Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,234
Mbona umechelewa, hizi picha ndo unaziona leo?
Naona Askari Kanzu atakuwa amefurahi sasa maana "Libya sasa iko huru", "demokrasia" itakuja, walibya watakuwa na uhuru wa "kuzungumza","kulaumu serikali", na "kuchagua" mtu wamtakae!!!!, na nchi iko "better off without Ghadafi". kweli wenye roho ngumu ya kupambana kama Mtemi Mkwawa ni wachache, na watu wanaweza kuwa brainwashed wakawauza utumwani watu wao kwa shanga ni wengi!
Wacha hizo, unajifanya wewe ndo "mwanamapinduzi wa kweli" sio? Kama ni hivyo kwa nini basi huwezi kutukomboa watanzania kama kweli wewe ni "mwanamapinduzi"? Maneno mengiii lakini vitendo zero. Watu kama wewe wapo wengi tu, na mie nawaogopeni nyie ka ukoma!Naona Askari Kanzu atakuwa amefurahi sasa maana "Libya sasa iko huru", "demokrasia" itakuja, walibya watakuwa na uhuru wa "kuzungumza","kulaumu serikali", na "kuchagua" mtu wamtakae!!!!, na nchi iko "better off without Ghadafi". kweli wenye roho ngumu ya kupambana kama Mtemi Mkwawa ni wachache, na watu wanaweza kuwa brainwashed wakawauza utumwani watu wao kwa shanga ni wengi!
Na kweli ukiendelea kukaa na kulalamika kama ufanyavyo hizo fimbo utacharazwa tu!Tuko utumwani. Miziki yakwao, michezo ya kwao, siasa za kwao, madini ya kwao, na watu wa kwao. Basi bwana bado kuanzwa kucharazwa fimbo.
Na kweli ukiendelea kukaa na kulalamika kama ufanyavyo hizo fimbo utacharazwa tu!
\Wacha hizo, unajifanya wewe ndo "mwanamapinduzi wa kweli" sio? Kama ni hivyo kwa nini basi huwezi kutukomboa watanzania kama kweli wewe ni "mwanamapinduzi"? Maneno mengiii lakini vitendo zero. Watu kama wewe wapo wengi tu, na mie nawaogopeni nyie ka ukoma!
Mi naona kama ni mtaalamu wa kupanga maneno kwenye mstari ili yasomeke kama sentensi.Kidzude, nadhani nitakuwa napoteza muda wangu kubishana na "mtaalam mwenye uerevu wa juu" wa maswala ya Africa ka wewe!
Mi naona kama ni mtaalamu wa kupanga maneno kwenye mstari ili yasomeke kama sentensi.
Kidzude, nadhani nitakuwa napoteza muda wangu kubishana na "mtaalam mwenye uerevu wa juu" wa maswala ya Africa ka wewe!
Mkuu, heshima kwako pia!Asante Wakubwa wana JF wamewasikia.