hapo siwezi amini kabisaMkuu
NATO, US na "rebels" wao wakifanikiwa kuiangusha serikali ya Gaddafi. Wananchi wa Libya watapata serikali kibaraka. Watapata uhuru wa kusema kama sisi hapa Tanzania lakini watasaga meno.
Watatamani utawala wa Gaddafi urudi kama watu hapa JF wanavyotamani Utawala wa Mkapa urudi.
Na fisadis aka kampuni za west zitakuwa zinajichotea mabilioni yao kutoka frozen assets, reconstruction na dili la kufyonza mafuta ya Libya.
Amini kama wananchi wa US na West wangekuwa habari sahihi na kujua mafanikio ambayo Gaddafi kayapata na maendeleo ambayo kawaletea Libya, wengi wangehamia Libya...lakini US na West waliifanya kazi ya kumgeuza Gaddafi, "mad man" kwa ustadi na sasa ndio hivyo" wana-protect civilians" na kumalizia project yao.
Kwa kuibomoa Libya na Gaddafi wanafanya kazi yenye malengo ya kuiua AU pia. Afrika itabaki katika utumwa wa West na US kwa miongo kadhaa ijayo.
Mkuu ndio umeigundua leo hii clip?
Nimekupata Mkuu. Nafikiri huu ni wakati muafaka wa sisi waafrica kujiuliza je ni lazima viongozi wetu wang'ang'anie madaraka mpaka waje kungolewa kwa nguvu na kuharibu mali na miundombinu ya nchi? Hivi ilikuwa lazima Gaddafi kung'ang'ania madaraka kwa kiasi alichofanya?Duu ndo nimeigundua baada ya propaganda kuzidi kipimo, maana zimekuwa tena si propaganda bali kutunywesha sumu ya nyoka live, hivi unajua unaweza pasua screen bure si kwa sababu unampenda Gadafi ila kwa sababu unalazimishwa kuuamini uongo.
1.Kuhusu kuchangiwa kwa Mathaba.netHawa jamaa wa MATHABA wanaongoza kwa propaganda za kitoto. Nimewafwatilia kwa muda lakini sioni kama wanalo la maana wanaloongea. Wanatumia taktiki za mfumo wa habari wa kikomunisti (umepitwa na wakati). Hebu soma hivi vipengele:............................................
........................................
Halafu hapo hapo wanatembeza bakuli kinyemela.
Isn't it time that you supported us? Unlike the compromised media, we are not in the pay of advertisers who would dictate terms, nor do we use Google ads which would bring in plentiful revenue give our reader numbers, out of principle as their ads are not appropriate nor quality, nor are we owned by any zionist media barons, nor are we funded by donations from political parties, or owned by intelligence services. It is you, the reader alone, who keep us functioning. So, DONATE NOW or SUBSCRIBE.
My take: Ni watu kama akina Ami na MpigaKelele ndio wanawasomaga na kuwapapatikia hawa jamaa MATHABA (halafu wanatulazimisha na sisi eti tuwaunge mkono!) Tafadhali enyi watu wawili jihadharini sana na propaganda zisizo na mashiko!
Nimekupata Mkuu. Nafikiri huu ni wakati muafaka wa sisi waafrica kujiuliza je ni lazima viongozi wetu wang'ang'anie madaraka mpaka waje kungolewa kwa nguvu na kuharibu mali na miundombinu ya nchi? Hivi ilikuwa lazima Gaddafi kung'ang'ania madaraka kwa kiasi alichofanya?
Kuna watu wengi wanasema Gaddafi aliwapa wananchi wake mafaa mazuri zaidi ya kwingineko kokote barani Africa. Granted, hiyo haipingiki. Lakini je yeye na familia yake pamoja na wapambe wake walijilimbikizia mihela mingapi? Hiyo kweli ni haki?
Tutaendelea na mifumo mibovu kama hii mpaka lini? Na ndio maana maadui wa bara hili wanapata mwanya wa kutusambaratisha kila kukicha. Hayo ni maoni yangu na sisemi kwamba nipo sahihi!
hapo siwezi amini kabisa
Ukifuatilia michango yangu ya jana na juzi utaona kabisa hao jamaa hawakunipeleka porini manaake angalau na mimi nina uwezo wa kuchambua wanayoandika.... "Askari Kanzu" umeshuhudia juzi na jana jinsi vyombo vya habari unavyoviamini vilivyo kupeleka porini kuhusu kukamatwa kwa watoto wa Comred Gaddaf...
Sasa watulie wajenge libya yenye democracy, ila nina wasiwasi sana na wamarekani
hizo data labda ukizilinganisha na maisha ya hapa tz ndo utaona walikuwa wanafaidi,ila kuna nchi zina mambo mazur kuliko hizo-then hata umpe mwanadamu nini,kaka hana uhuru wa kuzungumza,kupinga hakuna cha maana ulichofanya,ndicho alichokuwa hatoi colonel gadaf
Mkuu