wa gaddafi SAIF AL ISLAM anayejulikana na aliyekuwa anaongea na vyombo vya habari mala kwa mala HAJAKAMATWA.mia

Halafu waniudhi hivi ukipewa privilege ya kucheza ngoma na kutoa mwali usiku kucha na kuna wazee kama Manji wanatafuna nchi kwa kukutolea maamuzi ya maisha yako unaona siiifa. Ndio maana nchi yetu inaburuzwa na wachache wanaojua kufikiri. Yaani serena waweza linganisha na George bush?/?. halfu ushoga uko wapi zaidi uarabuni au USA. halafu unajua Sudani ni nani anapaigana. shiiit

vipi wananchiwa Libya ambao wengi wao inawezekana hawajui hiyo vita? Nato wamenikera kuua raia kwa kisingizio cha kulinda raia... I hate hypocrisy!

Whywazungu wakiua ni halali na watu wengine wakiua ni dhambi?. Kama hatutajitambua tutakuwa kama wanyama.

While French, Italian and German officials have been in talks with the Libya's fledgling National Transition Council (NTC) over multi-billion pound contracts, the UK's official position has been to wait.

One source who has worked in Benghazi for the past month said: "The French, German and Italian governments have been building relationships with the NTC and positioning their own companies. So far they've stolen a march on Britain, where the Government has been dawdling."

A spokesman for UK Trade & Investment, part of the Department of Business, said: "UK Trade & Investment is monitoring the situation in Libya very closely. We are in regular contact with companies and organisations who have business interests in Libya and have been throughout the conflict. As soon as the situation on the ground allows, UKTI has plans to provide in-country support and advice to companies wishing to be part of the reconstruction effort."

Government sources said that the NTC has indicated that it will honour billions of pounds worth of contracts that already existed before Colonel Mummar Gaddafi's regime was challenged.

Shares in European oil companies with former operations in Libya rose strongly. Italy's ENI, the biggest foreign oil producer in the country, rose 6.3pc. France's Total rose 2.6pc. Britain's BP was up 2.2pc. A spokesman for BP, which withdrew 80 workers when hostilities began, said it was assessing the situation and would resume its activities when "conditions allow".

HAYA MNAOTETEA WENYE AKILI KULENI JANI HILO. THERE MISSION ACCOMPLISHED. NA NYIE MNGEJIFANYA MNABANIA RASILIMALI ZENU MNGEKIONA.

[/ATTACH
Watanzania tupo mbali sana kimtazamo,usi tu underrate kuwa hatuwezi,tembelea mikoani uone hari waliyonayo wana wa nchi hii,wamechoka wanachotaka mageuzi a.k.a mabadiliko.tumechoka kuwa mbuzi wa kafara.safari hii mchinja lazima amkimbie mbuzi

Attachments

• wow.JPG
464.9 KB · Views: 17

kweli kabisa mkuu vyombo vingi vya habari vina tabia ya kutoa habari zinazoegemea interest zao

It is high time for ICC prosecutor Ocampo to issue international arrest warrant to the NATO leaders ie. Obama of USA, cameroun of UK and Sarkozy of France for their relentless bombing and killing of Libyan people.

vipi wananchiwa Libya ambao wengi wao inawezekana hawajui hiyo vita? Nato wamenikera kuua raia kwa kisingizio cha kulinda raia... I hate hypocrisy!
Na vipi wale raia waliouawa kule zanzibar kwenye uchaguzi mwaka 2010 na vikosi vya ulinzi kwa serikali ya ccm?
Je, kuhusu mabomu ya mbagala na gongoramboto yaliyolipuka kwa uzembe na kuua raia kibao? we mkuu vipi?
Na je mauaji ya Tarime na Arusha vipi? Jamani nyie watu acheni unafiki! Gadaffi hana tofauti na utawala wa Bongo

Mshikachuma upo sawa kabisa je Unapenda matatizo yako kutatuliwa au kuyakabili mwenyewe. Tatizo letu waafrika tunajua kutengeneza matatizo yakituzidi tunaanza njoo marekani hawa wananionea. Unajua lengo la hawa jamaa kwenda libya si Rwanda mwaka 1994? au Zaire leo hii?. Kwa taarifa yako bongo walishafanya ya Libya long time ndio maana katu hawawezi kuja kubomoa migodi yao ya dhahabu na uranium kwa gharama yeyote.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…