LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Mwisho wake Mi naona kama haitaishia pazuri.mimi bado nasubiria mwisho wa hii movie................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho wake Mi naona kama haitaishia pazuri.mimi bado nasubiria mwisho wa hii movie................
Kama unajuia kiinglish hebu pinga haya maneno ya Odinga, sentensi baada ya sentensi na kwa ueledi:Odinga anajaribu ku thibitisha kuwa ICC ipo sawa na maovu yake yote wakati wa uchaguzi. Yupo tayari kuyakabili si maovu yeye mwenyewe si kusucrifice vidagaa. Alikuwa wapi muda wote kama si unafiki. Hivi Askarikanzu hujaona post ya Gamba la Nyoka. Naomba kwa Heshima ya JF naomba ubatilishe kila sentesi ambayo si ya kweli.
Rungu wape vidonge vyao na tuone kama watameza!Kama unajuia kiinglish hebu pinga haya maneno ya Odinga, sentensi baada ya sentensi na kwa ueledi:
1. "A good general should know when the game is up,"
2. ...bittersweet moment because while they (rebels) had achieved freedom they had done so largely with the support of Western powers.
3. "This is a triumph and a tragedy for Africa."
4. The European Union would never have let things escalate to this level among any of its members.
5. Because the African Union refused to act the people of Libya had no choice but to ask for external support.
Sasa hebu chambua hizo sentensi halafu lete ubishi wako (kwa kutumia hoja na sio vioja)! Hakuna haja ya kumshambulia Askari Kanzu wakati maneno ni ya Odinga.
Rungu wape vidonge vyao na tuone kama watameza!
Na bado ninawatambua "Rebels". Tatizo lako ni nini haswa?Alikuwa wapi siku zote kama anawatambua Rebels? . Jibu kwanza hapo then ya gamba la nyoka.
Alikuwa wapi siku zote kama anawatambua Rebels? . Jibu kwanza hapo then ya gamba la nyoka.
Vipi, unashindwa kuzichambua pointi za Odinga?Alikuwa wapi siku zote kama anawatambua Rebels? . Jibu kwanza hapo then ya gamba la nyoka.
Vipi, unashindwa kuzichambua pointi za Odinga?
Mwisho wake Mi naona kama haitaishia pazuri.
Sawa Mkuu, nadhani kuna "wanamapinduzi" flani humu jamvini wanafikiri sina uchungu na bara la Africa eti kwa sababu simsapoti Gaddafi na utawala wake uliopitwa na wakati. Nilishasema huko mwanzoni, nimemfuatilia kamanda tangu alipochukua madaraka 1969 (sababu nilikuwa sekondari wakati huo, Mwenge Singida). Vile vile hata baada ya vita vya Iddi Amin bado jamaa nilikuwa namkubali lakini hili kasheshe lilipomfikia na yeye akaamua kuwa mbishi na kuanza kuwauwa raia wake basi nilijua sasa amechemsha. Kwa hiyo simwonei huruma kusema za kweli, ingawa vita hivi vimeiharibu Libya kwa muda mrefu ufuatao. Bado namlaumu Gaddafi kwa ubishi wake usio na mpango!Kaongea point kwa muda usio muafaka?. Kakata tamaa angesema mwezi wa pili kama wewe tungemuona wa maana. Yaani wewe ni jembe kusimamia kitu chako watu kama wewe ndio nawataka.
Aliishi kifisadi lakini pia alijali wananchi wake: namsikitikia hakusoma alama za nyakati angewaachia nchi huenda leo angekuwa na maisha mapya japo si ya heshima yake
<br />".....Corinthia hotel grounds around 2pm today friday"<br />
Dah, narudi darasani kwanza nikasome ramani! Hivi Libya imehamia mashariki ya Tz kiasi cha kuwa mbele kwa masaa mengi hivo?!
sawa mkuu, nadhani kuna "wanamapinduzi" flani humu jamvini wanafikiri sina uchungu na bara la africa eti kwa sababu simsapoti gaddafi na utawala wake uliopitwa na wakati. Nilishasema huko mwanzoni, nimemfuatilia kamanda tangu alipochukua madaraka 1969 (sababu nilikuwa sekondari wakati huo, mwenge singida). Vile vile hata baada ya vita vya iddi amin bado jamaa nilikuwa namkubali lakini hili kasheshe lilipomfikia na yeye akaamua kuwa mbishi na kuanza kuwauwa raia wake basi nilijua sasa amechemsha. Kwa hiyo simwonei huruma kusema za kweli, ingawa vita hivi vimeiharibu libya kwa muda mrefu ufuatao. Bado namlaumu gaddafi kwa ubishi wake usio na mpango!
Hao waasi nao inaonekana wanatamani maisha aliyokuwa akiishi Gadafi..