Son of Africa
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 233
- 32
<br />Njaa ni mbaya sana miafrika tumelaniwa yani nchi ya Afrika inavamiwa at this age tunashindwa kuisaidia eti kisa misaada!!! kweli bora umasikini wa mali kuliko akili kama ya sisi waafrika..tuna watawala wanawaza kuiba tu mda wote wao ni dili lakini issue kama hizi kimyaa!!!
<br />
How old are you anyway. Ulikuwepo mwaka 1979? Nimeumia sana niliposoma thread yako. Natumia mkono mmoja mpaka sasa kwa ulemavu nilioupata wakati wa vita ya uganda baada ya kupigwa risasi ya mkono na askari wa Gadafi waliokuwa wakimuunga mkono Iddi Amin. Sasa basi kwa kumuunga mkono Gadaffi utakatika mkono nawe pia kwa namna yoyote kama malipo ya matamshi yako labda uijutie thread yako na uifute kwa kuwaomba msamaha Watanzania waliopoteza ndugu zao wakati wa vita hivyo. Mungu akugeuze uwe na moyo wa uzalendo akung'oe roho ya kizandeki